Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI MBAYA YA MOTO MPAKANI MWA ZAMBIA NA KONGO

Magari makubwa yakiwaka moto baada ya moto huo kuzuka maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na Kongo. Picha tofauti juu zikionesha baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo ya moto. Ajali mbaya ya moto imetokea  jana majira ya saa kumi na moja jioni maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Polisi 5 wauawa mpakani mwa Kenya na Somalia

Idara ya polisi nchini Kenya imesema kuwa polisi 5 na raia 2 wameuawa katika shambulizi mpakani mwa Kenya na Somalia.

 

11 years ago

CloudsFM

NDEGE YA MALAWI YAZUA HOFU MPAKANI MWA TANZANIA

“Kwa kuzingatia uhusiano uliopo kati ya Tanzania na Malawi, naomba mwongozo wako maana ndege za nchi hii sasa zinaingia hadi Tanzania na kuwatia hofu wananchi,” alisema Mbunge wa Ileje,Aliko Kibona.Kauli ya mbunge huyo imekuja wakati msimamo rais wa Malawi, Profesa Peter Mutharika kuhusu mzozo uliopo kati ya nchi hiyo na Tanzania kuhusu Ziwa Nyasa ukiwekwa bayana hatakuwa na mjadala kuhusu mpaka wa nchi hizo akidai kuwa Ziwa Nyasa ni la Malawi pekee.Kibona alisema kwa takriban wiki mbili...

 

11 years ago

Michuzi

utumiaji mbaya wa mitandao wapamba moto, Naura spring hotel yazushiwa kuungua moto, polisi yakanusha

Zile habari zilizosambaa kwenye mitandao  ya kijamii  kuonesha  kwamba hotel ya Naura Spring ya jijini Arusha inawaka moto zilikuwa si za kweli ni watu wametengeza picha hizo ambazo zilikuwa zimeenea kila pembe.Kamanda wa Polisi Arusha Liberatus Sabas ameongea jioni hii na vyombo vya habari na kukanusha habari za hotel hiyo ya kitalii jijini Arusha kwamba iliwaka moto hizo ni picha za kutengeneza hotel ipo salama kabisa kama unavyoona kwenye picha ya juu. Picha ya chini yake ndiyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hali mbaya ya hewa yaikabili Zambia

Matokeo ya uchaguzi mkuu wa Zambia uliofanyika jana yatatangazwa kama ilivyopangwa awali.

 

10 years ago

Bongo5

Utafiti waitaja Tanzania miongoni mwa nchi zenye watu wenye roho mbaya Afrika!

Kwa mujibu wa ripoti ya World Giving Index 2014, Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye watu wenye roho mbaya barani Afrika. Hiyo ni kwa mujibu wa utafiti uliodhaminiwa na Charities Aid Foundation (CAF) na kufanywa na kampuni ya utafiti ya Gallup na kuhusisha nchi 135 duniani kote. Data hizo zilikusanywa kuanzia mwaka 2013. Tanzania ilikamata […]

 

10 years ago

Mtanzania

Ajali mbaya yaua 10 Mbeya

Askari wa usalama barabarani na raia wakiangalia gari aina ya Toyota Hiace iliyopata ajali eneo la Mbalizi mkoani Mbeya na kusababisha vifo vya watu 10 na wengine kujeruhiwa. Picha na Pendo Fundisha

Askari wa usalama barabarani na raia wakiangalia gari aina ya Toyota Hiace iliyopata ajali eneo la Mbalizi mkoani Mbeya na kusababisha vifo vya watu 10 na wengine kujeruhiwa. Picha na Pendo Fundisha

Na Pendo Fundisha, Mbeya

WATU 10 wakiwemo watoto wadogo wawili, wamekufa papo hapo baada ya gari dogo la abiria aina ya Toyota Hiace  kulivaa lori aina ya Fuso katika eneo la Mbalizi mkoani Mbeya.

Katika ajali hiyo iliyotokea jana saa 4 asubuhi, watu saba walijeruhiwa miongoni mwao wakiwa katika...

 

10 years ago

GPL

AJALI MBAYA YA GARI ARUSHA

Gari aina ya Toyota Noah likiwa limepinduka katika ajali hiyo. Gari aina ya Toyota Hiace iliyogonga kwenye mara baada ya ajali. Ajali imetokea leo mchana ktk maeneo ya Airpot eneo linalojulikana kama  Makutano ya barabara ya AIRPORT ARUSHA. Ni baada ya askari polisi kusimamisha kwa ghafla gari aina ya Toyota…

 

10 years ago

GPL

AJALI MBAYA YATOKEA GAIRO

Basi la Kampuni ya Air Bus likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali. Raia wakijaribu kuokoa maisha ya abiria waliopata ajali. Miili ya abiria waliopoteza maisha kwenye ajali…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani