WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WATOA TAARIFA YA UGONJWA WA KIPINDUPINDU
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Donan Mmbando akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Mlipuko wa Ugonjwa wa kipindupindu uliopo sasa ulianza mnamo 15 Agosti 2015, katika Manispaa ya Kinondoni na baadae kusambaa katika Manispaa zote za Mkoa wa Dar es Salaam leo jijini Dar es Salaam. Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Donan Mmbando, leo jijini Dar es SalaamWadau mbalimbali wakiwa katika mkutano huo leo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YAZINDUA MFUMO WA UTUNZAJI WA TAARIFA ZA VITUO VYA AFYA TANZANIA BARA
Mkuu wa Kitengo cha Tehama wa wizara hiyo, Hermes Rulagirwa (kulia), akizungumza na wanahabari. Wadau mbalimbali wa sekta ya Afya wakiwa kwenye...
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yatoa taarifa kuhusu hali ya Kipindupindu nchini
Waziri Ummy Mwalimu alizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na hali ya kipindupindu nchini ambapo hadi sasa ni mikoa 21 ya Tanzania Bara imeathirika.Jumla ya watu 12,222 wameugua kipindupindu na kati yao watu 196 wameshafariki.
Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimfuatilia waziri huyo(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa hiyo.Hata hivyo Waziri Ummy ameagiza kila wiki (jumatatu) wizara yake kutoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu hali ya...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii someni hapa
SIKU zote Watanzania tumekuwa tukiamini kwamba maendeleo ya taifa letu hili bado ni duni sana. Pamoja na kilio chetu hiki cha uhaba wa maendeleo, leo nataka nizungumzie ugonjwa hatari wa saratani...
11 years ago
MichuziWaziri wa Afya na ustawi wa Jamii ahudhuria kongamano la ugonjwa wa Kansa chennai, India
10 years ago
GPLMAHAKAMA YA ILALA YAFUTA AMRI YAKE YA KUWAKAMATA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
10 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YASAINI MKATABA WA KUBORESHA HUDUMA ZA UFUNDI WA VIFAA TIBA
Pia kuwapa vitendea kazi(tools kits, measuring and calibration equipment) vyenye kuwezesha mafundi kuhakiki ubora wa ufanyaji kazi kwa baadhi ya vifaa tiba...
10 years ago
VijimamboNAWERA AITAKA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KUPUNGUZA BEI KUBWA ZA DAWA NCHINI
Elias NaweraNa Dotto Mwaibale
MWENYEKITI wa Chama cha Walaji na Tiba Tanzania , Elias Nawera, ameitaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kutatua changamoto ya bei kubwa ya dawa za binadamu wanayotozwa Watanzania.
Nawera alisema sera ya afya inasema kila mtu ana haki ya kupata huduma za afya kwa bei nafuu, lakini bado Watanzania wengi wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kununua dawa kwa bei kubwa.“Tunaomba Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii aingilie kati suala hili,wanaoteseka kwa kiwango...
9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WAFANYA USAFI MAENEO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM