Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIJUE SABABU ZA WANAUME KUCHEPUKA!

Mambo vipi msomaji wa safu hii. Bila shaka unaendelea vizuri na harakati zako za kimapenzi na kwa mara nyingine upo tena katika safu hii ili kufuatilia nini kimejiri. Moja ya tatizo kubwa kabisa linalowasumbua wapenzi wengi ni tabia ya kutoaminiana baina yao. Kila mmoja hudhani mwenzake anakwenda kinyume na hili, mara nyingi lawama huenda zaidi kwa wanaume kwani ni wepesi kuchepuka.
Zifuatazo ni baadhi ya sababu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ZIJUE SABABU ZA WANAUME KUCHEPUKA!-2

NI matumaini yangu wapenzi wasomaji wa safu hii mko poa. Leo tunamalizia vipengele vilivyosalia wiki iliyopita, ungana nami. 6.Karaha
Hili pia ni tatizo la wanawake ambalo hawapendi kulikubali. Karaha nyumbani dhidi ya mwanaume huweza kumfanya ajisikie kuhitaji faraja nje ya nyumba. Na wanawake wengi wakimuona mwanaume yupo peke yake baa, hujua kuwa atakuwa amekimbia maudhi ya mkewe na anahitaji faraja. 7.Huruma ya wanawake
...

 

10 years ago

GPL

UVIVU WAKO NI SABABU YA MWENZIO KUCHEPUKA

Kuna watu ambao wamekuwa hodari kujisifu kuwa wao hutoa unyumba kwa ‘kibaba’. Yaani huwapimia wenzi wao. Kwa mitazamo yao, hujiona wapo sahihi. Tabia hii ipo kwa wanawake zaidi, japo kuna wanaume ambao nao ni wagumu kutekeleza mahitaji ya wapenzi wao. Hata hivyo, kuna kitu cha kuweka sawa hapa; Wakati mwanamke anapobana ‘staftahi’ kwa mwenzake, huhesabika ni mchoyo! Kwa mwanaume yeye huonekana ni goigoi....

 

11 years ago

GPL

SABABU ZA BAADHI YA WANANDOA KULAZIMIKA KUCHEPUKA!

Kiukweli kabisa mchepuko siyo dili kwa kuwa wengi waliochepuka wamejikuta kwenye matatizo makubwa sana. Ndiyo maana tunashauriwa kubaki njia kuu kwa kujenga uaminifu kwa wale tuliotokea kuwapenda na kutodiriki kuwasaliti. Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, kasi ya kusalitiana kwa wapenzi imekuwa ikiongezeka kila kukicha. Utulivu umekuwa sifuri, unayedhani katulia kesho utasikia kafumaniwa. Unaweza kuwa na mpenzi ambaye kila mara...

 

10 years ago

GPL

SABABU ZA MWANAMKE KUCHEPUKA HIZI HAPA!

Wapenzi wasomaji kumekuwa na manenomaneno kwamba, baadhi ya wanawake wamekuwa na mwanaume zaidi ya mmoja, lakini nimefanya utafiti na kubaini wanaosababisha tabia hiyo ya michepuko ni wanaume ambao wameingia nao kwenye uhusiano. KWA NINI NASEMA HIVI?
Utakuta mwanamke alimpenda mwanaume fulani kwa sababu ya kufuata huduma na jinsi anavyomjali na kumheshimu ikiwa ni pamoja na kumjaza katika nafsi yake, pengine ndiyo anavyopenda au...

 

10 years ago

GPL

UVIVU WAKO NI SABABU YA MWENZIO KUCHEPUKA-3

Kwa mwanamke ni hatari zaidi, kwani kwa wanaume wasio na uvumilivu, mwisho wa siku huishia kubakwa. Hata hivyo, mara nyingi hiyo haiishii hapo, tatizo hukua zaidi na zaidi kulingana na jinsi mgogoro wa kuwekeana ‘kauzibe’ unavyoshamiri ndani ya nyumba. Ukiweza kumudu kumfurahisha mwenzi wako, anachokihitaji ukimpa kwa wakati. Maana yake atazidi kukuona lulu. Kila akiwa na wewe atajiona yupo huru kuomba huduma wakati...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Zijue sababu za kuhamisha shauri mahakamani — 2

Hati ya wito wa kuitwa shaurini Hati inayomwarifu mdaiwa kwamba mdai amefungua shauri dhidi yake na hivyo, anapaswa kuhudhuria mahakamani na kujitetea dhidi ya madai hayo katika siku iliyotajwa katika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Zijue sababu za kuhamisha shauri mahakama

KUNA uwezekano wa kuhamisha shauri ulililolifungua katika mahakama moja kwenda mahakama nyingine yenye mamlaka ya juu zaidi au yenye mamlaka sawa na ile mahakama ambako ulifungulia shauri hilo. Kimsingi mashauri...

 

10 years ago

Michuzi

ZIJUE SABABU KUMI KWA NINI NYWELE ZAKO ZINANYONYOKA

   
Kama umegundua  nywele  zako  zinanyonyoka, usi-panic. Sababu  inaweza  kuwa  rahisi. Inaweza kuwa  ni  ukosefu  wa  vitamin  au  sababu  za  kinasaba ( urithi ). Zifutazo  ni  sababu  kwa nini  nywele  zako  zinanyonyoka:1. StressKila  aina  ya   physical and emotional pain   inaweza  kusababisha  kunyonyoka  kwa  nywele.  . Ajali  ya  gari  au  kufanyiwa  upasuaji   vinaweza  kukusababishia  stress  ambayo  itakuletea kunyonyoka  kwa  nywele  zako.   Emotional...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI.

1.USHAHIDI  WA  KUAMBIWA  NI NINI?

Ushahidi  wa  kuambiwa  ni  ushahidi  unaotolewa  na  mtu  ambaye  hakuona  tukio  likitendeka,  hakusikia  tukio  likitendeka,  hakuhisi  wala  kuonja,  wala  kunusa  jambo  lililo mbele  ya  mahakama  kama  kosa  isipokuwa   aliambiwa    na  mtu  mwingine aliyeona,  kusikia, kuhisi, kunusa  au  kuonja.  Hapa  kuna  watu  wawili,  kwanza  aliyeona au kusikia , na  pili  yule  aliyeambiwa  na  huyu   aliyeona   au  kusikia .   Kwahiyo   katika maana  yetu   ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani