Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa Afya afungua Mkutano Mkuu wa 15 wa Prinmat 2014

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid (mb) akifurahia jambo baada ya kupata kauli mbiu ya Mkutano Mkuu wa 15 wa Prinmat 2014  isemayo,uimarishwaji wa uhai baina ya sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPP) ni njia nzuri ya kufikisha huduma za Afya kwa wananchi Wengi.
Wajumbe na wanachama wa PRINMAT wakishiriki Kuimba Wimbo wa chama chao,mkutano huu wa siku nne(4) wa wauguzi na wakunga walio katika huduma binafsi unakuja na kwa lengo la kuweka mikakati ya kuboresha huduma hizi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII Dkt.SEIF S.RASHID(Mb) AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 15 WA PRINMAT 2014

 Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii Dkt.Seif S.Rashid (Mb) akifungua mkutano mkuu wa 15 mwaka wa chama cha wauguzi na wakunga walio katika huduma binafsi (PRINMAT). Kushoto kwa waziri ni Dkt.Mariam Ongala Anayesimamia masuala ya PPP katika wizara ya Afya na ustawi wa Jamii na kulia kwa waziri ni m/kiti wa PRINMAT  Bi. Rabisante Sama. Mkutano huu unafanyika katika Hoteli ya Rombo Green View iliyopo Sinza, jijini Dar es salaam kuanzia leo tarehe 10 hadi  13/03/2014. Wajumbe na wanachama wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA MKUTANO WA BRN DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Peter Pinda amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuendana na kasi ya Mpango wa MATOKEO Makubwa Sasa (BRN) katika utendaji wao hasa katika eneo la ufuatiliaji na uadilifu.
Waziri Mkuu Pinda ameyasema hayo leo (Jumatano) mjini hapa wakati wa hotuba yake fupi ya ufunguzi wa Mkutano wa siku tatu wa watendaji hao kujitathmini katika utekelezaji wa miradi ikiwemo miradi ya elimu iliyoko chini ya BRN. Mkutano huo umeandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI.
BRN ni...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA TATHMINI YA BRN

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akijadiliana jambo la kiongozi wa Jopo la Kimataifa la Tathmini (IRP), Rais Mstaafu wa Botswana, Festus Mogae (wa pili kulia) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa jopo hilo kutathmini mwaka mmoja wa utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) Dar es Salaam jana. Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa (BRN), Omari Issa akichangia mada wakati wa mkutano wa tathmini ya jopo la kimataifa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DKT. SEIF RASHID AFUNGUA MKUTANO WA MADAKTARI DAR ES SALAAM LEO

  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), Dk. Othman Kiloloma akizungumza na wandishi wa habari (pichani hawapo), katika mkutano wa nne wa mafunzo ya upasuaji wa ubongo , uti wa mgongo na mishipa ya fahamu Dar es Salaam leo. Mkutano huo ulifunguliwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Rashid, unao endelea hadi Mei 15-2015. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)Aliyekuwa Mkurugenzi wa Tiba MOI, Dk. Abednego Kinasha akitoa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UMAKI ZANZIBAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa Angikana Dayosisi ya Zanzibar mjini Unguja jana. Kulia kwake ni Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa Anglikana, John Ramadhan. Picha na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kulia), akipata maelezo kuhusu bidhaa za ujasiriamali za kikundi cha Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Mizengo Pinda afungua Mkutano wa Tathmini ya Utekelezaji wa BRN

1

Gavana  wa  Benki   Kuu  ya  Tanzania,  Prof.  Benno  Ndulu akichangia   hoja   wakati  wa mkutano  wa  kupitia  taarifa  ya  mwaka mmoja ya utekelezaji  wa  Mpango  wa  Matokeo  Makubwa  sasa (BRN) uliofanyika  leo  Jumatano   Julai  23,  2014  katika  ukumbi   wa Mwalimu  Nyerere  Jijini  Dar es  Salaam.  Kulia ni Katibu Mkuu  wa Wizara  ya Maji  na  Umwagiliaji  Mhandisi, Bashir Mrindoko.

2.

Katibu  Mkuu  Kiongozi  Balozi   Ombeni  Sefue  akichangia  hoja  wakati mkutano wa kupitia...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI BERNARD MEMBE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UMOJA WA AKINAMAMA WA KIKRISTO, ZANZIBAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa Angikana Dayosisi ya Zanzibar mjini Unguja jana. Kulia kwake ni Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa Anglikana.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kulia), akipata maelezo kuhusu bidhaa za ujasiriamali za kikundi cha Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa Angikana Dayosisi ya Zanzibar,...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA JIJINI DAR LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wa Mambo ya Nje na Mazingira wa Kamati ya Mabadiliko ya TABIANCHI kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam August 28, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Amina Mohamed (katikati) na Waziri wa Mazingira wa Msumbiji, Ana Paulo Chichava baada ya kufungua Mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wa Mawaziri wa Mambo ya Nje na Mazingira wa Kamati ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani