Kuzuka kwa Kipindupindu Kagera Idara ya afya yakanusha
Idara ya afya mkoani Kagera imekanusha kuwepo kwa ugonjwa wa kipindupindu mkoani humo baada ya taarifa za kupokelewa kwa wagonjwa kadhaa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kagera Thomas Rutachunzibwa amekiri kuwepo na wagonjwa kumi na wanne ambao hapo awali walikuwa na dalili za ugonjwa huo na kisha kuthibitika kutosumbuliwa na maradhi hayo baada ya kufanyiwa vipimo.
Maeneo ya biashara ya vyakula yanayojumuisha watu wengi kwa pamoja kama vile stendi na masoko ni...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV21 Nov
Watu wawili wafariki mkoani Kagera kwa Ugonjwa Wa Kipindupindu
Mganga mkuu wa mkoa wa Kagera Dokta Thomas Rutachunzibwa amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili kutokana na ugonjwa wa kipindupindu mkoani humo.
Aidha Mganga huyo amesema hadi hivi sasa jumla ya wagonjwa kumi na wawili waliokutwa na vimelea vya ugonjwa huo,wanaendelea na matibabu katika kambi maalum iliyopo katika hospitali ya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera.
Baada ya kuzuka kwa ugonjwa wa kutapika na kuharisha na kuthibitika kuwa si kipindupindu sasa imebainika wazi kuwa wagonjwa...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PflB1vDnTuc/VnjzLG10PHI/AAAAAAAINzM/06Q-IcujenE/s72-c/USAFI.jpg)
MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6LwrgI5RgFg/XtbL_oCpXFI/AAAAAAALsXU/Lx6jEvk5qlolMFHZLB7zQDBACBxNAlw2gCLcBGAsYHQ/s72-c/u1.jpg)
IDARA YA UHAMIAJI YAKABIDHIWA NYUMBA ZA MAKAZI KWA MAOFISA NA ASKARI WA IDARA YA HIYO ENEO LA IYUMBU, JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-6LwrgI5RgFg/XtbL_oCpXFI/AAAAAAALsXU/Lx6jEvk5qlolMFHZLB7zQDBACBxNAlw2gCLcBGAsYHQ/s1600/u1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-wciZdB6toUU/XtbMBvFmsGI/AAAAAAALsXk/dD86z5b3JsYN35-icqqnUNwPp2U3fDTmgCLcBGAsYHQ/s1600/u2.jpg)
10 years ago
Vijimambo04 Feb
KUZUKA KWA SURUA ( MEASLES) NCHINI MAREKANI
RAMANI...
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Wizara ya Afya yatoa tamko kuhusu Kipindupindu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (Kushoto) akitoa tamko juu ya ugojwa wa kipindupindu alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam kulia ni Naibu waziri wa Wizara hiyo Dkt Hamisi Kigwangalla.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (Katikati) akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika kambi ya kipindupindu iliyopo Mburahati Jijini Dare s salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya...
9 years ago
MichuziWATENDAJI WA SEKTA YA AFYA WAASWA KUKABILIANA NA KIPINDUPINDU
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-zYSUa5tQcKs/VlLkE9p7JhI/AAAAAAAAUtk/IlpWZOOIzJU/s72-c/BIMA%2BNHIF.jpg)
BIMA YA AFYA NHIF YAKANUSHA KUDAIWA NA HOSPITAL YA RUFAA MBEYA
![](http://2.bp.blogspot.com/-zYSUa5tQcKs/VlLkE9p7JhI/AAAAAAAAUtk/IlpWZOOIzJU/s320/BIMA%2BNHIF.jpg)
Akizungumza jijini Dar es salaam Kaimu Mkurugenzi Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Ndugu Michael Mhando amesema madai yaliyotolewa na Hospitali hiyo ya Rufaa Mkoa wa Mbeya hayana ukweli wowote nakwamba mfuko huo unalipa madai baada ya mtoa huduma...
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Mjue mtu aliyechochea kuzuka kwa Vita ya Kwanza ya Dunia-2
9 years ago
StarTV10 Nov
Wizara ya Afya yaonya kufungia biashara kudhibiti kipindupindu.
Wizara ya Afya imeonya kuwa itazifungia biashara zote zisizofuata taratibu za usafi ili kudhibiti ugonjwa wa kipindupindu ambao tayari umeathiri mikoa 16 tangu ulipuke Agosti mwaka huu.
Wizara imesema itachukua hatua hiyo ikiwemo kuvifunga vilabu vinavyouza vileo, migahawa ya chakula na mama lishe kwa lengo la kuokoa maisha ya wananchi na kutokomeza kipindupindu.
Wizara ya Afya imezungumzia hatua zinazochukuliwa sasa kupambana na kipindupindu, ugonjwa ambao tayari umepoteza maisha ya...