WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII Dkt.SEIF S.RASHID(Mb) AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 15 WA PRINMAT 2014
Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii Dkt.Seif S.Rashid (Mb) akifungua mkutano mkuu wa 15 mwaka wa chama cha wauguzi na wakunga walio katika huduma binafsi (PRINMAT). Kushoto kwa waziri ni Dkt.Mariam Ongala Anayesimamia masuala ya PPP katika wizara ya Afya na ustawi wa Jamii na kulia kwa waziri ni m/kiti wa PRINMAT Bi. Rabisante Sama. Mkutano huu unafanyika katika Hoteli ya Rombo Green View iliyopo Sinza, jijini Dar es salaam kuanzia leo tarehe 10 hadi 13/03/2014. Wajumbe na wanachama wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DKT. SEIF RASHID AFUNGUA MKUTANO WA MADAKTARI DAR ES SALAAM LEO
11 years ago
MichuziWaziri wa Afya afungua Mkutano Mkuu wa 15 wa Prinmat 2014
Wajumbe na wanachama wa PRINMAT wakishiriki Kuimba Wimbo wa chama chao,mkutano huu wa siku nne(4) wa wauguzi na wakunga walio katika huduma binafsi unakuja na kwa lengo la kuweka mikakati ya kuboresha huduma hizi...
11 years ago
MichuziBalozi Modest Mero afanya mazungumzo na Mh. Dkt. Seif Rashid, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii na Bi. Agness Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa, Geneva, Uswisi
Hivi karibuni Mh. Modest Mero, Balozi wa Tanzania, Geneva alifanya mazungumzo ya pamoja na Mh. Dkt. Seif Rashid na Bi. Agness Kijazi, katika makazi ya Balozi, Geneva.
Ujumbe wa Mh. Waziri ulikuwa Geneva kwenye kikao cha Bodi ya " Global Alliance for Vaccines and Immunization", Geneva, ambapo Mh. Waziri ni mjumbe wa Bodi. Na pia...
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK.RASHID SEIF AFUNGUA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU USALAMA WA CHAKULA
11 years ago
GPLBALOZI MODEST MERO AFANYA MAZUNGUMZO NA MH. DKT. SEIF RASHID, WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII
10 years ago
GPLWAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK.RASHID SEIF AFUNGUA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU USALAMA WA CHAKULA
10 years ago
MichuziWaziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt.Seif S.Rshid akishiriki mkutano wa mapambano dhidi ya UKIMWI,Malaria na TB Marekani