Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZEE GURUMO: MAISHA YANGU KULA KULALA

Mzee Gurumo akiwa amepozi Amana Bar. MWANAMUZIKI ambaye kwa sasa amestaafu kuimba kwa sasa, Muhiddin Maalim Gurumo amesema kuwa, tangu atangaze kuacha rasmi shughuli za muziki maisha yake ya sasa ni kula kulala kwani hana shughuli yoyote anayofanya. Akipiga stori na paparazi wetu alisema, maisha yake ya sasa ni kusubiri giza liingie na jua liwake mkono uende kinywani kwa kuwa hana biashara yoyote anayoiendesha ya kuweza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)

12292738_1516860355279681_1179389451_n

Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.

FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.

“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.

“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.

“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...

 

11 years ago

GPL

MZEE GURUMO AZIKWA

Mwili wa marehemu Muhidin 'Maalim' Gurumo ukiwekwa eneo la makaburi ya Masaki-Kasarawe tayari kwa maziko. Mwili wa Mzee Gurumo umezikwa makaburi ya Masaki-Kisarawe, Pwani ambapo mamia ya watu wamehudhuria maziko ya nguli huyo wa muziki wa dansi aliyefariki dunia juzi Jumapili Aprili 13, 2014. 

 

11 years ago

GPL

MZEE GURUMO AFARIKI DUNIA

Maalim Muhidin Gurumo enzi za uhai wake. MKONGWE wa Dansi nchini, Maalim Muhidin Gurumo aliyekuwa akitumikia Bendi ya Msondo Ngoma ‘Baba ya Muziki’ kabla ya kustaafu mwaka jana, amefariki  dunia. Kwa mujibu wa habari tulizozipata kupitia chanzo chetu, Mwanamuziki huyo amefariki alasiri hii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu. Mpaka sasa sababu ya kifo cha Mzee Gurumo bado...

 

11 years ago

GPL

MZEE GURUMO AFUNGUKIA SKENDO ZA DIAMOND

Mayasa Mariwata na Shani Ramadhan
MSANII mkongwe wa muziki wa dansi Bongo, Muhidini Gurumo ambaye kwa sasa amestaafu, amefungukia skendo ya kuwa na mademu wengi inayomuandama Nasibu Abdul ‘Diamond’. Nasibu Abdul ‘Diamond’. Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni maeneo ya Ilala jijini Dar, Mzee Gurumo alisema: “Diamond ana nidhamu sana ila vile anavyotamba jukwaani na kudatisha mashabiki hapo...

 

11 years ago

GPL

WEMA AMFUNGIA DIAMOND, ASHINDWA KUMZIKA MZEE GURUMO

Stori: Musa Mateja na Shakoor Jongo
HAYA yanaweza kuwa ni mambo ya malovee! Kuna madai kwamba Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ alishindwa kushiriki zoezi la kuuaga mwili wa mwanamuziki mkongwe Tanzania, marehemu Muhidin Mwalimu Mohamed Gurumo ‘Maalim Gurumo’ kwa sababu alifungiwa asitoke ndani na mwandani wake madam Wema Sepetu, Ijumaa linakudadavulia. Wema Sepetu na Diamond wakiwa faragha. ...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema: Hakuna kulala, hakuna kula

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana kilizindua mkakati wake wa ushindi “Hakuna kulala, hakuna kula mpaka kieleweke” katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba kwa kufungua mafunzo yatakayoendeshwa nchi nzima kwa viongozi wa vyama na Serikali za Mitaa.

 

11 years ago

GPL

MZEE GURUMO KUZIKWA KESHO KWAO KISARAWE, MKOA WA PWANI

Waombolezaji wakiwa msibani. Ndugu wa marehemu wakiwa katika chumba cha wafiwa. Mke wa marehemu,…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani