MAONYESHO YA TANO YA HOMES EXPO KUANZA MEI 29
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya EAG group, Zenno Ngowi akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu maonyesho ya tano ya Tanzania Homes Explo yatakayoanza Mei 29 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Masoko wa kampuni hiyo, Hellen Mangore na Ofisa Masoko Mkuu, Richard Ryaganda. (Picha na Francis Dande)
.................................................ZAIDI ya Kampuni 70 hapa nchini kwa kushirikiana na nchi jirani,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLEAG-GROUP KUFANYA MAONESHO YA HOMES EXPO MLIMANI CITY 29-30 MEI
11 years ago
Michuzimaonesho ya 4 ya Tanzania Homes Expo kuanza Agosti 23 - 24,2014
10 years ago
GPLMAONESHO YA 5 YA HOMES EXPO YAENDELEA MLIMANI CITY
10 years ago
MichuziMAONYESHO YA PESA EXPO KUFANYIKA SEPTEMBA MWAKA HUU.
Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.KAMPUNI Exclusive media (T)Ltd ikishirikiana na Qutub Global Ltd kukutanisha Tasisi na Asasi za Kifedha hapa nchini katika maonyesho ya Pesa Expo katika Maonyesho yatafanyika mwanzoni...
10 years ago
MichuziTANZANIA HOME EXPO KUFANYA MAONYESHO YA 5 JIJINI DAR
KAMPUNI ya Tanzania Home Expo inatarajia kufanya maonyesho ya bidhaa zake mbalimbali katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam,Mei 3o hadi Juni mosi mwaka huu.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Home Expo,Zenno Ngowi wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO leo jijini Dar es Salaam.
Ngowi amesema kuwa katika maonyesho hayo ya matano ,Wananchi wajitokeze kwa wingi ili kujua nini...
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/1-2.jpg?width=650)
MAONYESHO YA TAASISI ZA KIFEDHA YA PESA EXPO KUFANYIKA MWEZI SEPTEMBA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-V_UlHLtuUqE/VUSs0uLNHcI/AAAAAAAATGw/h79yWy1PYQY/s72-c/p6.jpg)
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AFUNGUA MAONYESHO YA DAR PROPERTY EXPO
![](http://4.bp.blogspot.com/-V_UlHLtuUqE/VUSs0uLNHcI/AAAAAAAATGw/h79yWy1PYQY/s1600/p6.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, akikata utepe kufungua maonyesho ya uwekezaji katika majengo yajulikanayo kama Dar Property Expo kwenye ukumbi wa VIP wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, Jumamosi Mei 2, 2015. Makampuni na mabenki mbalimb ali yanashiriki kwenye maonyesho hayo
![](http://3.bp.blogspot.com/-qbYewk4mm78/VUSs2ng4xUI/AAAAAAAATG4/cFYkGCmrgPo/s1600/p1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3RQAwh-QT5w/VUSsmQ_Ir1I/AAAAAAAATGY/2ltXIJtfpZ0/s1600/p11.jpg)
11 years ago
Dewji Blog30 Jun
Waziri wa Malisili na Utalii azindua maonyesho ya Kimataifa ya Utalii ya Swahili International Tourism Expo (SITE)
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akipongezana na Balozi Charles Sanga Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB mara baada ya kuzindua rasmi SITE ya Maonyesho ya Kimataifa Utalii ya Tanzania yanayojulikana kama Swahili International Tourism Expo (SITE) kwenye hoeli ya Serena Mwisho ni mwa wiki, Maonyesho hayo yatakayohusisha kampuni binafsi, taasisi za kiserikali kama Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) pamoja na washirika wengine katika sekta hiyo...
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/06/4a1.jpg?width=650)
WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AZINDUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (SITE)