EAG-GROUP KUFANYA MAONESHO YA HOMES EXPO MLIMANI CITY 29-30 MEI
Mkurugenzi wa Eag-Group, Zenno Ngowi (katikati), akitoa tamko. Kushoto ni Ofisa Masoko wa Eag-Group, Helen Mangare (kushoto) na Richard Ryanda. Maofisa wa Homes Expo wakisikiliza maswali kutoka kwa wanahabari (hawapo pichani).…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMAONESHO YA 5 YA HOMES EXPO YAENDELEA MLIMANI CITY
Sehemu ya Mapokezi ya Maonesho ya Tanzania Home Expo. Mmoja wa wahudumu wa maonesho ya Biashara (kushoto) akielekeza baadhi ya wananchi waliofika katika maonesho hayo.…
10 years ago
VijimamboMAONYESHO YA TANO YA HOMES EXPO KUANZA MEI 29
.................................................ZAIDI ya Kampuni 70 hapa nchini kwa kushirikiana na nchi jirani,...
11 years ago
Michuzimaonesho ya 4 ya Tanzania Homes Expo kuanza Agosti 23 - 24,2014
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AZINDUA MAONESHO YA 5 YA KAMPUNI YA EAG GROUP LEO JIJINI DAR.
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-tX5fCKIIuW0/VCp3wgOWmhI/AAAAAAACr2I/hJq5YDP2Z6A/s1600/expo_022.jpg)
ONESHO LA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO KUFUNGULIWA KESHO MLIMANI CITY
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es jana juu ya kufanyika kwa maonyesho ya utalii yanayoratibiwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB). ONESHO la kimataifa la utalii ‘Swahili International Tourism Expo’ (SITE) linaloandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) linafunguliwa rasmi kesho Jumatano katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City na...
10 years ago
MichuziDCB YASHIRIKI MAONYESHO YA KAMPUNI YA EAG GROUP
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cPakA0chAEwj6tuwTPXOCfQI6N7I9iFMK-YDs77eHtx7Ail0duS1lvaxaYfOIvUUA-rq7TInrfYz1B*ooCeva2TNxzEdwRcg/Mafikizolo720x478.jpg?width=650)
MAFIKIZOLO KUTUA LEO JIJINI DAR, KUFANYA MAKAMUZI KESHO MLIMANI CITY
Kundi maarufu la muziki wa Kwaito la nchini Afrika Kusini, Mafikizolo linatarajia kutua mchana huu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya onesho moja tu linalotarajia kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City, kesho, Jumamosi Aprili 5 mwaka huu. Mafikizolo imekuwa na rekodi nzuri ya kushinda kwenye tuzo mbalimbali za muziki, kutokana na kupiga muziki na kucheza kwa umahiri, hasa mtindo wao maarufu wa Kwaito. Kundi hilo linaloundwa na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-17GLxqJ2lD0/Xkvll190n2I/AAAAAAALd60/Wg9ed2yEIcsywgdTIWaMQYMJ6DXLQFALgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-18%2Bat%2B16.03.33.jpeg)
9 years ago
GPLMAONESHO YA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO 2015 YAZINDULIWA KWA KISHINDO
Mgeni rasmi Dk. Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa maonesho hayo. Maonesho haya ya pili ya Swahili International Tourism Expo 2015 yalipata nafasi ya kutembelewa na Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal akiwa ndiye mgeni rasmi pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Tanzania, Dk. Adelhelm Meru. Maonesho haya yatakayochukua takribani siku tatu mpaka tarehe 03-10-2015 kwa mwaka huu, katika...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania