PAPA WEMBA KUTUMBUIZA TAMASHA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL NOVEMBA 6-8 MWAKA HUU
Ofisa Mauzo wa Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO), Ernest Biseko katikati ambao ni waratibu wa Tamasha la Karibu Music Festival akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. kushoto ni ni msanii, Jhikolabwino Manyika - Jhikoman na Meneja Uvumbuzi wa kinywaji cha Jebel cha Kampuni ya SBL, Attu Mynah
Msanii Jhikolabwino Manyika - Jhikoman wasanii wa Tamasha la Karibu Music Festival walivyojiandaa na akionesha umahiri wake wa kupiga gitaa mbele ya waandishi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Nguli wa muziki Papa Wemba kutumbuiza Tamasha la Karibu Music Festival Novemba 6-8 mwaka huu
Ofisa Mauzo wa Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO), Ernest Biseko katikati ambao ni waratibu wa Tamasha la Karibu Music Festival akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. kushoto ni ni msanii, Jhikolabwino Manyika – Jhikoman na Meneja Uvumbuzi wa kinywaji cha Jebel cha Kampuni ya SBL, Attu Mynah
MWANAMUZIKI nguli wa dansi kutoka nchini Congo DR, Papa Wemba ni miongoni mwa wasanii wanaotarajia kutumbuiza katika tamasha kubwa la Kimataifa la Muziki la ‘Karibu...
9 years ago
Mtanzania16 Nov
Papa Wemba: Karibu Music Festival ni tamasha la kipekee
Na Hassan Bumbuli
TAMASHA la Karibu Music Festival lililomalizika hivi karibuni mjini Bagamoyo limeacha kumbukumbu ya mambo mengi kwa wapenzi wa sanaa ya muziki hapa nchini. Licha ya kwamba ni tamasha changa, lakini hakuna mtu anayeweza kufirikia kwamba ilikuwa ni mara ya pili kwa tamasha hilo kufanyika kutokana na jinsi lilivyoandaliwa kwa ufanisi mkubwa.
Mbali na maandalizi mazuri, lakini ubora wa kazi za sanaa zilizoonyeshwa jukwaani na wanamuziki mbalimbali ni sehemu ya mambo...
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Papa Wemba awasili Dar, aelekea Bagamoyo kwenye Tamasha la Karibu Music Festival 2015
9 years ago
MichuziMwanamuziki Papa Wemba Awasili Dar, Aelekea Bagamoyo Kunogesha Tamasha la Karibu Music Festival 2015
Papa Wemba ametua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere (JNIA) majira ya saa nane kasoro na ndege ya shirika la Kenya (Kenya Airways-KQ).
Mara baada ya kuwasili msanii huyo pamoja na wanamuziki wake walipokewa na Meneja wake anayeratibu safari hiyo, Chebli Msaidie pamoja na waandaaji wa Tamasha...
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Papa Wemba kutumbuiza Tamasha la Karibu Muziki
HERIETH FAUSTINE NA ESTHER MNYIKA
WASANII wa ndani na nje ya nchi wanatarajia kutumbuiza katika tamasha la Karibu Music Festival 2015 huku mgeni mwalikwa akiwa ni mwanamuziki kutoka Congo, Papa Wemba.
Wasanii wengine wanaotarajiwa kutumbuiza katika tamasha hilo ni Jhikolaman, Isha Mashauzi, Damian Soul, Juma Nature, Barnaba, Shilole, mshindi wa pili wa BSS, Nassib Fonabo na bendi yake ya Spirit na wengine wengi.
Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika Novemba 6 hadi 8 katika viwanja vya...
9 years ago
Bongo502 Nov
Papa Wemba kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Karibu, Bagamoyo, Nov 6
![papa-wemba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/papa-wemba-94x94.jpg)
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Papa Wemba, Weusi wafunga kazi Karibu Music Festival
Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo
MWANAMUZIKI nguli wa rhumba kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Jules Shungu Kikumba maarufu kama Papa Wemba na kundi la muziki wa hip hop la Weusi, juzi walifunga kazi kwa shoo zao kabambe kwenye tamasha la pili la Karibu Music Festival.
Tamasha hilo la siku tatu juzi lilishuhudia maonyesho makali kutoka kwa bendi mbalimbali zilizopanda jukwaani huku Papa Wemba na Weusi wao wakiwa wa mwisho kutumbuiza usiku huo.
Papa Wemba aliwapagawisha...
9 years ago
Dewji Blog30 Oct
Mwanamuziki wa Afrika Kusini Bo Denim ‘Bo’ kutumbuiza Tamasha la Karibu Music Festival 2015
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Mwanamuziki nyota wa na balozi wa kutetea haki za watoto nchini Afrika Kusini Bo Denim ‘Bo’ kutoka Afrika Kusini ametajwa kuwa miongoni mwa wasanii wanaotarajia kutumbuiza katika tamasha kubwa la Kimataifa la Muziki la ‘Karibu Music Festival’ linaloratibiwa na Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO) na Legendary Music Entertainment and Promotions Co. Ltd. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa tamasha hilo, Amarido Charles kupitia kurasa zake za mitandao ya...
10 years ago
Dewji Blog03 Mar
Tamasha la Karibu International Music Festival kufanyika novemba, 2015 mjini Bagamoyo
Mratibu wa Tamasha la Karibu International Music Festival, Richard Lupia (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu tamasha la pili litakalofanyika mwezi Novemba mwaka huu katika viwanja vya Mwanakalenge Bagamoyo. Tamasha hilo limeandaliwa na Taasisi ya Karibu Cultural Promotion na kuratibiwa na Kampuni ya Legendary Music Entertainment. Kulia ni Ofisa Habari wa Kampuni ya Karibu International Music Festival, Said Hashim.
Wanahabari wakichukua...