JOKATE AFICHUA SIRI YA KUPATANA NA WEMA

Jokate Mwegelo. Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya THE big boss wa Kidoti, Jokate Mwegelo ambaye pia ni staa wa sinema na Bongo Fleva, amefichua siri ya kupatana na Wema Isaac Sepetu akisema kuwa sababu ya yeye kuonekana kwenye jukwaa moja na aliyekuwa hasimu wake huyo ni kutafuta amani ya moyo aliyokuwa ameikosa si kweli kwamba alisukumwa na nguvu ya pombe.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Nov
Luis Munana afichua siri ya jinsi alivyojikuta akipendana na Wema Sepetu

Wiki iliyopita picha za mtandaoni zilionesha kuwa Wema Sepetu na mshiriki wa Big Brother Hotshots kutoka Namibia, Luis Munana wamefunga ndoa.
Hakuna taarifa rasmi kutoka kwa wawili hao baada ya ‘ndoa’ hiyo kufungwa lakini Luis ameimbia Clouds E ya Clouds FM kuwa picha zilizosambaa n halisi na zilipigwa kwenye tukio hilo lililoshuhudiwa na familia zao zote mbili.
“Kwa sasa siwezi kuzungumzia chochote kuhusu picha hizo na ndio maana niliamua kuzifuta kwenye akaunti yangu kwakuwa lilikuwa...
10 years ago
GPL
KAJALA: NATAMANI KUPATANA NA WEMA
10 years ago
Habarileo17 Aug
Butiku afichua siri ya Lowassa
WAKATI hekaheka za kuondoka kwa Edward Lowassa kuingia Chadema zikiwa bado zina mjadala mkali, jana Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation (MNF), Joseph Butiku ametoboa siri iliyokaa takribani miongo mitatu ya kundi la mtandao na mashtaka dhidi ya Lowassa yaliyofanywa na aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi.
10 years ago
GPL
RAY AFICHUA SIRI YA CHUCHU!
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Kerr afichua siri ya Simba
10 years ago
Habarileo12 Sep
Warioba afichua siri ya Ukawa
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amefichua siri ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), akisema vilikwamisha mchakato huo ili baadaye viingize vipengele vyao wakiingia madarakani.
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Okwi afichua siri Simba
9 years ago
Habarileo24 Dec
Pluijm afichua siri ya usajili
KOCHA wa Yanga Mholanzi Hans van der Pluijm, ameweka wazi sababu ya kuendelea kusajili kwenye dirisha dogo ni kuifanya timu hiyo iwe bora Afrika. Alisema lengo ni kuepuka kikosi chake kutegemea baadhi ya wachezaji pindi wanapokuwa katika ushindani mkubwa kama ilivyo sasa.