Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii someni hapa
SIKU zote Watanzania tumekuwa tukiamini kwamba maendeleo ya taifa letu hili bado ni duni sana. Pamoja na kilio chetu hiki cha uhaba wa maendeleo, leo nataka nizungumzie ugonjwa hatari wa saratani...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YAZINDUA MFUMO WA UTUNZAJI WA TAARIFA ZA VITUO VYA AFYA TANZANIA BARA
9 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WATOA TAARIFA YA UGONJWA WA KIPINDUPINDU
10 years ago
GPLMAHAKAMA YA ILALA YAFUTA AMRI YAKE YA KUWAKAMATA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
 Wakili Lucas Kamanija (kulia), anayemtetea Dk. Juma Mwaka katika kesi ya madai iliyofunguliwa dhidi ya wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wanadaiwa kukifunga kwa makufuli  Kituo cha Tiba za Asili cha ForePlan Herbal Clinic kilichopo Ilala Bungoni, kinachomilikiwa na Dk.Mwaka, akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam jana, mara baada ya kusikiliza kesi hiyo ambapo...
10 years ago
VijimamboNAWERA AITAKA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KUPUNGUZA BEI KUBWA ZA DAWA NCHINI
MWENYEKITI wa Chama cha Walaji na Tiba Tanzania , Elias Nawera, ameitaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kutatua changamoto ya bei kubwa ya dawa za binadamu wanayotozwa Watanzania.
Nawera alisema sera ya afya inasema kila mtu ana haki ya kupata huduma za afya kwa bei nafuu, lakini bado Watanzania wengi wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kununua dawa kwa bei kubwa.“Tunaomba Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii aingilie kati suala hili,wanaoteseka kwa kiwango...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-gu-i5AZYvlQ/VWXKOXtf2lI/AAAAAAAHaGY/rhBLgXG6l7U/s72-c/20150526_103105.jpg)
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YASAINI MKATABA WA KUBORESHA HUDUMA ZA UFUNDI WA VIFAA TIBA
Wizara ya afya na ustawi wa jamii imesaini mkataba wa kuboresha huduma za ufundi wa vifaa tiba ili kusimamia matumizi bora na kutunza rasilimali,hivyo kumehitajika kuweka juhudi za maksudi kuandaa wataalam wa ufundi wa vifaa tiba kwa kuwajengea uwezo katika kufahamu namna ya matengenezo ya mashine zilizopo na zinazo endelea kununuliwa.
Pia kuwapa vitendea kazi(tools kits, measuring and calibration equipment) vyenye kuwezesha mafundi kuhakiki ubora wa ufanyaji kazi kwa baadhi ya vifaa tiba...
Pia kuwapa vitendea kazi(tools kits, measuring and calibration equipment) vyenye kuwezesha mafundi kuhakiki ubora wa ufanyaji kazi kwa baadhi ya vifaa tiba...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9H4qzsRmOgg/VmiSTP_vvrI/AAAAAAAILSY/Rs0sOkICLzc/s72-c/picha%2Bno.3.jpg)
WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WAFANYA USAFI MAENEO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-9H4qzsRmOgg/VmiSTP_vvrI/AAAAAAAILSY/Rs0sOkICLzc/s640/picha%2Bno.3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-95kqMR8lgEU/VmiSOV25w9I/AAAAAAAILR8/X2OMnGTqlAk/s640/Picha%2Bno.%2B4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-3RCsCH-4hWY/VmiSOo9GjGI/AAAAAAAILSA/1KldodrMqKw/s640/Picha%2Bno.%2B2.jpg)
10 years ago
Michuzi22 Mar
ZIARA YA KIKAZI YA BODI YA USHAURI YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII (MAB) KWA TFDA JIJINI ARUSHA
Utendaji wa TFDA Katika Udhibiti wa Bidhaa Za Vyakula, Dawa, Vipodozi na Vifaa Tiba Wapongezwa
Katibu Tawala (RAS) wa Mkoa wa Arusha, Bw. Adon S. Mapunda, akiwakaribisha wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa TFDA (MAB) wakati walipofanya ziara ofisini kwake mapema wiki hii kwa lengo la kujadili mikakati ya kudhibiti chakula, dawa na vipodozi mkoani Arusha. Pamoja na mambo mengine, Bw. Mapunda aliipongeza TFDA kwa utendaji kazi mzuri na kuahidi kuendelea kutoa...
10 years ago
VijimamboKESI YA MADAI DHIDI YA MAOFISA WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KUDAIWA KUIFUNGA KLINIKI YA FOREPLAN HERBAL YAWAVUTA WATU WENG
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania