Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACHA TUENDELEE KUMUAGA RAIS JAKAYA KIKWETE KWA NYIMBO NZURI

TUKINGOJEA MATOKEO YA KURA ...NA HUKU TUNAPATA BURUDANI YA MUZIKI
NYIMBO ZA KUMUGA RAIS JAKAYA KIKWETE KUTOKA KWAO NGOMA AFRICA
Wakati wananchi tukiendelea kufuatilia matokeo ya uchaguzi mkuu wa kuchagua viongozi wa hawamu ya tano, ni vema basi kujikumbusha yale ambayo yaliyofanyika katika serikali ya hawamu ya nne ya Rais anayemaliza muda amri jeshi mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Kwa kupitia njia ya muziki bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TUKINGOJEA MATOKEO YA KURA ...NA HUKU TUNAPATA BURUDANI YA MUZIKI NYIMBO ZA KUMUGA RAIS JAKAYA KIKWETE KUTOKA KWAO NGOMA AFRICA

Wakati wananchi tukiendelea kufuatilia matokeo ya uchaguzi mkuu wa kuchagua viongozi wa awamu ya tano, ni vema basi kujikumbusha yale ambayo yaliyofanyika katika serikali ya hawamu ya nne ya Rais anayemaliza muda Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Kwa kupitia njia ya muziki bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni chini ya uongozi wake mtunzi gwiji kamanda Ras Makunja wameshusha nyimbo mbili za kumuaga Rais Jakaya KIkwete na kuyaimba...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tanzania imetulia kwa sera nzuri — Rais Kikwete

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) amesema kuwa Tanzania imeendelea kuwa nchi tulivu, yenye umoja na yenye amani kwa sababu ya sera nzuri ambazo zilianzishwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ambazo zimeendelezwa na viongozi wakuu ambao walimfuatia Mwalimu.

Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa Tanzania imefanikiwa kudumisha umoja,mshikamano na utulivu kwa sababu ya kuwa na sera zenye kujumuisha kila mmoja bila kubagua Mtanzania yoyote kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Edgar Lungu wa Zambia Aandaa Dhifa Kwa Heshima ya Rais Jakaya Kikwete

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Edgar Lungu wa Zambia wakigonga glasi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoiandaa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigonga glasi na Rais wa Kwanza wa taifa la Zambia Dkt.Kenneth Kaunda wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.Rais Kikwete ambaye alikuwa katika ziara ya siku mbili nchini Zambia tayari amerejea jijini Dar es...

 

11 years ago

GPL

SALAMU ZA PONGEZI KWA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE

Katibu wa Hamasa na Chipukizi UVCCM - 2014, Paul C. Makonda. MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI Utangulizi:
Ndugu waandishi wa habari, mabibi na mabwana. Leo tena nimewaita kwa ajili ya kuzungumza mambo machache muhimu yahusuyo taifa letu Tanzania. Yangu leo ni machache na muhimu ni kutoa salamu za pongezi za Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hotuba murua aliyoitoa Juzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Lawama ziende kwa wajumbe wa Katiba, si Rais Jakaya Kikwete

Wakati wa utawala wake, Mwalimu Julius Nyerere alisisitiza sana umuhimu wa katiba na pia kuitii. Ndiyo maana aliwahi kusema na naomba kumnukuu;

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete awapongeza Madaktari bingwa wa Moyo kwa upasuaji

mu1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kupiga picha ya pamoja na madaktari wa Shirika lisilo la kiserikali la Al Muntada lenye makao yake makuu jijini London Uingereza wanaoendesha zoezi la upasuaji na tiba ya moyo kwa zaidi ya watoto 70 katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Freddy Maro).

muh2

 

11 years ago

GPL

BARUA KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, JAKAYA MRISHO KIKWETE

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. KWA: MHE. RAIS WA JAMHURI YA  MUUNGANO WA TANZANIA, JAKAYA MRISHO KIKWETE
Ndugu,
YAH: UNYANYASAJI ULIOPITILIZA WA BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WASOMAO CHINA Tafadhali rejea mada iliyotajwa hapo juu.
Mheshimiwa Rais, awali ya yote, tunapenda kuchukua fursa hii kukupa pole na majukumu yako ya kila siku na kukutakia heri ya Mwaka Mpya. Mheshimiwa, tunaandika  barua hii ya  wazi kwako...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS DK. JAKAYA KIKWETE ATOA ZAWADI YA IDD EL HAJI KWA MAKUNDI MBALIMBALI

 Kamshna Msaidizi Kitengo cha Walemavu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kulia), akimkabidhi Mwakilishi wa Mahabusu ya Watoto Upanga, Regina Kuname msaada wa vyakula na kitoweo cha mbuzi na mafuta ya kula kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya ya Idd El Haji Dar es Salaam leo asubuhi. Kamshna Msaidizi Kitengo cha Walemavu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kulia), akimkabidhi Katibu Mtendaji wa Chama cha kulea Watoto Mayatima (Chakuwama) cha Sinza,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani