Wanafunzi Chimbukizi wa Sayansi wapata udhamini wa kusoma nchini Ireland
![](http://3.bp.blogspot.com/-2qskgZkOg0I/VKvjVeeSrqI/AAAAAAAG7tM/Iu8Y4_sIqE4/s72-c/DSC_0542.jpg)
Na Chalila Kibuda na Globu ya Jamii ,Dar
Wanafunzi Chimbukizi wa Sayansi wameitaka serikali kuwekeza katika masomo ya sayansi ili nchi kuweza kupata watalaam ambao watasaidia kutatua changamoto katika jamii.
Hayo waliyasema leo wanafunzi wa Sayansi Chimbukizi walioshinda mashindano ya utafiti kwa kutumia malighafi asili ya kutengeneza dawa ya kuua Nzi na Mbuu ambao wamepewa udhamini na Mfuko wa Karimjee Jivanjee (KJF)wa kwenda kusoma nchini Ireland.
Wanafunzi hao ni Dharia Amour Ali na Salma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo05 Jan
Wanafunzi wawili kushiriki maonesho ya sayansi Ireland
WANAFUNZI wawili wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Mzumbe, Morogoro, wamekwenda Dublin, Ireland kushiriki maonesho ya sayansi na teknolojia.
11 years ago
GPLWANAFUNZI BORA WA SAYANSI WAENDA DUBLIN IRELAND
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Wanafunzi waaswa kusoma sayansi
Na Patricia Kimelemeta, Muleba
WANAFUNZI wametakiwa kupenda kusoma masomo ya sayansi waweze kupata fursa ya ajira wanapomaliza masomo yao, jambo ambalo linaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana alikuwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyakatanga wilayani Muleba wakati wa kukabidhi kompyuta zitakazotumika kwa ajili ya masomo ya sayansi.
Alisema hatua hiyo itawasaidia kuingia kwenye soko la ushindani wa...
10 years ago
Habarileo26 Mar
Kinana awashauri wanafunzi kusoma masomo ya sayansi
WANAFUNZI nchini wameshauriwa kusoma masomo ya sayansi ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kuajiriwa na taasisi za ndani na nje ya nchi kwa urahisi.
11 years ago
Dewji Blog03 May
Dkt. Kone awahimiza Wanafunzi kusoma masomo ya Sayansi
Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone, akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani (mei mosi),yaliyofanyika kimkoa katika uwanja wa namfua mjini Singida (01/5/2014).Maadhimisho ya mwaka huu kwa mkoa wa Singida yalihudhuriwa na watumishi wa umma na wananchi wachache ukilinganisha na miaka iliyopita.Kushoto ni mratibu wa RAAWU mkoa wa Singida na mwenyekiti wa kilele cha maadhimisho ya sherehe ya siku kuu ya wafanyakazi duniani (Mei mosi mwaka huu).
Na...
9 years ago
MichuziGLOBAL EDUCATION LINK (GEL) YASAFILISHA WANAFUNZI KWENDA KUSOMA NCHINI INDIA
9 years ago
Dewji Blog24 Aug
Global Education Link (GEL) yasafirisha wanafunzi kwenda kusoma nchini India
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwasindikiza wanafunzi 30 wanaokwenda kusoma nchini India Agosti 21, 2015 katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwaita majina wanafunzi waliokuwa...
9 years ago
Dewji Blog29 Oct
Global Education Link (GEL) yapeleka wanafunzi 65 kusoma vyuo vikuu nchini China
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa ajili ya kuwasindikiza wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu nchini China mapema jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Global education link (GEL) Abdulmalik Mollel akiwaita majina wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu nchini China mapema jana katika Uwanja...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZAKwFZCEa9o/U_8C2qEQnLI/AAAAAAAGKLM/3C6ya1ZfU_Y/s72-c/unnamed%2B(20).jpg)
BG Tanzania yawadhamini wanafunzi kumi kupata elimu ya juu ngazi ya stashahada ya uzamili ( Masters of science degree) ya sayansi nchini Uingereza
Katika hafla hii, wanafunzi watapata fursa ya kukutana na Meneja Mkuu wa BG Tanzania ( Derek Hudson) pamoja na wafanyakazi na wadau Mbalimbali.
Udhamini huu wa elimu ya juu ni kati ya mpango mkakati wa maendelo ya jamii...