Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI GRACE MUJUMA AKARIBISHA WADAU WATAOSHIRIKI MAONESHO YA TANZANIA WEEK LUSAKA

 BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA MHE. GRACE MUJUMA AKIWAKARIBISHA WADAU WALIOKUJA KUSHIRIKI MAONESHO HAYO KUTOKA NGORONGORO CONSERVATION AREA AUTHORITY. KUTOKEA KUSHOTO NI AFISA FEDHA WA UBALOZI HUDDY KIANGI, CAPT. MICHAEL MASOTA, MHE BALOZI GRACE MUJUMA, SALUMU MAYOMBO. MHE BALOZI GRACE MUJUMA AKIZUNGUMZA NA  WADAU WALIOKUJA KUSHIRIKI MAONESHO HAYO KUTOKA NGORONGORO CONSERVATION AREA AUTHORITY. KUTOKEA KUSHOTO NI CAPT. MICHAEL MASOTA, MHE BALOZI GRACE MUJUMA, SALUMU MAYOMBO NA AFISA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA LUSAKA ZAMBIA MHE GRACE MUJUMA AFUTURISHA WATANZANIA WAISHIO LUSAKA

  BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA MHE GRACE MUJUMA (KATIKATI) AKIWA NA UONGOZI WA WAISLAM WAISHIO ZAMBIA WAKATI WA FUTARI ALIYOANDAA KWA WATANZANIA WAISHIO ZAMBIA NYUMBANI KWAKE JIJINI LUSAKA LEO BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA MHE GRACE MUJUMA (KATIKATI) AKIWA NA UONGOZI WA WAISLAM WAISHIO ZAMBIA. KUTOKEA KUSHOTO JUMA NURU MWAKILISHI WA LAKE PETROLEUM, HUDDY KIANGI AFISA WA UBALOZI, SHEIKH ALI MOHAMED ALLIY KAIMU MUFTI, MHE GRACE MUJUMA BALOZI, SHEIKH ASSADULLAH MWALE GRAND MUFTI NA...

 

11 years ago

Michuzi

MAONESHO YA BIDHAA ZA TANZANIA KATIKA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA, ZAMBIA (TANZANIA WEEK) 25 -31 JULAI 2014

 Katika kuendelea kusherehekea Muungano wetu na pia kujiunga na wenzetu wa nchi ya Zambia ambao nao mwaka huu wanasherehekea miaka 50 tangu wapate Uhuru (25 Oktoba), Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia unapenda kuwajulisha kuwa umeandaa maonesho ya bidhaa zinazozalishwa nchini Tanzania.
Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia unachukua nafasi hii kuwakaribisha rasmi Watanzania kuja kushiriki katika maonesho haya. Tuna amini ni nafasi nzuri ya kujitanganza na kuonana uso kwa uso na wadau...

 

11 years ago

Michuzi

MAONESHO YA BIDHAA ZA TANZANIA KATIKA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA, ZAMBIA (TANZANIA WEEK) KUANZA 25 -31 JULAI 2014

Katika kuendelea kusherehekea Muungano wetu na pia kujiunga na wenzetu wa nchi ya Zambia ambao nao mwaka huu wanasherehekea miaka 50 tangu wapate Uhuru (25 Oktoba), Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia unapenda kuwajulisha kuwa umeandaa maonesho ya bidhaa zinazozalishwa nchini Tanzania.
Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia unachukua nafasi hii kuwakaribisha rasmi Watanzania kuja kushiriki katika maonesho haya. Tuna amini ni nafasi nzuri ya kujitanganza na kuonana uso kwa uso na wadau mbalimbali...

 

11 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA MAONESHO YA TANZANIA WEEK YAPAMBA MOTO LUSAKA, ZAMBIA

MHESHIMIWA BALOZI  WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA MHE GRACE MUJUNA (KATI)  NA MAAFISA WAKE WAKIWA KWENYE MKUTANO WA MAANDALIZI YA MAONESHO YA TANZANIA WEEK. KUTOKEA KUSHOTO HUDDY KIANGIA (AFISA FEDHA WA UBALOZI), MR. MUNATTA (AFISA MAWASILIANO WA UBALOZI), MHE GRACE MUJUMA (BALOZI), JUSTA NYANGE (MKUU WA UTAWALA WA UBALOZI) NA RICHARD LUPEMBE (COUNSELOR WA UBALOZI)

 

11 years ago

IPPmedia

President Kikwete, PM Pinda to grace first Education week


IPPmedia
President Kikwete, PM Pinda to grace first Education week
IPPmedia
Tanzania will hold its first 'Education week' celebrations this year which will be officially opened by Prime Minister Mizengo Pinda on May 04 in Dodoma and closed by President Jakaya Kikwete on May 10. Sums to the tune of 500m/- have been set aside for ...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN AKUTANA NA WATANZANIA WANAOSHIRIKI MAONESHO YA SANAA NA UTAMADUNI MJINI MASCUT

Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh akisalimiana na Mwandishi wa Chanel Ten Said Makala Ofisini kwake alipowaita kwa lengo la kuwapa nasaha Washiriki wa Maonesho ya mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Jimbo la Al-Amerat mjini Mascut, nchini Oman.Mkuu wa Utawala Ubalozi wa Tanzania nchini Oman Abdallah Kilima kushoto akimkaribisha Balozi wa Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia kutoa nasaha zake kwa Washiriki wa Maonesho ya...

 

10 years ago

Michuzi

GEPF WAANZA WIKI MAALUM (GEPF WEEK) KWA BONANZA LA WADAU WA MFUKO KUELEKEA MKUTANO MKUU WA SITA WA WADAU

Timu ya Mfuko wa Pensheni wa GEPF ikipasha kabla ya kuanza kwa bonanza maalum la wiki ya GEPF (GEPF Week) katika viwanja vya shule ya sekondari ya Popatlal. Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini wa Mfuko wa GEPF Bi Joyce Shaidi akitoa neno la ufunguzi kabla ya kuanza rasmi kwa bonanza la wadau wa Mfuko wa GEPF. aliye mkono wake wa kushoto ni kamanda wa Polisi Mkoani Tanga, Omary Ntungu.Washindiwa Bonanza la GEPF timuya Chuo cha Utumishi cha Tanga wakifurahia ushindi baada ya kipenga cha mwisho...

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA BALOZI ZA KIAFRIKA LUSAKA ZAMBIA ZIKIADHIMISHA MIAKA YA 50 YA OAU/AU

Sherehe za siku ya Afrika ambazo huadhimishwa tarehe 25 Mei 2014 ya kila mwaka nchini Zambia. Kwa upande wa Balozi za Afrika zilizopo Zambia sherehe hizi zimefanyika tarehe 27 Mei 2014 nyumbani kwa Balozi wa Nigeria. Katika sherehe hizo Tanzania ilishiriki kikamilifu. Mhe. Grace Mujuma Balozi wa Tanzania nchini Zambia akiangalia na kutoa maelekezo katika banda la Tanzania jinsi ya kupanga vyakula vya Kitanzania ambapo kila nchi zilizoshiriki sherehe hizi zilipika vyakula vinavyoliwa sana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani