Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shamrashamra za kumuaga Jakaya Mlimani City

Jose Mara, Fid Q, Bushoke na Ruby ni kati ya wasanii ambao walifanikiwa kumuwezesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete kuianza wikiendi yake vizuri baada ya kumrudisha enzi zake kiburudani kwa kumpigia nyimbo alizozipenda enzi za ujana wake, katika hafla ya kumuaga iliyofanyika usiku wa kuamkia jana katika Ukumbi wa Mlimani City.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVYOAGWA NA TASWA MLIMANI CITY, DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete akiingia katika Ukumbi wa Mlimani City tayari kwa hafla ya kumuaga iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa) jana jijini Dar es Salaam.  Mhariri Kiongozi wa Championi, Saleh Ally (katikati) akiteta jambo na mwandishi mkongwe wa habari za michezo, Said Salum (kulia), kushoto ni Baruhan Muhuza wa Azam TV. Rais wa Shirikisho la Soka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wasanii wamuaga Dr. Jakaya Kikwete na kumkaribisha Dr. John Pombe Magufuli Mlimani City

1

Rais Dr. Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kupitia CCM wakati alipowasili Mlimani City jijini Dar es salaam kwa ajili ya kushiriki hafla ya chakula cha jioni kilichondaliwa na Muungano wa wasanii Kumshukuru Mh. Dr. Jakaya Kikwete kwa jinsi alivyowasaidia katika uongozi wake wa miaka 10 kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kumkaribisha Mgombea wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe...

 

9 years ago

Vijimambo

ACHA TUENDELEE KUMUAGA RAIS JAKAYA KIKWETE KWA NYIMBO NZURI

TUKINGOJEA MATOKEO YA KURA ...NA HUKU TUNAPATA BURUDANI YA MUZIKI
NYIMBO ZA KUMUGA RAIS JAKAYA KIKWETE KUTOKA KWAO NGOMA AFRICA
Wakati wananchi tukiendelea kufuatilia matokeo ya uchaguzi mkuu wa kuchagua viongozi wa hawamu ya tano, ni vema basi kujikumbusha yale ambayo yaliyofanyika katika serikali ya hawamu ya nne ya Rais anayemaliza muda amri jeshi mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Kwa kupitia njia ya muziki bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni...

 

10 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AWASILI MLIMANI CITY

Muungano wa wasanii wameandaa hafla maalum ya kumshukuru na kumuaga Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na kumpongeza na kumkaribisha Mheshimiwa John Pombe Magufuli ,Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi,inayofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City .Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye ukumbi wa Mlimani City tayari kuhudhuria hafla maalum ya kumshukuru na kumuaga Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ,Rais wa Jamhuri ya...

 

10 years ago

TheCitizen

Mlimani City mall still insecure

>As patrons at Dar es Salaam’s Mlimani City shopping complex come to terms with the recently introduced parking charges, insecurity in and around the place remains a concern.

 

11 years ago

GPL

HOFU YA BOMU MLIMANI CITY

Na Waandishi Wetu HUKU watu karibia 60 nchini kenya wakiuawa kwenye mashambulizi ya kigaidi, katika hali isiyo ya kawaida nchini Tanzania, walinzi wa Maduka ya Mlimani City jijini Dar wamejikuta wakipata mchecheto wa aina yake baada ya kitu kilichodhaniwa ni bomu kukutwa kwenye eneo la kuegeshea magari. Walinzi wa maduka ya Mlimani City jijini Dar wakikagua kitu kinachosadikika kuwa ni bomu. Tukio hilo lilitokea Juni 16, mwaka...

 

10 years ago

GPL

KAJALA, MWANAYE GUMZO MLIMANI CITY

Na Imelda Mtema SEXY lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja hivi karibuni aligeuka gumzo yeye na mwanaye walipoenda kufanya ‘shopping’ Mlimani City ambapo watu walikuwa wakiwakodolea macho kwa jinsi alivyolingana na mtoto wake. Sexy lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwa na mwanaye Paula. Kajala alitinga eneo hilo na mtoto wake huyo aitwaye  Paula ambapo awali walienda kupata chakula katika mgahawa wa...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Ofa’ Shoprite yazua tafrani Mlimani City

 Ofa ya punguzo la asilimia 50 kutoka duka la bidhaa la Shoprite, lililopo Mlimani City, jana ilizua taharuki baada ya kufurika umati mkubwa wa watu wakigombea kuingia ndani ya duka hilo bila kufuata utaratibu wa kupanga foleni.

 

11 years ago

GPL

MAKALIO YA KOLETA YADATISHA WATU MLIMANI CITY!

Stori: Hamida Hassan
Msanii wa filamu, Coletha Raymond ‘Koleta’ hivi karibuni aliibua gumzo maeneo ya Mlimani City jijini Dar kutokana na kivazi alichokuwa amevaa huku makalio yake yakionekana kuongezeka kwa kiasi kikubwa.
Tukio hilo lilitokea juzikati wakati  Koleta alipokuwa akitoa kwenye lango kuu kuelekea ilipo ‘parking’ ya magari akiwa na mwanaume aliyeonekana kama mpenzi wake. Msanii wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani