Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI MBAYA YATOKEA GAIRO

Basi la Kampuni ya Air Bus likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali. Raia wakijaribu kuokoa maisha ya abiria waliopata ajali. Miili ya abiria waliopoteza maisha kwenye ajali…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Breaking Nyuzzzzzzz....: ajali nyingine mbaya yatokea Gairo mchana huu,zaidi ya watu 8 wanasadikiwa kupoteza maisha

Ajali nyingine mbaya:Basi la Abiria linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam - Tabora limepata ajali mbaya sana mchana huu katika eneo la  Kiegeya,Gairo na kupelekea zaidi ya watu 8 kudaiwa kupoteza maisha huku wengine wakiwa wamejeruhiwa vibaya sana.Ni majonzi makubwa yametawala katika eneo hilo hivi sasa,huku juhudi za kuokoa miili na majeruhi zikiendelea kama inavyoonekana pichani.ni siku tatu tu zimepita toka ajali nyingine mbaya itokee huko Musoma na kupoteza maisha ya zaidi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI MBAYA YATOKEA MAENEO YA MKATA,DEREVA ANUSURIKA KUFARIKI

Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugongana na Basi la MeridianWasamaria wema wakinasua dereva wa gari ndogo
Dereva wa Gari ndogo akiwa haamini kama ameponaAjali hii imehusisha basi la abiria la Meridiani pamoja na gari ndogo binafsi.Dereva wa gari binafsi amenusurika kifo baada ya gari yake kuharibika vibaya.
Ajali hii imetokea maeneo ya Mkata barabara ya kwenda mikoa ya Kaskazini.

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI MBAYA YATOKEA VWAWA MBOZI LEO MCHANA YAUA DEREVA WA NSSF NA MENEJA WAKE

Ajali Mbaya iliyotokea Mbozi ;eo Ijumaa Noemba 7, 2014 na dereva na meneja wa NSSF kupoteza maisha papo hapo huku dereva wa lori akibanwa na chases kwa saa tano kabla hajaokolewaPicha kwa hisani ya www.mkwinda.blogspot.com

 

11 years ago

Michuzi

Breaking nyuzzz....: Ajali mbaya yatokea jijimi Arusha leo,yapoteza maisha ya watu zaidi ya 9

Ajali mbaya imetokea jioni ya leo katika eneo la Tengeru,Jijini Arusha ikihusisha gari dogo aina ya Toyota Hiace (pichani juu) linalofanya safari zake kati ya Usa River na Katikati ya mji wa Arusha na Lori la Mafuta. Chanzo cha Ajali hiyo inaelezwa kwamba ni hiyo daladala lilikuwa likijaribu kulipita gari jingine ndipo likakutana na loli hilo la mafuta na kugongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya abiria wote waliokuwa kwenye daladaa hilo ambao idadi yake haijafahamika rasmi.taarifa...

 

10 years ago

CloudsFM

Ajari mbaya yatokea Mbeya

Abiria wapatao 65 wamenusurika kifo baada ya uhodari wa dereva wa Bus la Nganga Express linalo fanya safari yake Mbeya - Dar, baada ya kulikwepa Lori uso kwa uso na kulitosa kwenye mtaro ilikoa roho za abiria na wafanyakazi wa Bus hilo. Majeruhi wa5 wamekimbizwa hospitali ya rufaa Mbeya. Ajari imetokea Mbeya kijiji cha Lilongo asbh hii majira ya 12.48. Ashukuliwe Mungu kwa kumpa dereva ujasiri huo.

 

11 years ago

GPL

AJALI YATOKEA ENEO LA BAMAGA, DAR

Gari aina ya Nissan Navara lenye namba za usajili T 900 CEH likiwa eneo la Bamaga, Mwenge jijini Dar baada ya kugongana na daladala aina ya Coaster lenye namba za usajili T 869 AZU linalofanya safari zake kati ya Mwenge - Kariakoo jioni hii. Daladala aina ya Coaster lenye namba za usajili T 869 AZU…

 

11 years ago

GPL

AJALI YATOKEA AFRIKANA MBUYUNI DARA

Umati wa watu wakishuhudia Gari la Kikosi cha Zimamoto na askari wa kikosi hicho wakijitahidi kuzima moto eneo ya tukio. Askari wa Kikosi cha Zimamoto wakisaidiwa na wananchi kuinua gari dogo aina ya Allteza lililoteketea kwa moto mtaroni likiwa na watu watatu ambao inasemekana nao wameteketea.
Gari  aina ya Allteza imepata ajali hapa Africana karibu na Mbuyuni,  imewaka moto na inasemekana hakuna mtu aliyetoka kwani...

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI NYINGINE YA BASI YATOKEA MIKUMI LEO

 Ajali ya basi iliyotokea muda si mrefu Mikumi na kusemekana watu 8 wamepoteza maisha na wengine 3 mahututi na sababu ya ajali ni mwendo kasi Vijimambo inaendelea kufuatilia ajali hii kwa karibu na inawapa pole wale wote waliopatwa na msiba ya wapendwa wao na kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu na kuwaombea majeruhi wote wapate nafuu haraka.Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 

 

11 years ago

GPL

AJALI YATOKEA BARABARA YA MOSHI - ARUSHA MCHANA HUU

Polisi wa usalama barabarani akiliangalia kwa karibu moja ya gari lililoharibika vibaya katika ajali iliyotokea mchan huu katika eneo la Sadal njia ya Moashi - Arusha. Gari la kubebea wagonjwa 'Ambulance' kutoka KCMC likiwa limeharibiwa vibaya baada ya ajali hiyo. Raia wakishudia ajali hiyo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani