Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDEGE YA MALAWI YAZUA HOFU MPAKANI MWA TANZANIA

“Kwa kuzingatia uhusiano uliopo kati ya Tanzania na Malawi, naomba mwongozo wako maana ndege za nchi hii sasa zinaingia hadi Tanzania na kuwatia hofu wananchi,” alisema Mbunge wa Ileje,Aliko Kibona.Kauli ya mbunge huyo imekuja wakati msimamo rais wa Malawi, Profesa Peter Mutharika kuhusu mzozo uliopo kati ya nchi hiyo na Tanzania kuhusu Ziwa Nyasa ukiwekwa bayana hatakuwa na mjadala kuhusu mpaka wa nchi hizo akidai kuwa Ziwa Nyasa ni la Malawi pekee.Kibona alisema kwa takriban wiki mbili...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ndege ya Malawi yazua hofu Ileje

MBUNGE wa Ileje, Aliko Kibona (CCM) ameomba Serikali ieleze juu ya ndege kutoka Malawi, ambayo imekuwa ikitia hofu wananchi wa Ileje, kwa kuzunguka angani kila mara.

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi 5 wauawa mpakani mwa Kenya na Somalia

Idara ya polisi nchini Kenya imesema kuwa polisi 5 na raia 2 wameuawa katika shambulizi mpakani mwa Kenya na Somalia.

 

10 years ago

GPL

AJALI MBAYA YA MOTO MPAKANI MWA ZAMBIA NA KONGO

Magari makubwa yakiwaka moto baada ya moto huo kuzuka maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na Kongo. Picha tofauti juu zikionesha baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo ya moto. Ajali mbaya ya moto imetokea  jana majira ya saa kumi na moja jioni maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na…

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola yazua hofu Nigeria

Ugonjwa wa Ebola wazua hofu nchini Nigeria huku serikali ikipanga mikakati ya kukabiliana na homa hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hofu ya shambulizi yazua mauti Kenya

Mwanafunzi mmoja amefariki na wengine zaidi ya mia moja kujeruhiwa baada ya kukanyagana katika chuo kimoja kikuu nchini Kenya.

 

10 years ago

GPL

BASTOLA YA RAY YAZUA HOFU UKUMBINI

Mwandishi Wetu
KATIKA hali ya kushangaza, muigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ alizua hofu ya aina yake baada ya kutinga fulana fupi iliyosababisha silaha yake aina ya bastola kuonekana na kuwafanya watu waliomzunguka kujawa na hofu.Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumamosi iliyopita katika ufukwe wa Escape One, Mikocheni jijini Dar kulipokuwa na uzinduzi wa video ya wimbo wa Nashindwa wa mwanamuziki Christian Bella...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mafuriko yazua Hofu ya njaa Sierra Leone

Mafuriko yaliyotokea katika maeneo ya kusini mwa Sierra Leone yamezua hofu ya njaa na mlipuko wa maradhi yanayotokana na maji.

 

5 years ago

BBCSwahili

Makabiliano kati ya Iran na Marekani yazua hofu ya kuzuka kwa vita Ghuba

Sababu ya moja kwa moja ya rais Trump kutoa tishio hilo inatokana na matukio ya wiki moja iliopita

 

11 years ago

Habarileo

Ndege ya Ethiopia yazua tafrani Arusha

Ndege ya Shirika la Ethiopian Airline aina ya Boeing 767 ikiwa nje ya njia ya kukimbilia baada ya kutua kwa dharura katika uwanja wa Arusha jana. (Picha na Mtandao wa JamiiForums.com).NDEGE ya Shirika la Ndege la Ethiopia, imetua kwa dharura katika uwanja mdogo wa Arusha baada ya kushindwa kutua katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kutokana na ndege nyingine ya TFC kukwama kwenye njia ya kurukia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani