Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamasha la Karibu International Music Festival kufanyika novemba, 2015 mjini Bagamoyo

Mratibu wa Tamasha la Karibu International Music Festival, Richard Lupia (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu tamasha la pili litakalofanyika mwezi Novemba mwaka huu katika viwanja vya Mwanakalenge Bagamoyo. Tamasha hilo limeandaliwa na Taasisi ya Karibu Cultural Promotion na kuratibiwa na Kampuni ya Legendary Music Entertainment. Kulia ni Ofisa Habari wa Kampuni ya Karibu International Music Festival, Said Hashim.

Wanahabari wakichukua...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAMASHA KUBWA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL KUFANYIKA BAGAMOYO

 Meneja wa tamasha la Karibu Music Festival, Richard Lupia akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo. Kushoto ni Mratibu wa Tamsha, Issam Ramadhan na Kulia ni Afisa Habari wa Karibu Music Festival, Said Hashim.Meneja wa tamasha la Karibu Music Festival, Richard Lupia akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo. Kushoto ni Mratibu wa Tamsha, Issam Ramadhan
BOFYA...

 

9 years ago

Michuzi

Tamasha la Karibu Music Bagamoyo Limerudi Tena Sasa ni tarehe 6,7 na 8 Novemba, 2015

 Baada ya mafanikio makubwa 2014, tamasha kubwa la muziki Karibu Music Festival lifanyikalo kila mwaka limerudi tena mwaka huu kwa kishindo kikubwa Novemba hii tarehe 6, 7 na 8.Tamasha la Karibu Music Festival hufanyika kwa mfululizo wa siku 3 na litafanyika kwenye viwanja vya Mwakalinga Bagamoyo karibu kabisa na ufukwe wa bahari ya Hindi.

Mambo mazuri kwenye tamasha hili ni mchanganyiko wa mziki, utamaduni , michezo mbali mbali kutoka kwa wasanii mbali mbali watokao barani Asia, Ulaya ,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Papa Wemba awasili Dar, aelekea Bagamoyo kwenye Tamasha la Karibu Music Festival 2015

Mwanamuziki Papa Wemba (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake waandaaji wa Tamasha la Karibu Music Festival 2015 mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wake anayeratibu safari hiyo, Chebli Msaidie akimtambulisha kwa wenyeji wao. Mwanamuziki Papa Wemba akiwa katika picha ya pamoja na wasanii alioambatana nao waliomo katika bandi yake mara baada ya kutua Tanzania tayari kufanya mashambulizi katika Tamasha la...

 

9 years ago

Michuzi

Mwanamuziki Papa Wemba Awasili Dar, Aelekea Bagamoyo Kunogesha Tamasha la Karibu Music Festival 2015

MWANAMUZIKI nguli wa ndansi kutoka nchini Congo (DRC) Papa Wemba amewasili usiku huu jijini Dar es Salaam tayari kwa kutumbuiza katika tamasha la Karibu Music Festival 2015. 
Papa Wemba ametua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere (JNIA) majira ya saa nane kasoro na ndege ya shirika la Kenya (Kenya Airways-KQ). 
 Mara baada ya kuwasili msanii huyo pamoja na wanamuziki wake walipokewa na Meneja wake anayeratibu safari hiyo, Chebli Msaidie pamoja na waandaaji wa Tamasha...

 

9 years ago

Michuzi

PAPA WEMBA KUTUMBUIZA TAMASHA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL NOVEMBA 6-8 MWAKA HUU

 Ofisa Mauzo wa Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO), Ernest Biseko katikati  ambao ni waratibu wa Tamasha la Karibu Music Festival akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. kushoto ni  ni msanii, Jhikolabwino Manyika - Jhikoman na Meneja Uvumbuzi wa kinywaji cha Jebel cha Kampuni ya SBL, Attu Mynah Msanii Jhikolabwino Manyika - Jhikoman   wasanii wa Tamasha la Karibu Music Festival walivyojiandaa na  akionesha umahiri wake wa kupiga gitaa mbele ya waandishi wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Tamasha la Karibu Music Festival kukutanisha wanamuziki Bagamoyo

Wadau wa muziki nchini, Afrika Mashariki na dunia nzima kwa ujumla watapata fursa kujumuika pamoja na kubadilishana uzoefu wa kazi zao katika tamasha la pili la muziki maarufu kama ‘Karibu Music Festival’ litakalofanyika mapema mwezi ujao huko Bagamoyo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Nguli wa muziki Papa Wemba kutumbuiza Tamasha la Karibu Music Festival Novemba 6-8 mwaka huu

1 (1)

 Ofisa Mauzo wa Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO), Ernest Biseko katikati  ambao ni waratibu wa Tamasha la Karibu Music Festival akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. kushoto ni  ni msanii, Jhikolabwino Manyika – Jhikoman na Meneja Uvumbuzi wa kinywaji cha Jebel cha Kampuni ya SBL, Attu Mynah

MWANAMUZIKI nguli wa dansi kutoka nchini Congo DR, Papa Wemba ni miongoni mwa wasanii wanaotarajia kutumbuiza katika tamasha kubwa la Kimataifa la Muziki la ‘Karibu...

 

9 years ago

Michuzi

This Weekend "Karibu Music Festival, Bagamoyo 2015"

 The long wait is almost over, The Karibu Music Festival 2015, is taking off this weekend (Friday 6th Nov. To Sunday 8th November) Three days of extreme Music, Arts, and Cultural experience.
Headlining one of Africa's most popular musician and prominent in world music, PAPA WEMBA, and a variety of International Musicians from KENYA, UGANDA, TOGO and SOUTH AFRICA  to NORWAY, PAKISTAN and JAMAICA. 
With the a variety of Tanzanian Musicians, More than 20 Groups from Tanzania, ranging from...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani