Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Kura yangu imeokoa maisha ya mtoto’

“Kura yangu moja ya kumchagua Mbunge imesaidia kuokoa maisha ya mtoto wangu niliyekuwa nimemkatia tamaa kutokana na uwezo wangu duni kifedha.”

Hii ni kauli iliyotolewa na mama mmoja aitwaye Rose Anton, Mkazi wa Nsemulwa mjini Mpanda ambaye mwanaye, Lilian Gerald mwenye umri wa miaka 2.5 aligunduliwa kuwa na tatizo la ugonjwa wa moyo.

Katika mahojiano na gazeti hili wiki iliyopita, mama huyo alimshukuru aliyekuwa Mbunge wa Mpanda Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Niger: 'Maisha yangu ya kutokuwa na mtoto'

Changamoto za wanawake ambao hawakubahatika kupata mtoto katika jamii ya kiafrika

 

9 years ago

Bongo5

Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)

12292738_1516860355279681_1179389451_n

Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.

FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.

“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.

“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.

“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...

 

10 years ago

GPL

KAJALA: NIACHENI NA MAISHA YANGU

Staa mkali wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja. Imelda Mtema
KUFUATIA mashabiki kumlaumu kwa kitendo chake cha kuhudhuria shoo ya Zari All White Party, staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja amefunguka kwa ukali kuwataka watu kumuacha na maisha yake kwa sababu hayawahusu. Akipiga stori na gazeti hili, Kajala  alisema  amekuwa mvumilivu kwa muda mrefu lakini kitendo cha watu kutaka kumpangia nini cha kufanya au wapi pa...

 

11 years ago

Mwananchi

Maua yamekuwa mkombozi wa maisha yangu

Katika maisha ya kila siku inaweza kutokea ukapenda kufanya jambo fulani ambalo kwa wakati huo linaweza likakosa faida kwako, lakini baadaye jambo hilo ndilo likawa mkombozi wa maisha yako.

 

5 years ago

Mwananchi

Jesca BM: Muziki ndio maisha yangu

Kati ya waimbaji nyota wa muziki wa injili wanaokuja kwa kasi hapa nchini hivi sasa, Jesca Honore maarufu kwa jina la Jesca BM ni miongoni mwao.

 

10 years ago

Bongo Movies

Shilole: Huyu Ndio Mwanaume wa Maisha Yangu

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole leo mtandaoni ameibuka na mtandaona na kuweka wazi kuwa mchumba wake Nuh Mziwanda ndio mwanaume wa maisha yake.

“Huyu nilienae pembeni yangu ndo baba yangu rafiki yangu faraja yangu ya moyo na anajua umuhimu wangu kuliko mtu yeyote yupo na mimi bega kwa bega ninapokuwa na furaha nahata ninapokuwa na majonzi mimi naweza sema ndo mwanaume wa maisha yangu naomba Mungu asije badilika nitaumia sana.Nampenda sana huyu mtu nyinyi mnamuta Nuh mimi...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Nahitaji Sh700,000 kuokoa maisha yangu’

Ugonjwa wa saratani unazidi kushika kasi kila kukicha hapa nchini. Pia umegharimu maisha ya watu wengi kutokana na huo ugonjwa bado haujapatiwa tiba madhubuti.

 

10 years ago

Mwananchi

Elimu haikuwa kikwazo katika maisha yangu

Jina la Madaraka Kilangi (52) kwa wenye malori makubwa aina ya Scania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini lipo mdomoni.

 

11 years ago

GPL

MZEE GURUMO: MAISHA YANGU KULA KULALA

Mzee Gurumo akiwa amepozi Amana Bar. MWANAMUZIKI ambaye kwa sasa amestaafu kuimba kwa sasa, Muhiddin Maalim Gurumo amesema kuwa, tangu atangaze kuacha rasmi shughuli za muziki maisha yake ya sasa ni kula kulala kwani hana shughuli yoyote anayofanya. Akipiga stori na paparazi wetu alisema, maisha yake ya sasa ni kusubiri giza liingie na jua liwake mkono uende kinywani kwa kuwa hana biashara yoyote anayoiendesha ya kuweza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani