Maonesho ya wajasiriamali kufanyika Kigali Novemba
Afisa Habari Mkuu wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwani Wema (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni , jijini Dar es Salaam kuhusu maonesho ya 15 ya wajasiriamali wa sekta isiyo rasmi ya Jumuhiya ya Afrika Mashariki; yajulikanayo kama Nguvu Kazi/Jua Kali yanayotarajiwa kufanyika Kigali Rwanda,Novemba 30 hadi Desemba 7 mwaka huu. Kulia ni Afisa Kazi Mwandamizi wa Wizara ya Kazi na Ajira, Sara Daudi.
Lorietha Laurence- Maelezo
Wajasiriamali wamehimizwa kujiandikisha kwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi20 Aug
9 years ago
MichuziNSSF YASHIRIKI MAONESHO YA WAJASIRIAMALI
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Wajasiriamali Tanzania kushiriki maonesho ya Juakali
9 years ago
MichuziTAMASHA LA UTALII NA AMANI KUFANYIKA NOVEMBA 22 ARUSHA
mkurugenzi wa kampuni ya Arusha Media ambaye ni mmojawapo wa waandaaji wa tamasha hili Musa Juma katikati akiwa anaongea na waandishi wa habari kuhusiana na tamasha hilo Akizungumzia tamasha hilo na kutaja michezo itakayokuwepo , Mkurugenzi wa Alfredo Shahanga Sports Promotion ,Alfredo Shahanga katika kati baadhi ya waandishi wa habari wakifatilia mkutano huoMratibu wa Tamasha hilo, Andrea Ngobole katikati akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari awapo pichani
Na Woinde...
9 years ago
GPL9 years ago
Michuzi12 Nov
10 years ago
Michuzi28 Sep
TAMASHA LA UPENDO WA MAMA KUFANYIKA JIJINI ARUSHA TAREHE 2 NOVEMBA 2014
10 years ago
GPLKONGAMANO LA WAJASIRIAMALI KUFANYIKA DAR, MWANZA
10 years ago
Dewji Blog03 Mar
Tamasha la Karibu International Music Festival kufanyika novemba, 2015 mjini Bagamoyo
Mratibu wa Tamasha la Karibu International Music Festival, Richard Lupia (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu tamasha la pili litakalofanyika mwezi Novemba mwaka huu katika viwanja vya Mwanakalenge Bagamoyo. Tamasha hilo limeandaliwa na Taasisi ya Karibu Cultural Promotion na kuratibiwa na Kampuni ya Legendary Music Entertainment. Kulia ni Ofisa Habari wa Kampuni ya Karibu International Music Festival, Said Hashim.
Wanahabari wakichukua...