WEMA: Sitaki Mniingilie, Maisha Yangu Naamua Mwenyewe
Mwingizaji wa filamu, Wema Sepetu aliyasema hayo baada ya baadhi ya watu wanao m-follow mitandaoni kuanza kumtukana na kukosoa kila kitu anachokiweka eti kwasababu tu hawampendi.
Baada ya mamba haya kuendelea kwa mda kidogo, hasa baada ya yeye kuachana na aliekuwa mpenzi wake, Diamond Platnumz, hatimaye Wema aliwatolea uvivu na kuaonge meneno makali kuwa wote wasio mpenda wa ache kum-follow kwani hakuna wakumwambia nini akiweke au asikiweke mtandaoni na hayo ni maisha yake hakuna...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo529 Dec
Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)
![12292738_1516860355279681_1179389451_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12292738_1516860355279681_1179389451_n-300x194.jpg)
Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.
FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.
“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.
“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.
“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/uw8ZJ9XBTbVHBAcCa6PrggD*Gn2G1IuN9kLVdUy0r9I-CF2cRMKyzxJlN3Zc-OCAoE5q9P8bYqp2jy-vDjpwDI5*lZbqd*Ny/ScreenShot20140616at4.15.25PM.png?width=650)
WEMA, ZARI JIONGEZE MWENYEWE!
10 years ago
Bongo Movies30 Jul
Shamsa Ford:Mchawi wa Maisha Yako ni Wewe Mwenyewe
NIDHAMU ni silaha kubwa katika maisha.kuna ambao Mungu aliwabariki kwa nafasi zao lakini hawakuweza kutumia nafasi zao vizuri kwasababu ya kukosa nidhamu.walihisi wao ni bora kuliko wengine ndo maana walibarikiwa.
Mwisho wa siku wakishapotea au mambo kwenda tofauti na walivyokuwa wanadhania wanaanza kulaumu watu.Wengine wataingia hadi kwenye ushirikina kwa kusemwa wamerogwa..Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe...MUWEKE MUNGU MBELE,KUWA MVUMILIVU,ACHA TAMAA,FANYA KAZI KWA BIDII, PENDA...
10 years ago
Michuzi22 Aug
KIKONGWE WA MIAKA 76 AAMUA KUJITENGENEZEA JENEZA LAKE MWENYEWE KWA SABABU YA UGUMU WA MAISHA
Maalbino wanakatwa viungo vyao kwa visingizio vya kupata utajiri kwa watu wasiokuwa na huruma, watoto wadogo wananyimwa haki zao na kuwekwa ndani ya maboksi na wengine...
10 years ago
GPLKAJALA: NIACHENI NA MAISHA YANGU
10 years ago
Bongo Movies23 Jan
Baada ya wake kukanusha, Wema Sepetu mwenyewe kaongea kuhusu ishu ya kumpeleka Diamond Polisi.
Baada ya hapo jana meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martin Kadinda kukanusha habari za Wema kumpeleka polisi Diamond Platnumz ambae alikuwa mpezi wake. Kwa kutoweza kulipa kwa wakati deni la shilingi million 10. Leo Wema Sepetu amefunguka kuhusu swala hili katika mahojiano na Millard Ayo.
Wema ameyasema haya “Hii taarifa imenishtua sana maana asubuhi ya jana nimekuta kwenye gazeti wameandika nikashangaa yaani hapa nimekaa kwa sababu muda mwingi siendeshi mimi akaunti yangu ya twitter,...
10 years ago
Raia Tanzania16 Jul
‘Kura yangu imeokoa maisha ya mtoto’
“Kura yangu moja ya kumchagua Mbunge imesaidia kuokoa maisha ya mtoto wangu niliyekuwa nimemkatia tamaa kutokana na uwezo wangu duni kifedha.”
Hii ni kauli iliyotolewa na mama mmoja aitwaye Rose Anton, Mkazi wa Nsemulwa mjini Mpanda ambaye mwanaye, Lilian Gerald mwenye umri wa miaka 2.5 aligunduliwa kuwa na tatizo la ugonjwa wa moyo.
Katika mahojiano na gazeti hili wiki iliyopita, mama huyo alimshukuru aliyekuwa Mbunge wa Mpanda Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Maua yamekuwa mkombozi wa maisha yangu
5 years ago
Mwananchi27 Feb
Jesca BM: Muziki ndio maisha yangu