Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi wawili kushiriki maonesho ya sayansi Ireland

WANAFUNZI wawili wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Mzumbe, Morogoro, wamekwenda Dublin, Ireland kushiriki maonesho ya sayansi na teknolojia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WANAFUNZI BORA WA SAYANSI WAENDA DUBLIN IRELAND

 Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Ireland nchini, Rita Bowen (wa pili kushoto) akikabidhi zawadi kwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ilongelo   ya Singida, Jafari Ndagula mmoja wa washindi wawili wa jumla wa  shindano la Wanasayansi Chipukizi Tanzania 2013 (YST) katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Jafari na mwenzake Fidel Samwel (hayupo pichani) wataiwakilisha Tanzania katika sherehe...

 

10 years ago

Michuzi

Wanafunzi Chimbukizi wa Sayansi wapata udhamini wa kusoma nchini Ireland

Na Chalila Kibuda na Globu ya Jamii ,Dar
Wanafunzi Chimbukizi wa Sayansi wameitaka serikali kuwekeza katika masomo ya sayansi ili nchi kuweza kupata watalaam ambao watasaidia kutatua changamoto katika jamii.
Hayo waliyasema leo wanafunzi wa Sayansi Chimbukizi walioshinda mashindano ya utafiti kwa kutumia malighafi asili ya kutengeneza dawa ya kuua Nzi na Mbuu ambao wamepewa udhamini na Mfuko wa  Karimjee Jivanjee  (KJF)wa kwenda kusoma nchini Ireland.
Wanafunzi hao ni Dharia Amour Ali na Salma...

 

9 years ago

Dewji Blog

Karimjee yakabidhi Scholarship kwa washindi wa Sayansi 2015, wapaa kwenda Ireland

Wanafunzi John Method (kushoto) na Edwin Luguku (wa pili kulia) kutoka Shule ya Sekondari Mzumbe mkoani Morogoro wakipokea hati zao za ufadhili kutoka kwa Karimjee na Ofisa Ubalozi wa Ireland nchini, Bi. Carlo. Wanafunzi hao waliibuka washindi wa jumla katika maonesho ya Sayansi kwa Shule za Sekondari mwaka 2015 yanayoandaliwa na taasisi ya Young Scientists Tanzania (YST). (Picha zote na Daniel Mbega wa www.brotherdanny.com).

Ofisa Ubalozi wa Ireland nchini, Bi. Carlo, akizungumza na...

 

11 years ago

Habarileo

Kampuni 20 kushiriki maonesho ya kilimo

MAKAMPUNI 20 kutoka nje ya nchi yamethibitisha kushiriki maonesho ya kimataifa ya kilimo yatakayofanyika jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yameandaliwa na Kampuni ya Bizfora Investment.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajasiriamali Tanzania kushiriki maonesho ya Juakali

p>WAJASIRIAMALI 250 wameondoka jana kuelekea nchini Kenya kushiriki maonesho ya Juakali na Nguvukazi yanayoshirikisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani