Wema: Kumiliki au kutomiliki bastola ni siri yangu
NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa Bongo Movie, Wema Sepetu, amedai kwamba itabaki kuwa siri yake kama ni kweli anamiliki bastola ama la kwa kuwa si sifa kutangaza umiliki wa silaha.
“Hii ni siri yangu kama namiliki bastola au la, lakini mimi sioni ajabu kumiliki bastola, mtu kama mimi mwenye maadui wengi inasaidia katika ulinzi wa maisha yangu,” alieleza Wema.
Wema aliendelea kuwataka wanaojiuliza kama anamiliki bastola ama la waendelee na mambo yao mengine kwa kuwa hawatajua jambo hilo ambalo ni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi08 Nov
Arusha yaongoza kumiliki bastola
10 years ago
Mwananchi05 Apr
Bastola kanisani: Mtu mmoja anaswa akiwa na bastola yenye risasi nane
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Hii ndiyo siri yangu-Mzee Yusuph
9 years ago
Mtanzania25 Sep
Lulu: Nampenda Wema kama dada yangu
NA THERESIA GASPER
KAMA unafikiri kuna ugonvi kati ya waigizaji maarufu nchini, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ na Wema Sepetu, utakuwa umekosea, kwani hakuna ugomvi kati yao.
Lulu alieleza kwamba wamekuwa wakishirikiana na Wema Sepetu katika mambo mbalimbali, ikiwemo sherehe, misiba na mijumuiko mbalimbali.
“Nampenda Wema kama dada yangu na yeye ananipenda vile vile, nimekuwa nikihudhuria kwenye shughuli mbali mbali ambazo zinamhusu, nilishiriki vema katika msiba wa baba yake na sherehe zake...
10 years ago
Bongo Movies25 Jul
Wema: Safari Yangu ya Siasa Ndiyo Kwanza Inaanza
Nilivyo amua kugombea viti maalum, nilijua kuna kupata na kukosa. Awamu hii nimekosa, ila dunia bado inazunguka. Nawapongeza walioshinda. Nawashukuru mlioniunga mkono, Mungu aendelee kuwabariki kwa mapenzi yenu juu yangu, yananipa moyo.
Nawashukuru pia wote mlionipinga maana mmeniongezea ujasiri na nina nguvu mpya ya kuthubutu upya. 2015 ni mwaka wa kipekee kwenye muamko wa vijana Tanzania. Bigger things loading.. Most of all Nilizaliwa nikiwa katika Chama Cha Mapinduzi na nitakufa nikiwa...
10 years ago
Bongo Movies27 Apr
Wema: Mama Yangu Amepoteza Uwezo wa Kuona Kwa 75%!
Staa wa Bongo movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa mama yake mzazi, Miriam Sepetu anasumbuliwa na macho ambapo madaktari wamegundua kwamba amepoteza uwezo wa kuona kwa asilimia sabini na tano (75%).
Kwa mujibu wa Wema, aliamua kumpeleka mzazi wake huyo hospitalini (hakuitaja) ndipo alipohakikishiwa tatizo hilo ambalo limekuwa likimsumbua kwa muda mrefu.
“Kumnusuru mama yangu asipate upofu wa moja kwa moja inabidi afanyiwe operesheni ya macho,” alisema Wema kwa huzuni kwa kuwa...
9 years ago
GPLWEMA:NINGNINGEENDA UKAWA, KABURI LA BABA YANGU LINGETITIA
10 years ago
Bongo Movies14 Dec
WEMA: Sitaki Mniingilie, Maisha Yangu Naamua Mwenyewe
Mwingizaji wa filamu, Wema Sepetu aliyasema hayo baada ya baadhi ya watu wanao m-follow mitandaoni kuanza kumtukana na kukosoa kila kitu anachokiweka eti kwasababu tu hawampendi.
Baada ya mamba haya kuendelea kwa mda kidogo, hasa baada ya yeye kuachana na aliekuwa mpenzi wake, Diamond Platnumz, hatimaye Wema aliwatolea uvivu na kuaonge meneno makali kuwa wote wasio mpenda wa ache kum-follow kwani hakuna wakumwambia nini akiweke au asikiweke mtandaoni na hayo ni maisha yake hakuna...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5Y36hMbSNo*W42IznPkmq53jaD0boZzaeGjA184ki8S6UzGcj0PuQVr76sNYoJEaWjzJI9tfdcwDb1ftbDP5*uHCY6W1-rQE/jokate.jpg?width=650)
JOKATE AFICHUA SIRI YA KUPATANA NA WEMA