Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makabiliano kati ya Iran na Marekani yazua hofu ya kuzuka kwa vita Ghuba

Sababu ya moja kwa moja ya rais Trump kutoa tishio hilo inatokana na matukio ya wiki moja iliopita

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Jinsi meli tano za mafuta zilizokuwa zikielekea Venezuela zilivyozua hofu kati ya Marekani na Iran

Hali ya wasiwasi kati ya Marekani na Iran imechukua sura mpya nchini Venezuela.

 

10 years ago

Mwananchi

Mjue mtu aliyechochea kuzuka kwa Vita ya Kwanza ya Dunia-2

Mwaka 1912, Gavrilo Princip alifukuzwa shule kwa sababu ya kushiriki maandamano ya kupinga utawala wa Austria-Hungary. Kwa mujibu wa mwanahistoria Malcom Noel, Princip aliondoka Sarajevo muda mfupi baada ya kutimuliwa shule na kuanza safari ya kilometa 280 kwa miguu kuelekea Belgrade

 

10 years ago

Vijimambo

KUZUKA KWA SURUA ( MEASLES) NCHINI MAREKANI

Habari za afya zinazozidi kuenea nchini Marekani ni kuzuka kwa  ugojwa wa surua toka mwezi Dec. 2014 jijini California. Habari kamili toka shirika la kudhibiti magojwa yenye  maambukiza nchini Marekani "CDC"  inaeleza kuwa,  tukio la kwanza la  ugojwa huo linasadikika kuanzia Disneyland Resort Park, iliyopo Orange County jijini California. Mbali na tukio hilo, idadi kamili ya waathirika kuanzia January Mosi hadi January 30,2015 yapata 102 katika majimbo 14 yaliyosambaa ugojwa huo.
RAMANI...

 

5 years ago

BBCSwahili

Jaribio la kombora jipya lawaua kimakosa wanajeshi 19 wa Iran Ghuba ya Oman

Wanamaji 19 walifariki wakati meli yao iliposhambuliwa wakati wa jaribio la kombora jipya

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali sasa kutafuta soko la Utalii nchi za Ghuba na Mashariki ya Kati

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali imeamua kutafuta soko la utalii kutoka nchi za Ghuba na Mashariki ya Kati ili kuongeza idadi ya watalii nchini na kukuza pato la Taifa kupitia sekta hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola yazua hofu Nigeria

Ugonjwa wa Ebola wazua hofu nchini Nigeria huku serikali ikipanga mikakati ya kukabiliana na homa hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hofu ya shambulizi yazua mauti Kenya

Mwanafunzi mmoja amefariki na wengine zaidi ya mia moja kujeruhiwa baada ya kukanyagana katika chuo kimoja kikuu nchini Kenya.

 

10 years ago

GPL

BASTOLA YA RAY YAZUA HOFU UKUMBINI

Mwandishi Wetu
KATIKA hali ya kushangaza, muigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ alizua hofu ya aina yake baada ya kutinga fulana fupi iliyosababisha silaha yake aina ya bastola kuonekana na kuwafanya watu waliomzunguka kujawa na hofu.Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumamosi iliyopita katika ufukwe wa Escape One, Mikocheni jijini Dar kulipokuwa na uzinduzi wa video ya wimbo wa Nashindwa wa mwanamuziki Christian Bella...

 

11 years ago

Habarileo

Ndege ya Malawi yazua hofu Ileje

MBUNGE wa Ileje, Aliko Kibona (CCM) ameomba Serikali ieleze juu ya ndege kutoka Malawi, ambayo imekuwa ikitia hofu wananchi wa Ileje, kwa kuzunguka angani kila mara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani