BALOZI MODEST MERO AFANYA MAZUNGUMZO NA MH. DKT. SEIF RASHID, WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII
Mh.Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii katika mazungumzo na Balozi Mero, kwenye makazi ya balozi, Geneva, Uswisi. Wakijiandaa kupata mlo wa pamoja baaada ya mazungumzo…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-y2UhKztxk4Y/U6yFpZ6fW_I/AAAAAAAFtLg/y2jzZj9MstM/s72-c/Balozi+Modest+Mero+na+Mkurugenzi+Mkuu+wa+Mamlaka+ya+Hali+ya+Hewa+Bi.+Agness+Kijazi+katika+picha+ya+pamoja,+kwenye+makazi+ya+bal.jpg)
Balozi Modest Mero afanya mazungumzo na Mh. Dkt. Seif Rashid, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii na Bi. Agness Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa, Geneva, Uswisi
![](http://4.bp.blogspot.com/-y2UhKztxk4Y/U6yFpZ6fW_I/AAAAAAAFtLg/y2jzZj9MstM/s1600/Balozi+Modest+Mero+na+Mkurugenzi+Mkuu+wa+Mamlaka+ya+Hali+ya+Hewa+Bi.+Agness+Kijazi+katika+picha+ya+pamoja,+kwenye+makazi+ya+bal.jpg)
Hivi karibuni Mh. Modest Mero, Balozi wa Tanzania, Geneva alifanya mazungumzo ya pamoja na Mh. Dkt. Seif Rashid na Bi. Agness Kijazi, katika makazi ya Balozi, Geneva.
Ujumbe wa Mh. Waziri ulikuwa Geneva kwenye kikao cha Bodi ya " Global Alliance for Vaccines and Immunization", Geneva, ambapo Mh. Waziri ni mjumbe wa Bodi. Na pia...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-aUrjaSbgWbg/Ux1x7aZYIRI/AAAAAAAFShs/m6i6CAitofQ/s72-c/unnamed+(64).jpg)
WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII Dkt.SEIF S.RASHID(Mb) AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 15 WA PRINMAT 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-aUrjaSbgWbg/Ux1x7aZYIRI/AAAAAAAFShs/m6i6CAitofQ/s1600/unnamed+(64).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-aWwP03vpddo/Ux1x8Ubf_eI/AAAAAAAFSh0/Ma4qB5izfS0/s1600/unnamed+(61).jpg)
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DKT. SEIF RASHID AFUNGUA MKUTANO WA MADAKTARI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK.RASHID SEIF AFUNGUA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU USALAMA WA CHAKULA
10 years ago
GPLWAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK.RASHID SEIF AFUNGUA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU USALAMA WA CHAKULA
 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.  Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina… ...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4Sa-DaSW7Ps/VVx0djNC0_I/AAAAAAAHYcU/7f5JbVD4QkM/s72-c/unnamed%2B%252824%2529.jpg)
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt.Seif S.Rshid akishiriki mkutano wa mapambano dhidi ya UKIMWI,Malaria na TB Marekani
![](http://3.bp.blogspot.com/-4Sa-DaSW7Ps/VVx0djNC0_I/AAAAAAAHYcU/7f5JbVD4QkM/s640/unnamed%2B%252824%2529.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-d0a8-dI4zGo/Xkg8BZsCi6I/AAAAAAALdhM/EptWN6WoaNID_wrMb7HVMGW0859VliyAgCLcBGAsYHQ/s72-c/d90fd2da-9800-4ba0-ba86-d377297e900b.jpg)
WAZIRI ZUNGU AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI SEIF IDDI
![](https://1.bp.blogspot.com/-d0a8-dI4zGo/Xkg8BZsCi6I/AAAAAAALdhM/EptWN6WoaNID_wrMb7HVMGW0859VliyAgCLcBGAsYHQ/s640/d90fd2da-9800-4ba0-ba86-d377297e900b.jpg)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu (kushoto) aliyefika ofisni kwake, Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha baada ya kuteuliwa hivi karibuni kushika nafasi hiyo. Wengine pichani ni Waziri wa Nchi Ofisi ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania