Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA UONGOZI WA HOSPITALI BINAFSI NCHINI

Na Dotto Mwaibale
SERIKALI imesema itaainisha ukomo wa tozo kwa kila huduma inayotolewa kwa kila ngazi ya kituo cha huduma ili kudhibiti gharama za huduma za afya nchini.
Kauli hiyo ilitolewa  na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid Dar es Salaam leo asubuhi wakati akizindua bodi mpya ya ushauri ya Hospitali binafsi nchini.
Dk. Rashid alisema hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa malalamiko kuhusu huduma zinazotolewa na hospitali hizo hivyo hatua hiyo itasaidia kuboresha mfumo na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII AZINDUA NEMBO MPYA YA AMREF HEALTH AFRICA TANZANIA

Mkurugenzi wa Amref Health Africa Tanzania Dr. Festus Ilako (wa kwanza Kushoto) Akimkaribisha Waziri wa Afya Dr. Seleman Seif Rashid kuzindua Nembo Mpya.Waziri wa Afya, Mwenyekiti wa bodi ya kimataifa ya Amref Health Africa Mr. Omari Issa, Dr. Festus Ilako na wafanyakazi wa Amref Health Africa Tanzania katika picha ya pamoja baada ya Uzinduzi.wadau na wageni waalikwa katika uzinduzi huoPicha ya pamoja ya meza kuu na wadau 
wa Amref Health Africa baada ya Uzinduzi.

SHIRIKA la kimataifa...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KIKAZI YA BODI YA USHAURI YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII (MAB) KWA TFDA JIJINI ARUSHA

Utendaji wa TFDA Katika Udhibiti wa Bidhaa Za Vyakula, Dawa, Vipodozi na Vifaa Tiba WapongezwaKatibu Tawala (RAS) wa Mkoa wa Arusha, Bw. Adon S. Mapunda, akiwakaribisha wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa TFDA (MAB) wakati walipofanya ziara ofisini kwake mapema wiki hii kwa lengo la kujadili mikakati ya kudhibiti  chakula, dawa na vipodozi mkoani Arusha. Pamoja na mambo mengine, Bw. Mapunda aliipongeza TFDA kwa utendaji kazi mzuri na kuahidi kuendelea kutoa...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii akabidhi tuzo na kutembelea Hospitali ya Rufaa kanda ya Kati singida

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr.Seif Rashid(mb), amehudhuria hafla ya utoaji tuzo kwa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Singida.tuzo hiyo inahusiana na mafanikio yaliyokwisha na hospitali hii katika kuinga na kudhibiti maambukizi kutoka kwa magonjwa Kwenda kwa mtoa huduma na vile vile kutoka kwa mtoa huduma Kwenda kwa magonjwa.mradi huu unasimamiwa na wizara ya Afya na ustawi wa Jamii chini ya ufadhili wa mashirika ya kimarekani ambayo ni PEPFAR, JHPIEGHO na CDC. Tuzo hiyo hutolewa kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Seif azindua bodi ya ushauri huduma za afya

WAJUMBE wapya wa bodi ya ushauri ya uongozi wa hospitali binafsi, wametakiwa kuhakikisha sheria inayosimamia vituo vya kutolea huduma za afya inafanyiwa maboresho ili usimamizi uwe na ufanisi zaidi. Akizungumza...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Kigwangalla-Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Dk Hamis Andrea Kigwangalla ndiye Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Pombe Magufuli.

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, ATEUA UONGOZI MPYA WA MUDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha.
“ Rais  amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa wagonjwa hususan wanaolala chini. Pia amekasirishwa na hali ya kutokujali wala kushughulikia vifaa vya kufanyia kazi ambapo amekuta mashine muhimu za uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI na CT-SCAN zikiwa hazifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii ahudhuria kongamano la ugonjwa wa Kansa chennai, India

 Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii katika picha ya Pamoja na mgeni rasmi Rais wa Idnia Dkt. .APJ Abdul Kalam  baada ya kufungua kongamano linalojadili matokeo ya tafiti mbalimbali zinazohusu magonjwa ya saratani,hatua za kujikinga na magonjwa ya saratani,tiba za magonjwa ya saratani.mkutano huu uluhudhuriwa na washiriki mbalimbali kutoka bara la Afrika na Asia.Kulia kwa waziri wa Afya ni waziri wa Afya wa Zimbabwe Mhe David Parirenyatwa

 Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii akifanya...

 

10 years ago

Vijimambo

NAWERA AITAKA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KUPUNGUZA BEI KUBWA ZA DAWA NCHINI


Elias NaweraNa Dotto Mwaibale
MWENYEKITI wa Chama cha Walaji na Tiba Tanzania , Elias Nawera, ameitaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kutatua changamoto ya bei kubwa ya dawa za binadamu wanayotozwa Watanzania.
Nawera alisema sera ya afya inasema kila mtu ana haki ya kupata huduma za afya kwa bei nafuu, lakini bado Watanzania wengi wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kununua dawa kwa bei kubwa.“Tunaomba Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii aingilie kati suala hili,wanaoteseka kwa kiwango...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani