Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIKONGWE WA MIAKA 76 AAMUA KUJITENGENEZEA JENEZA LAKE MWENYEWE KWA SABABU YA UGUMU WA MAISHA

Bi Scholastika Mhagama akiwa katika mlango wa nyumba yake. ---------------------Na Oswald Ngonyani wa demashonews - Peramiho.Wahenga walisema ‘Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni;’ Jamii inazidi kujawa na chuki na ukatili ndani yake, imekuwa kawaida siku hizi kusikia fulani kamuua fulani kwa kisa kisichokuwa na maana.
Maalbino wanakatwa viungo vyao kwa visingizio vya kupata utajiri kwa watu wasiokuwa na huruma, watoto wadogo wananyimwa haki zao na kuwekwa ndani ya maboksi na wengine...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HII HAPA INAMHUSU YULE KIKONGWE ALIYEVUNJA HISTORIA KWA KUJIANDALIA JENEZA, HIZI HAPA SABABU ZINAZOMFANYA AJIANDAE KWA KIFO

Mkazi wa Kijiji cha Lundusi, Kata ya Peramiho, wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, Bibi Scholastica Mhagama amejiandalia jeneza lake ambalo litatumika kumzikia siku atakayoaga dunia. Bibi Scholastica Mhagama(76) ambaye amejiandalia jeneza lake litakalotumika kumzikia.Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Scholastica alisema alilitengeneza jeneza hilo zaidi ya miaka mitano iliyopita baada ya kuona anaishi kwa dhiki na anatengwa na baadhi ya watu.“Nilijitengenezea jeneza langu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana waishi vyooni kwa ugumu wa maisha

VIJANA wanne wakazi wa mji wa O’murushaka, Kata ya Bugene, wilayani Karagwe, wanaishi kwenye vyoo vya huduma vya wasafiri vilivyopo katika mji  huo kwa miezi sita sasa kwa madai ya...

 

11 years ago

GPL

ABIRIA AAMUA KUBADILI TAIRI LA BAJAJI MWENYEWE

Msanifu kurasa wa Global Publishers Ltd, Huruma Bujiku alinaswa na kamera yetu akibadili tairi la bajaji baada ya kutokea pancha wakati akielekea ofisini jana asubuhi eneo la Tazara - Mchicha jijini Dar es Salaam. (Picha na Haruni Sanchawa / GPL)

 

10 years ago

Vijimambo

Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu, aamua kujivua taji mwenyewe

BREAKING NEWS!Habari tulizozipata hivi punde kupitia uso wa kitabu wa Miss tanzania 2014, Sitti Mtemvu, ni kwamba ameamua kujivua taji hilo ili aendelee na maisha yake kwa amani. Hivi nivyo alovyoandika "HABARI ZA JIONI WATANZANIA WENZANGU, KUTOKANA NA KUWA NIMEKUWA NIKISEMWA SANA, MANENO MENGI YASIO NA TIJA JUU YA HILI TAJI LA UMISS TANZANIA 2014,,,MPAKA KUPELEKEA NISIWE NA AMANI NA UHURU NDANI YA NCHI YANGU TANZANIA, KWA ROHO SAFI NIMEAMUA MWENYEWE KUJIVUA TAJI HILO NA KUACHA WANAYE ONA...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kutotafakari mwanzo wa ugumu wa maisha

WIKI iliyopita niliandika makala nikilalamikia michango mikubwa ya sherehe, wamejitokeza wasomaji wengi kuniunga mkono. Karibu wote waliowasiliana na mimi baada ya kuisoma makala hiyo wameniomba niuendeleze mjadala huo kuzidi kuweka...

 

11 years ago

Mwananchi

Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili

“Laiti ningekuwa na moyo wa kukata tamaa, nisingefika hapa nilipo. Siyo hivyo tu, bali pia ingekuwa vigumu watu wengine kufaidika na ujuzi wangu,” anasema Elika Mwamengo (33) alipoongea na Mwananchi kuhusu mafanikio yake kimaisha.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Adha ya michango na ugumu wa maisha wa kujitakia

NIPO kazini, mfanyakazi mwenzangu ananiletea kadi ya kuomba mchango wa harusi ya mdogo wake. Papo hapo nakumbuka siku hiyo ndiyo ya mwisho ya kuwasilisha michango kwa ajili ya sherehe ya...

 

10 years ago

Bongo5

Mwanamke ajioa mwenyewe baada ya kuchoka kuwa single kwa miaka 6!

Uvumilivu wa kusubiri mwanaume wa kuja kumpigia goti na kumuuliza ‘will you marry me?’, umemshinda mwanamke mmoja wa Uingereza, aliyeamua kuchukua uamuzi wa kujichumbia na kujioa mwenyewe! Grace Gelder ambaye ni ‘mme na mke’ alijichumbia November, 2013 na baadae kujioa March, 2014 na kuamua kufanya sherehe ya harusi yake iliyohudhuriwa na wageni 50. Na ule […]

 

11 years ago

Habarileo

'Bei mpya ya umeme chanzo cha ugumu wa maisha'

WAKAZI wa Mji wa Sumbawanga wamelalamikia bei mpya ya umeme kwamba imechangia ugumu wa maisha kwao kutokana na vitu vingi kupanda gharama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani