Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AFUNGUA MAONYESHO YA DAR PROPERTY EXPO


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, akikata utepe kufungua maonyesho ya uwekezaji katika majengo yajulikanayo kama Dar Property Expo kwenye ukumbi wa VIP wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, Jumamosi Mei 2, 2015. Makampuni na mabenki mbalimb ali yanashiriki kwenye maonyesho hayo
Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakiwapatia maelezo wananchi kuhusu namna wanavyoweza kupata nyumba na jinsi walivyowekeza kwenye majengo waliotembelea banda la Mfuko huo
MKUU wa Mkoa wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA CHINA 2015, DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa (wa tano kulia), akifurahi baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Bidhaa za China 2015, uliofanyika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam leo asubuhi. Wengine na maofisa biashara wa China na wadau wa masuala ya biashara. Hapa Katibu Uledi Mussa akitia saini wakati wa ufunguzi wa maonyesha hayo. Hapa akioneshwa bidhaa mbalimbali.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Afungua Mkutano wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Viongozi wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo.Baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini mbalimbali wakimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akiwahutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Viongozi wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro).

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AFUNGUA MAONYESHO YA SIDO NA TAHA

 Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mh Magessa Mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la wahabeshi katika uzinduzi wa maonyesho ya  sido.  Mkurugenzi wa Sido Taifa Omary Bakari akiwa anasoma risala kwa mgeni rasmi katika maonyesho hayo.  meneja wa Sido  Isidori kayenze Arusha akiendelea kunogesha maonyesho hayo. baadhi ya bidhaa za shanga zilizopo katika maonyesho ya sido  Mkurugenzi wa TAHA, Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa zinazotengenezwaa na shanga...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA HOME EXPO KUFANYA MAONYESHO YA 5 JIJINI DAR

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
KAMPUNI ya Tanzania Home Expo inatarajia kufanya maonyesho ya bidhaa zake  mbalimbali katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam,Mei 3o hadi Juni mosi mwaka huu.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Home Expo,Zenno Ngowi wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO leo jijini Dar es Salaam.

Ngowi  amesema kuwa katika maonyesho hayo ya  matano ,Wananchi wajitokeze  kwa wingi ili kujua nini...

 

11 years ago

Michuzi

JIJI LA DAR ES SALAAM KUENDELEA KUSAFISHWA - MKUU WA MKOA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki akitoa taarifa ya kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa (RCC) ofisini kwake leo jijini Dar es salaam. 
Na. Aron Msigwa –MAELEZO,Dar es salaam.

Jumla ya kata 22 katika manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke zitaingizwa katika  mpango wa utengaji wa maeneo maalum (smart area) kwa ajili ya kuboresha usafi wa mazingira jijini Dar es salaam.

Akitoa taarifa ya kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa wa Dar es salaam (RCC) leo jijini Dar es salaam, Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA LIONS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wakati alipofungua kongamano la 12 la Lions Club kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam  Me 9, 2015. Baadhi ya washiriki wa kongamano la 12 la Lions Club wakimsikiliza Wairi Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua  kongamano hilo kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam Mei 9, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongea   na viongozi wa Lions Club  baada ya kufungua kongamano lao la 12 kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MERCK SADICK ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAISLAMU WA AHMADIYYA KUANZA KESHO

MKUU wa mkoa wa Dar es salaam Merck Sadick anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano mkuu wa mwaka  wa 46 wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania utakaofanyika kuanzia tarehe 2 hadi 4 octoba mwaka huu katika eneo la kitonga, Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaaM.
Hayo yamesemwa na Amir Mbashiri Mkuu Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Sheikh Tahir amesema kuwa lengo kuu la mkutano huo ni kukumbushana misingi sahihi ya...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA MTWARA HALIMA DENDEGO AFUNGUA MAONYESHO YA WIKI YA BAHARI DUNIANI MKOANI LEO MCHANA

 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego (wan ne kutoka kushoto), akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa maonyesho ya siku ya bahari duniani, yanayoadhimishwa kitaifa mkoani Mtwara. Maonyesho hayo yatafanyika kwa siku tatu katika viwanja vya Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), Mkoani Mtwara.  Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego (wa kwanza kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Navigation kutoka Jeshi  la Wananchi Tanzania, Meja Joseph Mjema ,wakati akitoa maelezo ya namna ramani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani