Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii ahudhuria kongamano la ugonjwa wa Kansa chennai, India

 Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii katika picha ya Pamoja na mgeni rasmi Rais wa Idnia Dkt. .APJ Abdul Kalam  baada ya kufungua kongamano linalojadili matokeo ya tafiti mbalimbali zinazohusu magonjwa ya saratani,hatua za kujikinga na magonjwa ya saratani,tiba za magonjwa ya saratani.mkutano huu uluhudhuriwa na washiriki mbalimbali kutoka bara la Afrika na Asia.Kulia kwa waziri wa Afya ni waziri wa Afya wa Zimbabwe Mhe David Parirenyatwa

 Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii akifanya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WATOA TAARIFA YA UGONJWA WA KIPINDUPINDU

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Donan Mmbando akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Mlipuko wa Ugonjwa wa kipindupindu uliopo sasa ulianza mnamo 15 Agosti 2015, katika Manispaa ya Kinondoni na baadae kusambaa katika Manispaa zote za Mkoa wa Dar es Salaam leo jijini Dar es Salaam.  Waandishi  wa habari wakimsikiliza  Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Donan Mmbando, leo jijini Dar es SalaamWadau mbalimbali wakiwa katika mkutano huo leo...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Kigwangalla-Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Dk Hamis Andrea Kigwangalla ndiye Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Pombe Magufuli.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa afya ahudhuria Kongamano la AFRIKA HEALTHCARE SUMMIT 2015 JIJINI LONDON

Waziri wa Afya na ustawi wa jamii Dkt. Seif S.Rashid (MB) mwenye tai nyekundu mstari wa mbele  akiwa katika sherehe ya ufunguzi ya kongamano hilo. Katika  ni msajili wa baraza la wafamasia lililo chini ya wizara ya afya na ustawi wa jamii Bi.Elizabeth Shekelaghe na wa kwanza kushoto ni Dkt.Mariam Ongalla, mratibu wa kitengo cha "Public Private Partinership" kutoka wizara ya Afya na ustawi wa Jamii.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII AZINDUA NEMBO MPYA YA AMREF HEALTH AFRICA TANZANIA

Mkurugenzi wa Amref Health Africa Tanzania Dr. Festus Ilako (wa kwanza Kushoto) Akimkaribisha Waziri wa Afya Dr. Seleman Seif Rashid kuzindua Nembo Mpya.Waziri wa Afya, Mwenyekiti wa bodi ya kimataifa ya Amref Health Africa Mr. Omari Issa, Dr. Festus Ilako na wafanyakazi wa Amref Health Africa Tanzania katika picha ya pamoja baada ya Uzinduzi.wadau na wageni waalikwa katika uzinduzi huoPicha ya pamoja ya meza kuu na wadau 
wa Amref Health Africa baada ya Uzinduzi.

SHIRIKA la kimataifa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA UONGOZI WA HOSPITALI BINAFSI NCHINI

Na Dotto Mwaibale
SERIKALI imesema itaainisha ukomo wa tozo kwa kila huduma inayotolewa kwa kila ngazi ya kituo cha huduma ili kudhibiti gharama za huduma za afya nchini.
Kauli hiyo ilitolewa  na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid Dar es Salaam leo asubuhi wakati akizindua bodi mpya ya ushauri ya Hospitali binafsi nchini.
Dk. Rashid alisema hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa malalamiko kuhusu huduma zinazotolewa na hospitali hizo hivyo hatua hiyo itasaidia kuboresha mfumo na...

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII,DK STEPHEN KEBWE AHITIMISHA KAMPENI YA FISTULA MJINI DODOMA‏

Wasanii wa Kundi la Mjomba Band, wakiigiza kwa kufukuzwa kwa mwanamke aliyekuwa na maradhi ya Fistula, na mumewe ikiwa ni ishara ya kunyanyapaliwa kwa wenye maradhi hayo katika jamii. Onyesho hilo lilifanyika mjini Dodoma jana wakati wa hitimisho ya kampeni dhidi ya maradhi ya Fistula iliyofanyika katika mikoa mitatu Nchini na kumalizikia katika mikoa ya kanda ya kati mjini Dodoma. Kampeni hiyo ilikuwa ikiendeshwa na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation ilikuwa na lengo la kutoa...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii akabidhi tuzo na kutembelea Hospitali ya Rufaa kanda ya Kati singida

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr.Seif Rashid(mb), amehudhuria hafla ya utoaji tuzo kwa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Singida.tuzo hiyo inahusiana na mafanikio yaliyokwisha na hospitali hii katika kuinga na kudhibiti maambukizi kutoka kwa magonjwa Kwenda kwa mtoa huduma na vile vile kutoka kwa mtoa huduma Kwenda kwa magonjwa.mradi huu unasimamiwa na wizara ya Afya na ustawi wa Jamii chini ya ufadhili wa mashirika ya kimarekani ambayo ni PEPFAR, JHPIEGHO na CDC. Tuzo hiyo hutolewa kwa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII Dkt.SEIF S.RASHID(Mb) AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 15 WA PRINMAT 2014

 Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii Dkt.Seif S.Rashid (Mb) akifungua mkutano mkuu wa 15 mwaka wa chama cha wauguzi na wakunga walio katika huduma binafsi (PRINMAT). Kushoto kwa waziri ni Dkt.Mariam Ongala Anayesimamia masuala ya PPP katika wizara ya Afya na ustawi wa Jamii na kulia kwa waziri ni m/kiti wa PRINMAT  Bi. Rabisante Sama. Mkutano huu unafanyika katika Hoteli ya Rombo Green View iliyopo Sinza, jijini Dar es salaam kuanzia leo tarehe 10 hadi  13/03/2014. Wajumbe na wanachama wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani