Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI YATOKEA BARABARA YA MOSHI - ARUSHA MCHANA HUU

Polisi wa usalama barabarani akiliangalia kwa karibu moja ya gari lililoharibika vibaya katika ajali iliyotokea mchan huu katika eneo la Sadal njia ya Moashi - Arusha. Gari la kubebea wagonjwa 'Ambulance' kutoka KCMC likiwa limeharibiwa vibaya baada ya ajali hiyo. Raia wakishudia ajali hiyo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Breaking Nyuzzzzzzz....: ajali nyingine mbaya yatokea Gairo mchana huu,zaidi ya watu 8 wanasadikiwa kupoteza maisha

Ajali nyingine mbaya:Basi la Abiria linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam - Tabora limepata ajali mbaya sana mchana huu katika eneo la  Kiegeya,Gairo na kupelekea zaidi ya watu 8 kudaiwa kupoteza maisha huku wengine wakiwa wamejeruhiwa vibaya sana.Ni majonzi makubwa yametawala katika eneo hilo hivi sasa,huku juhudi za kuokoa miili na majeruhi zikiendelea kama inavyoonekana pichani.ni siku tatu tu zimepita toka ajali nyingine mbaya itokee huko Musoma na kupoteza maisha ya zaidi ya...

 

11 years ago

Michuzi

News Alert: Ajali ya gari la mizigo barabara ya Arusha/Moshi leo


Gari lililokuwa limepakia shehena ya Sementi likiwa limepunduka katika barabara ya Arusha Moshi jirani na Bomang'ombe. Hakuna aliyejeruhiwa na chanzo cha ajali bado haijajulikana Vijana wakichukua mafuta katika tenki la mafuta ya gari lililoanguka.
Sehemu ya sementi iliyokuwa imepakiwa katika gari hilo . Askari polisi wa kituo cha polisi Bomang'ombe wakiwa katika eneo la tukio kuhakikisha kunakuwepo na hali ya usalama. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI MBAYA YATOKEA VWAWA MBOZI LEO MCHANA YAUA DEREVA WA NSSF NA MENEJA WAKE

Ajali Mbaya iliyotokea Mbozi ;eo Ijumaa Noemba 7, 2014 na dereva na meneja wa NSSF kupoteza maisha papo hapo huku dereva wa lori akibanwa na chases kwa saa tano kabla hajaokolewaPicha kwa hisani ya www.mkwinda.blogspot.com

 

10 years ago

GPL

AJALI YATOKEA KATIKA BARABARA YA ALI HASSAN MWINYI USIKU WA KUAMKIA LEO

Gari aina ya Toyota Rav4 yenye nambari za usajli T 141 AHS likiwa katika mtaro wa katikati ya Barabara ya Ali Hassan Mwinyi,Maeneo ya Namanga mara baada ya kugongana kwa ubavuni na Gari nyingine aina ya Toyota Vits yenye nambari za usajili T 551 CUP.Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi waliokuwa nao Madereva wa magari hayo.Madereva wa Magari yote walitoka salama. Gari… ...

 

10 years ago

Michuzi

Breaking nyuzzz....: Ajali mbaya yatokea jijimi Arusha leo,yapoteza maisha ya watu zaidi ya 9

Ajali mbaya imetokea jioni ya leo katika eneo la Tengeru,Jijini Arusha ikihusisha gari dogo aina ya Toyota Hiace (pichani juu) linalofanya safari zake kati ya Usa River na Katikati ya mji wa Arusha na Lori la Mafuta. Chanzo cha Ajali hiyo inaelezwa kwamba ni hiyo daladala lilikuwa likijaribu kulipita gari jingine ndipo likakutana na loli hilo la mafuta na kugongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya abiria wote waliokuwa kwenye daladaa hilo ambao idadi yake haijafahamika rasmi.taarifa...

 

10 years ago

Michuzi

just in: ajali ya gari mchana huu msitu wa miti wa mafinga, iringa

Wakati Leo Mkoa wa Iringa unaadhimisha wiki ya usalama barabarani yenye kauli mbiu maamuzi yako barabarani ni hatima yetu - fikiri kwanza - Ajali mbaya msitu wa miti wa Mafinga Iringa mcaha huu. Kwa mujibu wa habari zilizotikia aliyepoteza maisha ni Yunith Gwamaka Mwakenja ,majeruhi ni Dereva wa gari hilo ambaye nu mhadhiri wa chuo cha Tumain makumira Tawi la Mbeya Bw Gwamaka Mwakenja  pia  majeruhi mwingine ni Joyce Fredy. Wengine wametibiwa na kuruhusiwa. Chanzo inasadikika kuwa ni mwendo...

 

11 years ago

Michuzi

Lori lapiga mweleka eneo la Tabata Gereji mchana huu,lilikuwa likiikwepa bajaj iliyokuwa ikikatisha barabara

 Lori lenye nambari za Usajili T 812 BQL lililokuwa na tela lenye nambari za Usajili T 738 ASH likiwa limepiga mweleka baada ya dereva wake aliejitambulisha kwa jina la Hamis Razack (24) kuzidiwa maarifa wakati akijaribu kuikwepa Bajaj iliyokuwa ikivuka barabara ya Mandera.Dereva wa Lori hilo amesema kuwa alijikuta akizidiwa maarifa na kujikuta akivuka ng'ambo ya pili ya barabara na kuja kujikita katika hapo.Ajali hii imetokea mchana wa leo maeneo ya Tabata Garage (gereji) wakati Lori hilo...

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ....: WATU ZAIDI YA 10 WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA GARI ILIYOTOKEA ENEO LA MAKONGO,JIJINI DAR MCHANA HUU

 Watu zaidi ya kumi wamepoteza maisha kwenye ajali ya Daladala inayofanya safari zake kati ya Ubungo - Tegeta jijini Dar mchana huu,baada ya kushindwa maarifa ya kiudereva kwa Dereva wa daladala hilo hali iliyompelekea dereva huyo kuhama mpaka upande wa pili wa barabara na kulivaa lori kwa nyuma.Chanzo cha ajali hiyo inaelezwa kuwa ni mwendo kasi.  Hili ndilo lori lililokuwa likipita katika upande huo wa Barabara na kufatwa na daladala hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

Ajali katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi Rodi Usiku huu

 Gari aina ya Toyota Rav4 yenye nambari za usajli T 141 AHS likiwa katika mtaro wa katikati ya Barabara ya Ali Hassan Mwinyi,Maeneo ya Namanga mara baada ya kugongana kwa ubavuni na Gari nyingine aina ya Toyota Vits yenye nambari za usajili T 551 CUP.Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo wasi waliokuwa nao Madereva wa magari hayo,hali iliyopelekea hiyo Vits kuigonga kwa hiyo Rav4 na zote kutoteza mwelekeo na kwenda kuingia mitaroni.Madereva wa Magari yote walitoka salama salimi. Gari aina ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani