maonesho ya 4 ya Tanzania Homes Expo kuanza Agosti 23 - 24,2014
Mkurugenzi wa Tanzania Homes Expo, Zenno Ngowi akizungumza na waandishi (hawapo pichani) jijini Dar es salaam leo kuhusu Uzinduzi wa maonesho ya 4 ya Tanzania Homes Expo na EAG Group Ltd yatakayofanyika Dar es Salaam kuanzia Agosti 23-24 mwaka huu. Kushoto ni Meneja Biashara,Mathew Gugai. (Picha Francis Dande)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMAONESHO YA 5 YA HOMES EXPO YAENDELEA MLIMANI CITY
Sehemu ya Mapokezi ya Maonesho ya Tanzania Home Expo. Mmoja wa wahudumu wa maonesho ya Biashara (kushoto) akielekeza baadhi ya wananchi waliofika katika maonesho hayo.…
10 years ago
GPLEAG-GROUP KUFANYA MAONESHO YA HOMES EXPO MLIMANI CITY 29-30 MEI
Mkurugenzi wa Eag-Group, Zenno Ngowi (katikati), akitoa tamko. Kushoto ni Ofisa Masoko wa Eag-Group, Helen Mangare (kushoto) na Richard Ryanda. Maofisa wa Homes Expo wakisikiliza maswali kutoka kwa wanahabari (hawapo pichani).…
10 years ago
VijimamboMAONYESHO YA TANO YA HOMES EXPO KUANZA MEI 29
.................................................ZAIDI ya Kampuni 70 hapa nchini kwa kushirikiana na nchi jirani,...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VUElcJ6_bHU/U4xEzU4tAII/AAAAAAAFnMg/sPCoZZ_zmHU/s72-c/New+Picture+(6).png)
MAONESHO YA BIDHAA ZA TANZANIA KATIKA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA, ZAMBIA (TANZANIA WEEK) KUANZA 25 -31 JULAI 2014
![](http://4.bp.blogspot.com/-VUElcJ6_bHU/U4xEzU4tAII/AAAAAAAFnMg/sPCoZZ_zmHU/s1600/New+Picture+(6).png)
Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia unachukua nafasi hii kuwakaribisha rasmi Watanzania kuja kushiriki katika maonesho haya. Tuna amini ni nafasi nzuri ya kujitanganza na kuonana uso kwa uso na wadau mbalimbali...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-17GLxqJ2lD0/Xkvll190n2I/AAAAAAALd60/Wg9ed2yEIcsywgdTIWaMQYMJ6DXLQFALgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-18%2Bat%2B16.03.33.jpeg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Pu0itxymJcM/U_Da3doJekI/AAAAAAAGAUA/YVesjeN0YUg/s72-c/unnamed%2B(16).jpg)
MSIMU WA KOROSHO KUANZA AGOSTI 20, 2014
Bodi ya korosho Nchini Imetangaza Kuanza rasmi kwa ununuzi na uuzaji wa korosho katika msimu wa 2014/2015 utakaonza tarehe 20 mwezi huu ili wakulima waweze kuitumia vema fursa ya kuvuna mapema korosho zao kabla ya nchi nyingine kuanza kuvuna. Mwenyekiti wa bodi ya korosho Tanzania Mhe Anna Abdallah (MB)ameyasema hayo akiongea na waandishi wa habari na kubainisha kuwa ili kufikia azima hiyo ya kutumia fusa ya uvunaji mapema ni vizuri wadau wote wanaohusika na uuzaji na ununuzi wakamilishe...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Rqw3XFfZUqg/U6fnplc1s6I/AAAAAAAFsYo/-ZUK0Z__ehI/s72-c/Untitled.vpng.png)
MAONESHO YA BIDHAA ZA TANZANIA KATIKA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA, ZAMBIA (TANZANIA WEEK) 25 -31 JULAI 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-Rqw3XFfZUqg/U6fnplc1s6I/AAAAAAAFsYo/-ZUK0Z__ehI/s1600/Untitled.vpng.png)
Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia unachukua nafasi hii kuwakaribisha rasmi Watanzania kuja kushiriki katika maonesho haya. Tuna amini ni nafasi nzuri ya kujitanganza na kuonana uso kwa uso na wadau...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-DocMlwLY0Sk/Xt35G728GEI/AAAAAAALtAg/n49-yg2NHhQhmYkBD99phhVM7ylCSl1TwCLcBGAsYHQ/s72-c/Saba_Crowd1.jpg)
MAONESHO YA 44 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA DAR ES SALAAM (44th DITF) KUANZA JULAI 1 – 13, 2020 KATIKA UWANJA WA MAONESHO WA MWL. J.K. NYERERE
![](https://1.bp.blogspot.com/-DocMlwLY0Sk/Xt35G728GEI/AAAAAAALtAg/n49-yg2NHhQhmYkBD99phhVM7ylCSl1TwCLcBGAsYHQ/s640/Saba_Crowd1.jpg)
Lengo la Maonesho haya ni kutoa fursa ya kutafuta masoko ya...
11 years ago
GPLTAIFA STARS, ZIMBABWE ZAINGIZA MIL 63, LIGU KUU TANZANIA BARA KUANZA AGOSTI 24 MWAKA HUU
Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Boniface Wambura akizungumza na vyombo vya habari. Waandishi wa habari wakisikiliza. Stori: Na Gabriel Ng'osha OFISA Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Boniface Wambura akizungumzia kuhusiana na mapato yaliyotokana na mechi kati ya Taifa Stars na Zimbabwe iliyochezwa wiki iliyopita ambapo jumla ya shilingi milioni 63 zilipatikana baada ya mashabiki...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania