Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAJALA: NATAMANI KUPATANA NA WEMA

Stori: Imelda Mtema
SIKU chache baada ya mtangazaji Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ kupatana na Beutiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu, mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’ naye ameibuka na kuweka bayana kuwa hata yeye yupo radhi na anatamani kupatana na Wema ambaye wameogelea kwenye bifu miezi kadhaa sasa. Waigizaji wa filamu Bongo, Kajala Masanja ‘Kay’ na Wema Sepetu wakati wakiwa pamoja. Kajala...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

11 years ago

GPL

JOKATE AFICHUA SIRI YA KUPATANA NA WEMA

Jokate Mwegelo. Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
THE big boss wa Kidoti, Jokate Mwegelo ambaye pia ni staa wa sinema na Bongo Fleva, amefichua siri ya kupatana na Wema Isaac Sepetu akisema kuwa sababu ya yeye kuonekana kwenye jukwaa moja na aliyekuwa hasimu wake huyo ni kutafuta amani ya moyo aliyokuwa ameikosa si kweli kwamba alisukumwa na nguvu ya pombe.… ...

 

10 years ago

Bongo Movies

'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema

Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao

ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.

Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...

 

10 years ago

Mtanzania

Wema Sepetu: Natamani kuitwa mama kabla sijafa

wema-sepetuMREMBO wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu, amesema kwamba muda wote wa maisha yake amekuwa akisaka ujauzito lakini anasikitika kwamba hana uwezo huo.
Mrembo huyo ambaye kwa sasa anataraji kuachia filamu yake mpya aliyomshirikisha msanii maarufu wa Nigeria, Van Viker, ameeleza namna anavyotamani kuitwa mama kwa kuwa ndicho kitu kikubwa kinachomuumiza katika maisha yake kwa sasa huku akitamani kuwa na mtoto kabla hajafa.
Kauli ya mrembo huyo aliyoiweka katika mtandao wake wa Instagram,...

 

10 years ago

GPL

KAJALA AMWANGUKIA WEMA

Waandishi wetu
KWELI dhamira inauma! Staa mkali wa sinema za Bongo, Kajala Masanja ameamua kukifungua kinywa chake na kusema kuwa anamwomba msamaha zilipendwa wake katika urafiki, Wema Isaac Sepetu kwa mabaya yote aliyomtendea, Amani linakupa zaidi. Staa mkali wa sinema za Bongo, Wema Sepetu. Akizungumza katika mahojiano maalum na  mapaparazi wetu mapema wiki hii jijini Dar, Kajala alisema hata kama kuna chuki ya ukubwa kwa...

 

11 years ago

GPL

KAJALA: WEMA MNAFIKI

Musa Mateja na Shakoor Jongo
STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kusema kuwa ushosti wake na Miss Tanzania 2006/07, Wema Sepetu, uliorudishwa hivi karibuni baada ya kuwekana sawa ni wa kinafiki huku akidai Wema ni kigeugeu. Staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja Akizungumza kwa kujiamini mbele ya waandishi wetu, juzi Jumatano pande wa Mikocheni jijini Dar es Salaam, Kajala alisema: “Wema ni mnafiki...

 

10 years ago

GPL

WEMA AMKEJELI KAJALA

Stori: Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
NGOMA nzito! Kauli ya sexy lady wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kuwa yupo tayari kumtumikia msanii mwenzake Kajala Masanja ‘K’ kwenye kampuni yake ya KAY Entertiment tena bila malipo yoyote, imetafisiriwa kuwa ni kejeli. Sexy lady wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ Hivi karibuni Wema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani