WANAFUNZI BORA WA SAYANSI WAENDA DUBLIN IRELAND
 Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Ireland nchini, Rita Bowen (wa pili kushoto) akikabidhi zawadi kwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ilongelo  ya Singida, Jafari Ndagula mmoja wa washindi wawili wa jumla wa  shindano la Wanasayansi Chipukizi Tanzania 2013 (YST) katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Jafari na mwenzake Fidel Samwel (hayupo pichani) wataiwakilisha Tanzania katika sherehe...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo05 Jan
Wanafunzi wawili kushiriki maonesho ya sayansi Ireland
WANAFUNZI wawili wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Mzumbe, Morogoro, wamekwenda Dublin, Ireland kushiriki maonesho ya sayansi na teknolojia.
10 years ago
Michuzi
Wanafunzi Chimbukizi wa Sayansi wapata udhamini wa kusoma nchini Ireland
Wanafunzi Chimbukizi wa Sayansi wameitaka serikali kuwekeza katika masomo ya sayansi ili nchi kuweza kupata watalaam ambao watasaidia kutatua changamoto katika jamii.
Hayo waliyasema leo wanafunzi wa Sayansi Chimbukizi walioshinda mashindano ya utafiti kwa kutumia malighafi asili ya kutengeneza dawa ya kuua Nzi na Mbuu ambao wamepewa udhamini na Mfuko wa Karimjee Jivanjee (KJF)wa kwenda kusoma nchini Ireland.
Wanafunzi hao ni Dharia Amour Ali na Salma...
10 years ago
Michuzi
WANAFUNZI NA WALIMU BORA WA MASOMO YA SAYANSI WANEEMEKA NA NMB


10 years ago
GPLWANAFUNZI NA WALIMU BORA WA MASOMO YA SAYANSI WANEEMEKA NA NMB
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Karimjee yakabidhi Scholarship kwa washindi wa Sayansi 2015, wapaa kwenda Ireland



Wanafunzi John Method (kushoto) na Edwin Luguku (wa pili kulia) kutoka Shule ya Sekondari Mzumbe mkoani Morogoro wakipokea hati zao za ufadhili kutoka kwa Karimjee na Ofisa Ubalozi wa Ireland nchini, Bi. Carlo. Wanafunzi hao waliibuka washindi wa jumla katika maonesho ya Sayansi kwa Shule za Sekondari mwaka 2015 yanayoandaliwa na taasisi ya Young Scientists Tanzania (YST). (Picha zote na Daniel Mbega wa www.brotherdanny.com).

Ofisa Ubalozi wa Ireland nchini, Bi. Carlo, akizungumza na...
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Wanafunzi waaswa kusoma sayansi
Na Patricia Kimelemeta, Muleba
WANAFUNZI wametakiwa kupenda kusoma masomo ya sayansi waweze kupata fursa ya ajira wanapomaliza masomo yao, jambo ambalo linaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana alikuwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyakatanga wilayani Muleba wakati wa kukabidhi kompyuta zitakazotumika kwa ajili ya masomo ya sayansi.
Alisema hatua hiyo itawasaidia kuingia kwenye soko la ushindani wa...
11 years ago
Habarileo12 Aug
Wanafunzi sayansi ‘kuula’ mikopo
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali imesema imeweka mkazo kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi wapewe kipaumbele kupata mikopo ya elimu ya juu katika Bodi ya Mikopo ya Zanzibar.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Wanafunzi wahimizwa masomo ya sayansi
WANAFUNZI wa shule mbalimbali nchini wametakiwa kujifunza masomo ya sayansi kutokana na umuhimu wake katika ugunduzi wa vitu ili kusaidia taifa kimaendeleo. Imeelezwa kuwa idadi kubwa ya wanafunzi na walimu...
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Cadaver: Maiti zinazotumiwa na wanafunzi wa sayansi ya tiba