Wizara ya Afya yaonya kufungia biashara kudhibiti kipindupindu.
Wizara ya Afya imeonya kuwa itazifungia biashara zote zisizofuata taratibu za usafi ili kudhibiti ugonjwa wa kipindupindu ambao tayari umeathiri mikoa 16 tangu ulipuke Agosti mwaka huu.
Wizara imesema itachukua hatua hiyo ikiwemo kuvifunga vilabu vinavyouza vileo, migahawa ya chakula na mama lishe kwa lengo la kuokoa maisha ya wananchi na kutokomeza kipindupindu.
Wizara ya Afya imezungumzia hatua zinazochukuliwa sasa kupambana na kipindupindu, ugonjwa ambao tayari umepoteza maisha ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Wizara ya Afya yaonya kuhusu ugonjwa wa dengue nchini
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Wizara ya Afya yatoa tamko kuhusu Kipindupindu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (Kushoto) akitoa tamko juu ya ugojwa wa kipindupindu alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam kulia ni Naibu waziri wa Wizara hiyo Dkt Hamisi Kigwangalla.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (Katikati) akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika kambi ya kipindupindu iliyopo Mburahati Jijini Dare s salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya...
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Wizara Afya yatoa taarifa ya hali ya Kipindupindu nchini
Waziri Ummy Mwalimu alizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na hali ya kipindupindu nchini ambapo hadi sasa ni mikoa 21 ya Tanzania Bara imeathirika. Jumla ya watu 12,222 wameugua kipindupindu na kati yao watu 196 wameshafariki.
Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimfuatilia waziri huyo(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa hiyo.Hata hivyo Waziri Ummy ameagiza kila wiki (jumatatu) wizara yake kutoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu hali ya...
9 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WATOA TAARIFA YA UGONJWA WA KIPINDUPINDU
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yatoa taarifa kuhusu hali ya Kipindupindu nchini
Waziri Ummy Mwalimu alizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na hali ya kipindupindu nchini ambapo hadi sasa ni mikoa 21 ya Tanzania Bara imeathirika.Jumla ya watu 12,222 wameugua kipindupindu na kati yao watu 196 wameshafariki.
Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimfuatilia waziri huyo(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa hiyo.Hata hivyo Waziri Ummy ameagiza kila wiki (jumatatu) wizara yake kutoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu hali ya...
9 years ago
MichuziWizara ya Afya yatangaza Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele
10 years ago
Michuzi
Wizara ya afya na Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi wazindua rasmi Ripoti ya tafiti ya hali ya Maambukizi ya VVU nchini

9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yatangaza Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele
10 years ago
Habarileo30 Aug
Moro wajipanga kudhibiti kipindupindu
MKUU wa mkoa wa Morogoro (RC), Dk Rajab Rutengwe, amewataka watendaji wa kata na mitaa katika halmashauri za mkoa huo kuhakikisha kila mmoja anawajibika ipasavyo kusimamia suala la usafi wa mazingira na kuzuia uuzaji holela wa vyakula na matunda.