Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Papa Wemba awasili Dar, aelekea Bagamoyo kwenye Tamasha la Karibu Music Festival 2015

Mwanamuziki Papa Wemba (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake waandaaji wa Tamasha la Karibu Music Festival 2015 mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wake anayeratibu safari hiyo, Chebli Msaidie akimtambulisha kwa wenyeji wao. Mwanamuziki Papa Wemba akiwa katika picha ya pamoja na wasanii alioambatana nao waliomo katika bandi yake mara baada ya kutua Tanzania tayari kufanya mashambulizi katika Tamasha la...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mwanamuziki Papa Wemba Awasili Dar, Aelekea Bagamoyo Kunogesha Tamasha la Karibu Music Festival 2015

MWANAMUZIKI nguli wa ndansi kutoka nchini Congo (DRC) Papa Wemba amewasili usiku huu jijini Dar es Salaam tayari kwa kutumbuiza katika tamasha la Karibu Music Festival 2015. 
Papa Wemba ametua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere (JNIA) majira ya saa nane kasoro na ndege ya shirika la Kenya (Kenya Airways-KQ). 
 Mara baada ya kuwasili msanii huyo pamoja na wanamuziki wake walipokewa na Meneja wake anayeratibu safari hiyo, Chebli Msaidie pamoja na waandaaji wa Tamasha...

 

9 years ago

Mtanzania

Papa Wemba: Karibu Music Festival ni tamasha la kipekee

Papa Wemba akifanya onyesho lake katika tamasha la Karibu Music Festival 2015. Picha kwa hisani ya Egdar NgelelaNa Hassan Bumbuli

TAMASHA la Karibu Music Festival lililomalizika hivi karibuni mjini Bagamoyo limeacha kumbukumbu ya mambo mengi kwa wapenzi wa sanaa ya muziki hapa nchini. Licha ya kwamba ni tamasha changa, lakini hakuna mtu anayeweza kufirikia kwamba ilikuwa ni mara ya pili kwa tamasha hilo kufanyika kutokana na jinsi lilivyoandaliwa kwa ufanisi mkubwa.

Mbali na maandalizi mazuri, lakini ubora wa kazi za sanaa zilizoonyeshwa jukwaani na wanamuziki mbalimbali ni sehemu ya mambo...

 

9 years ago

Michuzi

PAPA WEMBA KUTUMBUIZA TAMASHA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL NOVEMBA 6-8 MWAKA HUU

 Ofisa Mauzo wa Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO), Ernest Biseko katikati  ambao ni waratibu wa Tamasha la Karibu Music Festival akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. kushoto ni  ni msanii, Jhikolabwino Manyika - Jhikoman na Meneja Uvumbuzi wa kinywaji cha Jebel cha Kampuni ya SBL, Attu Mynah Msanii Jhikolabwino Manyika - Jhikoman   wasanii wa Tamasha la Karibu Music Festival walivyojiandaa na  akionesha umahiri wake wa kupiga gitaa mbele ya waandishi wa...

 

9 years ago

Bongo5

Papa Wemba kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Karibu, Bagamoyo, Nov 6

papa-wembaMuimbaji mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Papa Wemba, ni mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye tamasha la muziki la Karibu litakalofanyika kuanzia November 6 – 8. Tamasha hilo la muziki wa live litafanyika kwenye viwanja vya Mwanakalenge mjini Bagamoyo. Wasanii wengine watakaotumbuiza kwenye tamasha hilo wanasomeka kwenye poster hiyo chini. Wasanii wa ndani watakaitumbuiza […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Nguli wa muziki Papa Wemba kutumbuiza Tamasha la Karibu Music Festival Novemba 6-8 mwaka huu

1 (1)

 Ofisa Mauzo wa Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO), Ernest Biseko katikati  ambao ni waratibu wa Tamasha la Karibu Music Festival akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. kushoto ni  ni msanii, Jhikolabwino Manyika – Jhikoman na Meneja Uvumbuzi wa kinywaji cha Jebel cha Kampuni ya SBL, Attu Mynah

MWANAMUZIKI nguli wa dansi kutoka nchini Congo DR, Papa Wemba ni miongoni mwa wasanii wanaotarajia kutumbuiza katika tamasha kubwa la Kimataifa la Muziki la ‘Karibu...

 

9 years ago

Dewji Blog

KARIBU MUSIC FESTIVALS 2015: Papa Wemba afanya maajabu Bagamoyo!

DSC_1032

Mwanamuziki nguli wa dansi kutoka DRC Congo, Papaa Wemba  kushoto akiimba na kucheza sambamba na madansa wake  jukwaani usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la muzuki la Karibu Music Festival msimu wa pili linaloendelea katika viwanja vya Mwanakalenge,mjini Bagamoyo. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[BAGAMOYO-TANZANIA]  Mwanamuziki kutoka Congo mwenye makazi yake nchini Ufaransa, Papaa Wemba, ameweza kuonyesha ukomavu wake kwenye muziki wa dansi licha...

 

9 years ago

Mtanzania

Papa Wemba, Weusi wafunga kazi Karibu Music Festival

Papa Wemba BagamoyoNa Mwandishi Wetu, Bagamoyo

MWANAMUZIKI nguli wa rhumba kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Jules Shungu Kikumba maarufu kama Papa Wemba na kundi la muziki wa hip hop la Weusi, juzi walifunga kazi kwa shoo zao kabambe kwenye tamasha la pili la Karibu Music Festival.

Tamasha hilo la siku tatu juzi lilishuhudia maonyesho makali kutoka kwa bendi mbalimbali zilizopanda jukwaani huku Papa Wemba na Weusi wao wakiwa wa mwisho kutumbuiza usiku huo.

Papa Wemba aliwapagawisha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tamasha la Karibu International Music Festival kufanyika novemba, 2015 mjini Bagamoyo

Mratibu wa Tamasha la Karibu International Music Festival, Richard Lupia (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu tamasha la pili litakalofanyika mwezi Novemba mwaka huu katika viwanja vya Mwanakalenge Bagamoyo. Tamasha hilo limeandaliwa na Taasisi ya Karibu Cultural Promotion na kuratibiwa na Kampuni ya Legendary Music Entertainment. Kulia ni Ofisa Habari wa Kampuni ya Karibu International Music Festival, Said Hashim.

Wanahabari wakichukua...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADHI YA WASANII NA VIKUNDI VITAKAVYOSHIRIKI KWENYE TAMASHA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL, BAGAMOYO TANZANIA.


PANDA 1/2 (JAPAN)MARIA KATE (FRANCE)IFE PIANKHI (UGANDA)MASAYO (JAPAN)FANTUZZI (USA)SHIWE MUSIQUE (COMORO)DEMBEDE (KENYA)MBIYE EBRIMA (GUINEA)JHIKOMAN & Afrikabisa Band(TANZANIA)WAHAPAHAPA BAND(TANZANIA)SEGERE ORIGINAL (TANZANIA)BARNABA (TANZANIA)VITALIS MAEMBE (TANZANIA)THE SPIRIT BAND (TANZANIA)MAMA AFRICA (TANZANIA)CHIBITE ZAWOSE FAMILY (TANZANIA)AFRIKWETU (TANZANIA)TONGWA ENSEMBLE (TANZANIA)LEO MKANYIA (TANZANIA)COCODO BAND(TANZANIA)HOKORORO BAND (TANZANIA)LUMUMBA THEATER(TANZANIA)MSWANU...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani