Cadaver: Maiti zinazotumiwa na wanafunzi wa sayansi ya tiba
>Mwaka 335-280 nchini Ugiriki kabla ya kuzaliwa kwa Kristo alitokea mwanasayansi nchini humo aitwaye Herophilus, huyu ndiye mtu wa kwanza kujenga mafunzo juu ya maumbile ya mwanadamu, kitaalamu ‘Anatomy’.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Utaalamu wa tiba asili wa kuunga mifupa; Unakinzana na sayansi
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Wanafunzi wahimizwa masomo ya sayansi
WANAFUNZI wa shule mbalimbali nchini wametakiwa kujifunza masomo ya sayansi kutokana na umuhimu wake katika ugunduzi wa vitu ili kusaidia taifa kimaendeleo. Imeelezwa kuwa idadi kubwa ya wanafunzi na walimu...
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Wanafunzi waaswa kusoma sayansi
Na Patricia Kimelemeta, Muleba
WANAFUNZI wametakiwa kupenda kusoma masomo ya sayansi waweze kupata fursa ya ajira wanapomaliza masomo yao, jambo ambalo linaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana alikuwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyakatanga wilayani Muleba wakati wa kukabidhi kompyuta zitakazotumika kwa ajili ya masomo ya sayansi.
Alisema hatua hiyo itawasaidia kuingia kwenye soko la ushindani wa...
11 years ago
Habarileo12 Aug
Wanafunzi sayansi ‘kuula’ mikopo
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali imesema imeweka mkazo kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi wapewe kipaumbele kupata mikopo ya elimu ya juu katika Bodi ya Mikopo ya Zanzibar.
9 years ago
Habarileo05 Jan
Wanafunzi wawili kushiriki maonesho ya sayansi Ireland
WANAFUNZI wawili wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Mzumbe, Morogoro, wamekwenda Dublin, Ireland kushiriki maonesho ya sayansi na teknolojia.
10 years ago
Habarileo27 Mar
Mbinu mpya masomo ya sayansi kuwavuta wanafunzi
SERIKALI imesema inatarajia kuwepo mabadiliko makubwa katika ufundishaji wa masomo ya sayansi na wanafunzi kupenda somo hilo baada ya walimu 2,000 wa sayansi kupatiwa mafunzo ya mbinu za kufundisha somo hilo.
11 years ago
GPLWANAFUNZI BORA WA SAYANSI WAENDA DUBLIN IRELAND
10 years ago
Habarileo26 Mar
Kinana awashauri wanafunzi kusoma masomo ya sayansi
WANAFUNZI nchini wameshauriwa kusoma masomo ya sayansi ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kuajiriwa na taasisi za ndani na nje ya nchi kwa urahisi.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-wefiQH_2iFE/VgInsjhVcTI/AAAAAAAH62Q/rCPL71cnKDk/s72-c/1w.jpg)
WANAFUNZI NA WALIMU BORA WA MASOMO YA SAYANSI WANEEMEKA NA NMB
![](http://1.bp.blogspot.com/-wefiQH_2iFE/VgInsjhVcTI/AAAAAAAH62Q/rCPL71cnKDk/s640/1w.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/--y20UMZPaHA/VgIns6HarbI/AAAAAAAH62I/NBA7cEwMJcQ/s640/2w.jpg)