Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA KUSHIRIKI MAONESHO YA DUNIA (EXPO 2020)


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

maonesho ya 4 ya Tanzania Homes Expo kuanza Agosti 23 - 24,2014

Mkurugenzi wa Tanzania Homes Expo, Zenno Ngowi  akizungumza na waandishi (hawapo pichani)  jijini Dar es salaam leo kuhusu Uzinduzi wa maonesho ya 4 ya Tanzania Homes Expo na EAG Group Ltd yatakayofanyika Dar es Salaam kuanzia Agosti 23-24 mwaka huu. Kushoto ni Meneja Biashara,Mathew Gugai. (Picha Francis Dande)

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajasiriamali Tanzania kushiriki maonesho ya Juakali

p>WAJASIRIAMALI 250 wameondoka jana kuelekea nchini Kenya kushiriki maonesho ya Juakali na Nguvukazi yanayoshirikisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kushiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya Madini ya Vito na Usonara huko Thailand baadae mwezi huu



Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam

Tanzania inatarajiwa kuwa, miongoni mwa nchi 150 zitakazoshiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya madini ya vito na usonara yatakayofanyika Bangkok Thailand, kuanzia tarehe 25 februari hadi tarehe 1 Machi, 2014.

Kutokana na kuwa na hazina kubwa ya madini ya aina mbalimbali, Tanzania imealikwa kuwa miongoni mwa nchi zitakazo shiriki maonesho hayo yanayojulikana kama ‘Bangkok Gems and Jewelry  Fair’.

Akizungumzia ushiriki wa Tanzania katika maonesho hayo...

 

10 years ago

GPL

MAONESHO YA 5 YA HOMES EXPO YAENDELEA MLIMANI CITY

Sehemu ya Mapokezi ya Maonesho ya Tanzania Home Expo. Mmoja wa wahudumu wa maonesho ya Biashara (kushoto) akielekeza baadhi ya wananchi waliofika katika maonesho hayo.…

 

9 years ago

GPL

MAONESHO YA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO 2015 YAZINDULIWA KWA KISHINDO

Mgeni rasmi Dk. Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa maonesho hayo. Maonesho haya ya pili ya Swahili International Tourism Expo 2015 yalipata nafasi ya kutembelewa na Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal akiwa ndiye mgeni rasmi pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Tanzania, Dk. Adelhelm Meru. Maonesho haya yatakayochukua takribani siku tatu mpaka tarehe 03-10-2015 kwa mwaka huu, katika...

 

10 years ago

GPL

EAG-GROUP KUFANYA MAONESHO YA HOMES EXPO MLIMANI CITY 29-30 MEI

Mkurugenzi wa Eag-Group, Zenno Ngowi (katikati), akitoa tamko.  Kushoto ni  Ofisa Masoko wa Eag-Group, Helen Mangare (kushoto) na Richard Ryanda. Maofisa wa Homes Expo wakisikiliza maswali kutoka kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

10 years ago

GPL

MISS TANZANIA 2013 KUSHIRIKI MASHINDANO YA DUNIA DESEMBA

Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga, akiwa kwenye hafla hiyo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani