KUZUKA KWA SURUA ( MEASLES) NCHINI MAREKANI
Habari za afya zinazozidi kuenea nchini Marekani ni kuzuka kwa ugojwa wa surua toka mwezi Dec. 2014 jijini California. Habari kamili toka shirika la kudhibiti magojwa yenye maambukiza nchini Marekani "CDC" inaeleza kuwa, tukio la kwanza la ugojwa huo linasadikika kuanzia Disneyland Resort Park, iliyopo Orange County jijini California. Mbali na tukio hilo, idadi kamili ya waathirika kuanzia January Mosi hadi January 30,2015 yapata 102 katika majimbo 14 yaliyosambaa ugojwa huo.
RAMANI...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili27 Apr
Makabiliano kati ya Iran na Marekani yazua hofu ya kuzuka kwa vita Ghuba
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-v2thuvwTIlQ/Vf3rRl_u1XI/AAAAAAAAAts/dmnxWYz94M0/s72-c/Tanzania.jpg)
BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-v2thuvwTIlQ/Vf3rRl_u1XI/AAAAAAAAAts/dmnxWYz94M0/s640/Tanzania.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-RFbv4P7DCI4/Vf3rUEbJ0QI/AAAAAAAAAt0/jmcpYihqChY/s640/Tanzania%2Bfamily.jpg)
9 years ago
StarTV07 Nov
Kuzuka kwa Kipindupindu Kagera Idara ya afya yakanusha
Idara ya afya mkoani Kagera imekanusha kuwepo kwa ugonjwa wa kipindupindu mkoani humo baada ya taarifa za kupokelewa kwa wagonjwa kadhaa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kagera Thomas Rutachunzibwa amekiri kuwepo na wagonjwa kumi na wanne ambao hapo awali walikuwa na dalili za ugonjwa huo na kisha kuthibitika kutosumbuliwa na maradhi hayo baada ya kufanyiwa vipimo.
Maeneo ya biashara ya vyakula yanayojumuisha watu wengi kwa pamoja kama vile stendi na masoko ni...
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Mjue mtu aliyechochea kuzuka kwa Vita ya Kwanza ya Dunia-2
11 years ago
GPLMARK CHILDRESS BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
11 years ago
MichuziMARK CHILDRESS, BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
11 years ago
Michuzi02 Jul
11 years ago
Michuzi20 Feb
11 years ago
GPL20 Feb
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10