Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI KUFANYIKA DAR, MWANZA

Mkurugenzi  wa kampuni ya Food Safety and Quality Consultancy Co. Ltd, Patronella Mlowe, akisisitiza jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Mratibu wa kampuni,  Paul Seni, akisoma taarifa ya makongamano hayo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DCB yang'arisha Kongamano la Wajasiriamali Dar

Meneja Masoko na Bidhaa wa Benki ya Biashara ya Dar es Salaam (DCB), Boyd Mwaisame, akitoa maelezo kwa wateja waliohudhuria Kongamano la Wajasiriamali Wanawake, kwenye viwanja vya Makumbusho Dar es Salaam, namna benki hiyo inavyoendesha huduma zake kadhaa, ikiwemo huduma za akiba, DCB Mobile, DCB jirani na utaratibu wa jinsi ya kukopa na masharti ya huduma za mikopo hasa SGL na Super SGL.

 

9 years ago

Michuzi

Kongamano la Diaspora na Wajasiriamali likiendelea kwa siku ya pili jijini Dar es Salaam


Chukwu-Emeka Chikezie akiongoza moja ya mdahalo katika kongamano la Diaspora, Balozi wa Marekani nchini Mhe. Mark Childress kwa pamoja na Bw. Ali Mufuruki, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maafisa Watendaji Wakuu nchini, Bw. Richard Miles, Mwakilishi wa Umoja wa Wafanyabiashara wa Marekani nchini na Dkt. Silencer Mapuranga, Mchumi kutoka ITC.Balozi wa Marekani nchini, mhe. Childress akichangia mada kuhusu mabadiliko ya kiuchumi Tanzania wakati wa Kongamano la Diaspora.Bw. Miles nae akichangia...

 

10 years ago

GPL

KONGAMANO LA TAIFA LA WATOTO, VVU NA UKIMWI KUFANYIKA DAR

Sehemu ya bango likiwa na ujumbe kuhusu  watoto. Mratibu Huduma za Tiba na Mafunzo za VVU na Ukimwi kwa Watoto, Dkt Anath Rwebembeza akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Makamu wa Rais na Mtendaji Mkuu…

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU: KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR AGOSTI

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali inaandaa kongamano la siku mbili litakalojadili mustakabali wa wana diaspora wa Tanzania kutoka nchi zote duniani ikiwa ni pamoja na kuwakutanisha na makampuni na wafanyabishara mbalimbali.
Ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki wakati alipokutana na Watanzania wanaoishi Uingereza kwenye mkutano uliofanyika ubalozi wa Tanzania jijini London.
Waziri Mkuu alisema kongamano hilo ambalo limepangwa kufanyika Agosti 14-15, mwaka huu, linalenga kuitambulisha...

 

9 years ago

Vijimambo

KONGAMANO LA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI KUFANYIKA AGOSTI 28-30, 2015 JIJINI DAR ES SALAAM

 Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Nuebrand EC, Cathreen Bukuku (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kongamano la wiki ya  huduma za kifedha na uwekezaji litakalofanyika Agosti 28 hadi 30 mwaka huu, viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkufunzi na Mratibu wa Mipango wa Kampuni hiyo, Daniel Wadelanga. Kongamano hilo limeandaliwa na Kampuni ya Nuebrand EC. Mjumbe wa Timu ya Mauzo wa Benki ya Uba United Bank for...

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM KUANZA ALHAMISI AGOSTI 14, 2015 HOTELI YA SERENA

Tukielekea kukamilisha maandalizi ya kongamano la Diaspora litakalofanyika kesho tarehe 13 hadi 15 Agosti, 2015 napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa kukubali mwaliko wetu wa kushiriki kongamano hilo na pia kuwakumbusha yafuatayo:

1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na 
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia...

 

10 years ago

Dewji Blog

CHADEMA yaandaa kongamano la wazee, kufanyika kesho Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Jijini Dar

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hashim Juma Issa (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu kongamano litakalo wakutanisha wazee wote bila kujali itikadi za vyama vyao litakalo jadili mustakabali wa taifa kuelekea uchaguzi mkuu litakalofanyika  kesho ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo jijini Dar es Salaam.

Makamu  Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani