SABABU ZA MWANAMKE KUCHEPUKA HIZI HAPA!
![](http://api.ning.com:80/files/NQs0dYxvfMX1So1uRqz*MY4f6-Hls5Qsb4CiAZ2ak*CFaYLOBzi8MHr9Z8UxRI7qeRjQESpflhbjaSrOsrOnodhUs8V8WabT/cheatingboyfriendhusband.jpg?width=650)
Wapenzi wasomaji kumekuwa na manenomaneno kwamba, baadhi ya wanawake wamekuwa na mwanaume zaidi ya mmoja, lakini nimefanya utafiti na kubaini wanaosababisha tabia hiyo ya michepuko ni wanaume ambao wameingia nao kwenye uhusiano. KWA NINI NASEMA HIVI? Utakuta mwanamke alimpenda mwanaume fulani kwa sababu ya kufuata huduma na jinsi anavyomjali na kumheshimu ikiwa ni pamoja na kumjaza katika nafsi yake, pengine ndiyo anavyopenda au...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo20 Jan
HII HAPA INAMHUSU YULE KIKONGWE ALIYEVUNJA HISTORIA KWA KUJIANDALIA JENEZA, HIZI HAPA SABABU ZINAZOMFANYA AJIANDAE KWA KIFO
9 years ago
GPLSABABU 5 ZA KUMCHAGUA MAGUFULI HIZI HAPA
9 years ago
Mwananchi23 Oct
Makamba: Sababu za CCM kushinda hizi hapa
9 years ago
StarTV22 Aug
Hizi hapa sababu za Mtikila kuenguliwa NEC.
Wakati Lowassa atagombea urais kwa tiketi ya Chadema, akiungwa mkono na vyama vinne vinavyounda Ukawa, Dk Magufuli anawania nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM, huku mwanasiasa maarufu nchini, Mchungaji Christopher Mtikila akikataliwa...
10 years ago
VijimamboSABABU ZA KWANINI TIBAIJUKA ALIKATAA KUJIUZULU HIZI HAPA JITIRIRIKIE MWENYEWE
Taarifa Zinasema Prof Tibaijuka alifukuzwa kazi kutokana na ukosefu wa Maadili kama ambavyo Rais Jakaya Kikwete alivyodai,
Rais Kikwete alitangaza kumfukuza kazi Mbunge huyo wa Muleba Kusini (CCM)katika Mkutano wake wa Wazee wanaokaa mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-VHAED0M_p9o/VRWLkIxKWgI/AAAAAAAAq0s/RZ8lQcmz5-A/s72-c/bub.jpg)
Je kwa nini wanawake huwa na furaha zaidi wakati wa kufunga ndoa? Hizi hapa chini ndiyo sababu
![](http://3.bp.blogspot.com/-VHAED0M_p9o/VRWLkIxKWgI/AAAAAAAAq0s/RZ8lQcmz5-A/s640/bub.jpg)
Wakatiwa kufunga ndoa wanawake wengi huonyesha furaha zao kwa namna tofauti. Wako ambao kutokana na furaha ya kuolewa wanashindwa kujizuia na kuanza kulia siyo kwa huzuni bali kwa furaha iliyopitiliza, wengine honyesha furaha zao kwa kucheza mziki kwa furaha na kumbusu mume wake wa maisha kwa mfululizo kama vile anachezea mdoli akiwa haamini kile kinachomtokea nk.Kwa upande wa mume naye huwa na furaha kwa upande wake lakini furaha hiyo haizidi furaha ya mke, hiyo ni kwa sababu mwanaume...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiLIFsOdU5KFMlZqYt9dnf-37D0p4A7T1vAEvFdjrhktDR1NWvDlzjjxAA8jgvpVGDNvUwmA4Ef88O9L2tpf5E9G/mahaba.jpg?width=650)
ZIJUE SABABU ZA WANAUME KUCHEPUKA!