Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajasiriamali Tanzania kushiriki maonesho ya Juakali

p>WAJASIRIAMALI 250 wameondoka jana kuelekea nchini Kenya kushiriki maonesho ya Juakali na Nguvukazi yanayoshirikisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Tanzania kushiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya Madini ya Vito na Usonara huko Thailand baadae mwezi huu



Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam

Tanzania inatarajiwa kuwa, miongoni mwa nchi 150 zitakazoshiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya madini ya vito na usonara yatakayofanyika Bangkok Thailand, kuanzia tarehe 25 februari hadi tarehe 1 Machi, 2014.

Kutokana na kuwa na hazina kubwa ya madini ya aina mbalimbali, Tanzania imealikwa kuwa miongoni mwa nchi zitakazo shiriki maonesho hayo yanayojulikana kama ‘Bangkok Gems and Jewelry  Fair’.

Akizungumzia ushiriki wa Tanzania katika maonesho hayo...

 

9 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA WAJASIRIAMALI

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori akizungumza na Afisa Mwandamizi Matekelezo wa NSSF, Theopista Muheta (kulia) na Afisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Aisha Sango wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu).Afisa Matekelezo Sekta Binafsi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Edwin Kafanabo akitoa maelezo jinsi ya kujiunga kwa hiari uanachama wa...

 

11 years ago

Habarileo

Kampuni 20 kushiriki maonesho ya kilimo

MAKAMPUNI 20 kutoka nje ya nchi yamethibitisha kushiriki maonesho ya kimataifa ya kilimo yatakayofanyika jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yameandaliwa na Kampuni ya Bizfora Investment.

 

11 years ago

Dewji Blog

Maonesho ya wajasiriamali kufanyika Kigali Novemba

wema pics 34

Afisa Habari Mkuu wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwani Wema (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni , jijini Dar es Salaam kuhusu maonesho ya 15 ya wajasiriamali wa sekta isiyo rasmi ya Jumuhiya ya Afrika Mashariki; yajulikanayo kama Nguvu Kazi/Jua Kali yanayotarajiwa kufanyika Kigali Rwanda,Novemba 30 hadi Desemba 7 mwaka huu. Kulia ni  Afisa Kazi Mwandamizi wa Wizara ya Kazi na Ajira, Sara Daudi. 

Lorietha Laurence- Maelezo

Wajasiriamali wamehimizwa kujiandikisha kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Wanafunzi wawili kushiriki maonesho ya sayansi Ireland

WANAFUNZI wawili wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Mzumbe, Morogoro, wamekwenda Dublin, Ireland kushiriki maonesho ya sayansi na teknolojia.

 

10 years ago

Michuzi

KINAMAMA WAJASIRIAMALI WATIA FORA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA NDOLA, ZAMBIA

Tarehe 1 hadi 7 Julai 2015 kulikuwako maonyesho ya kibiashara yaliyofanyika mji wa Ndola. Kama ilivyo ada kwa Watanzania, walishiriki maonesho hayo na kutia fora kwa bidhaa zao mbalimbali. Kikundi cha Wajasiriamali kinachojulikana HOT kutoka Dar es Salaam kilishiriki kama kinvyoonekana kwenye picha mbali mbali wakiwa wamepiga picha na Balozi wetu wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace J. Mujuma. Balozi alikwenda Ndola kuwaunga mkono. Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace J. Mujuma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani