Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema: Mama Yangu Amepoteza Uwezo wa Kuona Kwa 75%!

Staa wa Bongo movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa mama yake mzazi, Miriam Sepetu anasumbuliwa na macho ambapo madaktari wamegundua kwamba amepoteza uwezo wa kuona kwa asilimia sabini na tano (75%).

Kwa mujibu wa Wema, aliamua kumpeleka mzazi wake huyo hospitalini (hakuitaja) ndipo alipohakikishiwa tatizo hilo ambalo limekuwa likimsumbua kwa muda mrefu.

“Kumnusuru mama yangu asipate upofu wa moja kwa moja inabidi afanyiwe operesheni ya macho,” alisema Wema kwa huzuni kwa kuwa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEMA: MAMA’NGU AMEPOTEZA UWEZO WA KUONA KWA 75%!

Mwandishi Wetu Pole sana mama! Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa mama yake mzazi, Miriam Sepetu anasumbuliwa na macho ambapo madaktari wamegundua kwamba amepoteza uwezo wa kuona kwa asilimia sabini na tano (75%). Kwa mujibu wa Wema, aliamua kumpeleka mzazi wake huyo hospitalini (hakuitaja) ndipo alipohakikishiwa tatizo hilo ambalo limekuwa likimsumbua kwa muda mrefu....

 

11 years ago

Mwananchi

Furaha yangu, kuona mwanamke anafanikiwa

Wapo wanawake wenye ushawishi mkubwa katika jamii. Wengi wa wanawake hawa, wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kuhakikisha wanabadilisha maisha ya mwanamke wa Kitanzania.

 

5 years ago

BBCSwahili

Asha Bakari: Msusi asiyekuwa uwezo wa kuona anavyojikimu kimaisha Uganda

Kama wasemavyo ulemavu sio kutojiweza na pia kuna walio na ulemavu ambao wanaweza kuchangia pakubwa katika kuboresha maisha ya wenzao.

 

10 years ago

GPL

MAMA WEMA USIJISAU, WEWE NI MTU MZIMA!MAMA WEMA

HII ni mara ya pili ninaandika kuhusu Miriam Sepetu, mama mzazi wa muigizaji nyota, Wema Sepetu. Bado ninakumbuka vizuri nilichokiandika mara ya kwanza, ilikuwa ni kuhusu tabia yake wakati ule. Alipenda sana kuzungumza na magazeti kuhusu nyenendo za mwanaye katika uhusiano wake wa kimapenzi na Diamond. Ingawa ni kweli mzazi ana nafasi muhimu katika maisha ya kimapenzi ya mtoto wake, lakini siyo jambo la busara kuingilia kupita...

 

10 years ago

Bongo5

Ray C: Pole kaka yangu Chidi Benz, naumia kuona tatizo ulilokuwa nalo bado haujalitafutia jibu

Baada ya Chidi Benz kukamatwa na dawa za kulevya kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini dar es salaam October 24 akielekea Mbeya (Ingia hapa), Rehema Chalamila wa taasisi ya Ray C Foundation amempa pole na kumwandikia ujumbe rapper huyo wa kutaka kumsaidia aachane na matumizi ya dawa hizo. Kupitia Instagram leo […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Changamoto anazokumbana nazo asiye na uwezo wa kuona wakati wa janga la Corona

Janga la coronavirus limesababisha matatizo kwa kila mmoja. Lakini je umewahi kujiuliza hali ikoje kwa wasio na uwezo na kuona?

 

10 years ago

Michuzi

MAMA ALIYETELEKEZWA NA MUMEWE AOMBA MSAADA KWA WASAMALIA WEMA

WANAWAKE wengi duniani bado wananyanyaswa kijinsia kwa sababu za kijamii, kiuchumi na kipato licha ya kuwepo kwa elimu kuhusu haki zao.

Mwanamama Ester Charles ambaye ni mkazi wa Mwambani wilayani Ilemela ametelekezwa na mumewe aliyetajwa kwa jina la Albinus na kubakizwa na watoto wawili wadogo wanaohitaji uangalizi na usimamizi. Pichani mwanamama Ester akiwa na mtoto wake mdogo anayetaabika na ugonjwa wa kupooza. 


KWA UFUPI
Mumewake alipopata mwanamke mwingine alihama nyumba aliyokuwa akiishi...

 

11 years ago

Bongo Movies

Matusi ya kwenye mitandao ya kijamii yamuumiza Wema Sepetu kwa kumgusa mama yake Mzazi

Mtandao maarufu wa kijamii wa Instagram umekuwa sehemu ambayo mambo mengi yanafanyika siku hizi na kuwaacha watu wengine wakifurahi, kukasirika na wengine wakitoa machozi kutokana na vita isiyo rasmi inayoendeshwa na team zinazoundwa na mashabiki wanaodai kumlinda mtu fulani maarufu.

Vita ya "team" hizi imekuwa serious zaidi kwa wasanii wa kike na mara nyingi hushambuliana kwa maneno na hata matusi ya nguoni pale mmoja anapotaka kuvuka msitari wa mwingine.

Vita hiyo imemgusa Wema Sepetu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani