MZEE GURUMO AFUNGUKIA SKENDO ZA DIAMOND
![](http://api.ning.com:80/files/wBi6IgNyVl-YPYqpyiiNEtKtv5LHMF8wUTn0nBFeSB9eAyLXcICbdEItWLm5bqlB1dd9lh0qJL4Mmd2ED2SR1f6VGsA6n0eS/GURUMO.jpg?width=650)
Mayasa Mariwata na Shani Ramadhan MSANII mkongwe wa muziki wa dansi Bongo, Muhidini Gurumo ambaye kwa sasa amestaafu, amefungukia skendo ya kuwa na mademu wengi inayomuandama Nasibu Abdul ‘Diamond’. Nasibu Abdul ‘Diamond’. Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni maeneo ya Ilala jijini Dar, Mzee Gurumo alisema: “Diamond ana nidhamu sana ila vile anavyotamba jukwaani na kudatisha mashabiki hapo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwkY2Ya*bV9hcwEjEqSDs-v9mKv3nGr-MtcV7ADbul4LJMITTuwmSxPvqC2Fch7k6teK*W1UHJ5AG8eqTDgRgOL2/wema1.jpg?width=650)
WEMA AMFUNGIA DIAMOND, ASHINDWA KUMZIKA MZEE GURUMO
Stori: Musa Mateja na Shakoor Jongo
HAYA yanaweza kuwa ni mambo ya malovee! Kuna madai kwamba Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ alishindwa kushiriki zoezi la kuuaga mwili wa mwanamuziki mkongwe Tanzania, marehemu Muhidin Mwalimu Mohamed Gurumo ‘Maalim Gurumo’ kwa sababu alifungiwa asitoke ndani na mwandani wake madam Wema Sepetu, Ijumaa linakudadavulia. Wema Sepetu na Diamond wakiwa faragha. ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HzbY9S4OGWu0vnF-NHjua2cfqlkXo8kWu51*reEgRGfaKxA86x2L*x-el2RKwfFfe9Cx1Yj826aJ9xLNim7psFpoYB2JzKUI/rosendauka.jpg)
ROSE NDAUKA AFUNGUKIA SKENDO YA KUPORA WAUME ZA WATU!
Makala:hamida hassan Wiki iliyopita katika Exclusive Interview tuliona sehemu ya kwanza ya Rose Ndauka alivyoeleza kuwa aliwamwaga wanaume na kutulia na Maliki. Wawili hao kwa sasa wanaogelea katika penzi zito na mikakati thabiti ya ndoa imeshaanza, wanatarajia kuoana baadaye mwaka huu. Msanii wa Bongo Muvi, Rose Ndauka. Leo tunaendelea, atafungukia skendo za kupora waume za watu.
Risasi: Kuna taarifa zilienea kuwa uliwahi...
11 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-KFr4HCt4FrU/U00C6jYnYlI/AAAAAAAAFw8/tYy7k3DRv0Y/s1600/9131bf04c47511e3ae5c0002c9e12d88_8.jpg?width=650)
MZEE GURUMO AZIKWA
Mwili wa marehemu Muhidin 'Maalim' Gurumo ukiwekwa eneo la makaburi ya Masaki-Kasarawe tayari kwa maziko. Mwili wa Mzee Gurumo umezikwa makaburi ya Masaki-Kisarawe, Pwani ambapo mamia ya watu wamehudhuria maziko ya nguli huyo wa muziki wa dansi aliyefariki dunia juzi Jumapili Aprili 13, 2014.Â
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MZEE GURUMO AFARIKI DUNIA
Maalim Muhidin Gurumo enzi za uhai wake. MKONGWE wa Dansi nchini, Maalim Muhidin Gurumo aliyekuwa akitumikia Bendi ya Msondo Ngoma ‘Baba ya Muziki’ kabla ya kustaafu mwaka jana, amefariki dunia. Kwa mujibu wa habari tulizozipata kupitia chanzo chetu, Mwanamuziki huyo amefariki alasiri hii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu. Mpaka sasa sababu ya kifo cha Mzee Gurumo bado...
11 years ago
GPLMZEE GURUMO: MAISHA YANGU KULA KULALA
Mzee Gurumo akiwa amepozi Amana Bar. MWANAMUZIKI ambaye kwa sasa amestaafu kuimba kwa sasa, Muhiddin Maalim Gurumo amesema kuwa, tangu atangaze kuacha rasmi shughuli za muziki maisha yake ya sasa ni kula kulala kwani hana shughuli yoyote anayofanya. Akipiga stori na paparazi wetu alisema, maisha yake ya sasa ni kusubiri giza liingie na jua liwake mkono uende kinywani kwa kuwa hana biashara yoyote anayoiendesha ya kuweza...
11 years ago
GPLMZEE GURUMO KUZIKWA KESHO KWAO KISARAWE, MKOA WA PWANI
Waombolezaji wakiwa msibani. Ndugu wa marehemu wakiwa katika chumba cha wafiwa. Mke wa marehemu,…
11 years ago
Michuzi15 Apr
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania