HII HAPA INAMHUSU YULE KIKONGWE ALIYEVUNJA HISTORIA KWA KUJIANDALIA JENEZA, HIZI HAPA SABABU ZINAZOMFANYA AJIANDAE KWA KIFO
Mkazi wa Kijiji cha Lundusi, Kata ya Peramiho, wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, Bibi Scholastica Mhagama amejiandalia jeneza lake ambalo litatumika kumzikia siku atakayoaga dunia. Bibi Scholastica Mhagama(76) ambaye amejiandalia jeneza lake litakalotumika kumzikia.Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Scholastica alisema alilitengeneza jeneza hilo zaidi ya miaka mitano iliyopita baada ya kuona anaishi kwa dhiki na anatengwa na baadhi ya watu.“Nilijitengenezea jeneza langu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi22 Aug
KIKONGWE WA MIAKA 76 AAMUA KUJITENGENEZEA JENEZA LAKE MWENYEWE KWA SABABU YA UGUMU WA MAISHA
Maalbino wanakatwa viungo vyao kwa visingizio vya kupata utajiri kwa watu wasiokuwa na huruma, watoto wadogo wananyimwa haki zao na kuwekwa ndani ya maboksi na wengine...
10 years ago
GPL
SABABU YA WANANDOA VIJANA KUHAMIA KWA WAZEE HII HAPA
10 years ago
Vijimambo
Je kwa nini wanawake huwa na furaha zaidi wakati wa kufunga ndoa? Hizi hapa chini ndiyo sababu

Wakatiwa kufunga ndoa wanawake wengi huonyesha furaha zao kwa namna tofauti. Wako ambao kutokana na furaha ya kuolewa wanashindwa kujizuia na kuanza kulia siyo kwa huzuni bali kwa furaha iliyopitiliza, wengine honyesha furaha zao kwa kucheza mziki kwa furaha na kumbusu mume wake wa maisha kwa mfululizo kama vile anachezea mdoli akiwa haamini kile kinachomtokea nk.Kwa upande wa mume naye huwa na furaha kwa upande wake lakini furaha hiyo haizidi furaha ya mke, hiyo ni kwa sababu mwanaume...
10 years ago
GPLSABABU 5 ZA KUMCHAGUA MAGUFULI HIZI HAPA
10 years ago
GPL
SABABU ZA MWANAMKE KUCHEPUKA HIZI HAPA!
10 years ago
StarTV22 Aug
Hizi hapa sababu za Mtikila kuenguliwa NEC.
Wakati Lowassa atagombea urais kwa tiketi ya Chadema, akiungwa mkono na vyama vinne vinavyounda Ukawa, Dk Magufuli anawania nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM, huku mwanasiasa maarufu nchini, Mchungaji Christopher Mtikila akikataliwa...
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Makamba: Sababu za CCM kushinda hizi hapa
10 years ago
VijimamboSABABU ZA KWANINI TIBAIJUKA ALIKATAA KUJIUZULU HIZI HAPA JITIRIRIKIE MWENYEWE
Taarifa Zinasema Prof Tibaijuka alifukuzwa kazi kutokana na ukosefu wa Maadili kama ambavyo Rais Jakaya Kikwete alivyodai,
Rais Kikwete alitangaza kumfukuza kazi Mbunge huyo wa Muleba Kusini (CCM)katika Mkutano wake wa Wazee wanaokaa mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika...