Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAY AANGUA UKUMBINI!

WAANDISHI WETU BONGE la soo! Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ hivi karibuni alijikuta akiangua kilio ukumbini baada ya mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza kufananishwa na marehemu Steven Kanumba. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta, jijini Dar kulipokuwa na fainali za Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambapo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Ray Aangua Kilio Ukumbini!

BONGE la soo! Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ hivi karibuni alijikuta akiangua kilio ukumbini baada ya mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza kufananishwa na marehemu Steven Kanumba.

Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta, jijini Dar kulipokuwa na fainali za Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambapo washiriki 10 ndiyo walikuwa wakiwania kitita cha shilingi milioni 50.

Mara baada ya mshindi...

 

9 years ago

Global Publishers

Diamond aangua kilio ukumbini!

IMG_7514

Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akilia.

Musa mateja

SIYO sinema! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo na kuwashangaza watu kufuatia mashabiki wake kumtaka awaimbie ‘akapela’ ya wimbo wake mpya wa Utanipenda, twende na Ijumaa Wikienda.

Tukio hilo ambao bado limo midomoni mwa mashabiki wake, lilijiri usiku wa kuamkia Boxing Day (Desemba 26, 2015) ndani ya ‘Uwanja wa Taifa wa Burudani’ Dar Live jijini Dar ambapo nyota huyo alikuwa...

 

10 years ago

GPL

RAY C AANGUA...

Musa Mateja Maskini! Sexy lady kunako anga la Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amejikuta akiangua kilio hospitalini kutokana na kile kilichodaiwa ni hasira baada ya kudai kufanyiwa ndivyo sivyo na madaktari, Ijumaa Wikienda lina kisa cha kusikitisha. Rehema Chalamila ‘Ray C’. Tukio hilo lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Hospitali ya Mwananyamala, Dar ambapo mwanadada huyo amekuwa akihudhuria mara...

 

10 years ago

GPL

RAY C AHAHA KUMNASA JK UKUMBINI!

Imelda Mtema ZAIDI ya dakika 57, zilitosha kumtoa ‘jasho jembamba’ msanii mwenye nyonga laini na kiuno bila mifupa, Rehema Chalamila ‘Ray C’ kuhaha ili afanikiwe kumfikia kwa ukaribu Rais Jakaya Kikwete. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1HALRex

 

10 years ago

GPL

BASTOLA YA RAY YAZUA HOFU UKUMBINI

Mwandishi Wetu
KATIKA hali ya kushangaza, muigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ alizua hofu ya aina yake baada ya kutinga fulana fupi iliyosababisha silaha yake aina ya bastola kuonekana na kuwafanya watu waliomzunguka kujawa na hofu.Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumamosi iliyopita katika ufukwe wa Escape One, Mikocheni jijini Dar kulipokuwa na uzinduzi wa video ya wimbo wa Nashindwa wa mwanamuziki Christian Bella...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray na Davina Kidogo Wazichape Ukumbini!

Mastaa wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Halima Yahaya ‘Davina’ nusura wazichape kavukavu katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar baada ya Ray kudaiwa kumshika mwenzake huyo sehemu nyeti, Risasi Mchanganyiko lina mchapo kamili.

Kwa mujibu wa chanzo makini cha gazeti la Risasi, ambacho kilikuwa shuhuda wa tukio hilo, Davina alikuwa amekaa na wasanii wengine pamoja na Mlezi wa Bongo Movies, mama Loraa wakipata vinywaji ndipo Ray alipofika na kuharibu shughuli.


“Wakati Davina...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray Feki Awatapeli Watu Facebook, Ray Waukweli Atoa Angalizo!

“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.

Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.

Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood...

 

11 years ago

GPL

CHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY, RAY AJIBU

Stori: Imelda Mtema
KATIKA hali inayoonesha kuna kitu kikubwa kinakuja mbeleni, msanii wa filamu, Chuchu Hans amejichora ‘tatuu’ inayosomeka kwa jina la Ray huku anayedaiwa kuwa mpenzi wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ naye akiwa amejichora tatuu inayosomeka kwa jina la Chuchu. Ray na Chuchu. Picha ambazo gazeti hili limezinasa zinawaonesha wawili hao wakipigia ‘promo’ uhusiano wao huku wadau...

 

10 years ago

GPL

WEMA AANGUA KILIO!

Na Shakoor Jongo KITUKO! Beautiful Onyinye, Wema Abraham Sepetu ametoa kioja cha aina yake kwa kuangua kilio baada ya kuambiwa kuwa mbwa wake aliyepotea amepatikana na alipokwenda kumfuata akaambulia patupu. Mbwa wa staa wa filamu Bongo, Wema Abraham Sepetu aliyepotea.
Tukio hilo lililowaacha watu midomo wazi lilitokea juzikati maeneo ya kishua, Masaki jijini Dar, ambapo staa huyo alionekana kukatishwa tamaa kwani alipokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani