MAONESHO YA BIDHAA ZA TANZANIA KATIKA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA, ZAMBIA (TANZANIA WEEK) KUANZA 25 -31 JULAI 2014
Katika kuendelea kusherehekea Muungano wetu na pia kujiunga na wenzetu wa nchi ya Zambia ambao nao mwaka huu wanasherehekea miaka 50 tangu wapate Uhuru (25 Oktoba), Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia unapenda kuwajulisha kuwa umeandaa maonesho ya bidhaa zinazozalishwa nchini Tanzania.
Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia unachukua nafasi hii kuwakaribisha rasmi Watanzania kuja kushiriki katika maonesho haya. Tuna amini ni nafasi nzuri ya kujitanganza na kuonana uso kwa uso na wadau mbalimbali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMAONESHO YA BIDHAA ZA TANZANIA KATIKA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA, ZAMBIA (TANZANIA WEEK) 25 -31 JULAI 2014
Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia unachukua nafasi hii kuwakaribisha rasmi Watanzania kuja kushiriki katika maonesho haya. Tuna amini ni nafasi nzuri ya kujitanganza na kuonana uso kwa uso na wadau...
11 years ago
MichuziMAANDALIZI YA MAONESHO YA TANZANIA WEEK YAPAMBA MOTO LUSAKA, ZAMBIA
10 years ago
VijimamboMHE. JAJI MKUU WA TANZANIA MOHAMED CHANDE OTHMAN ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA ZAMBIA
MHE. JAJI MOHAMED CHANDE OTHMAN AKIWA NA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA MHE. GRACE J. MUJUMA
MHE JAJI MKUU AKIONGEA NA WAFANYAKAZI WA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA WAKIWEMO MHE BALOZI GRACE J. MUJUMA, KAIMU MKUU WA UTAWALA NA KONSULA RICHARD LUPEMBE (HAYUPO PICHANI) NA MWAMBATA FEDHA HUDDY KIANGI WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI JAJI MKUU AKIELEZA JAMBO
JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. MOHAMED CHANDE OTHMAN ALIKUWA NA ZIARA YA KIKAZI NCHINI ZAMBIA KUANZIA TAREHE 2 HADI 6 MEI 2015 KWA...
10 years ago
MichuziDR. THOMAS KASHILILAH ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA ZAMBIA
11 years ago
MichuziBALOZI GRACE MUJUMA AKARIBISHA WADAU WATAOSHIRIKI MAONESHO YA TANZANIA WEEK LUSAKA
11 years ago
MichuziBALOZI WA TANZANIA LUSAKA ZAMBIA MHE GRACE MUJUMA AFUTURISHA WATANZANIA WAISHIO LUSAKA
11 years ago
Michuzimaonesho ya 4 ya Tanzania Homes Expo kuanza Agosti 23 - 24,2014
5 years ago
MichuziMAONESHO YA 44 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA DAR ES SALAAM (44th DITF) KUANZA JULAI 1 – 13, 2020 KATIKA UWANJA WA MAONESHO WA MWL. J.K. NYERERE
Lengo la Maonesho haya ni kutoa fursa ya kutafuta masoko ya...
10 years ago
MichuziRAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO