ZIJUE SABABU KUMI KWA NINI NYWELE ZAKO ZINANYONYOKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-dqhJ3gGbB18/Vai7LrE9BSI/AAAAAAAHqM4/9NsWiYMDMhs/s72-c/6a00e54ee10a2288340192ac6f4d4f970d.jpg)
Kama umegundua nywele zako zinanyonyoka, usi-panic. Sababu inaweza kuwa rahisi. Inaweza kuwa ni ukosefu wa vitamin au sababu za kinasaba ( urithi ). Zifutazo ni sababu kwa nini nywele zako zinanyonyoka:1. StressKila aina ya physical and emotional pain inaweza kusababisha kunyonyoka kwa nywele. . Ajali ya gari au kufanyiwa upasuaji vinaweza kukusababishia stress ambayo itakuletea kunyonyoka kwa nywele zako. Emotional...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-5RTl4jGbNYc/VP1JcXHFN8I/AAAAAAAHIzw/AHKHVFy0FyQ/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JE UMEACHISHWA KAZI AU WE NI MFANYAKAZI, ZIJUE HAKI ZAKO ZA MSINGI
![](http://1.bp.blogspot.com/-5RTl4jGbNYc/VP1JcXHFN8I/AAAAAAAHIzw/AHKHVFy0FyQ/s1600/law_5.jpg)
Kuongezeka kwa makampuni na taasisi mbalimbali kumetengeneza wingi wa ajira maeneo mbambali ya nchi. Mbali na kuongezeka kwa ajira hizi kumekuwepo na tatizo kubwa la waajiriwa kutojua haki zao mbalimbali wawapo maeneo ya kazi.
Niseme jambo moja tu kuwa hakuna suala la msingi kama muajiriwa kujua haki zake. Hii ni kwasababu kupitia kujua haki zake ndipo anapoweza kupata ujira stahiki, posho stahiki, masurufu...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-fzbhc-tNi2w/VP_wvfNhoqI/AAAAAAAHJgw/3WgsT9Vlorw/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JE UMEACHISHWA KAZI AU WE NI MFANYAKAZI, ZIJUE HAKI ZAKO ZA MSINGI - 2
![](http://1.bp.blogspot.com/-fzbhc-tNi2w/VP_wvfNhoqI/AAAAAAAHJgw/3WgsT9Vlorw/s1600/law_5.jpg)
Jumatatu ya wiki hii nilianza na makala iitwayo je umeachishwa kazi au we ni mfanyakazi, zijue haki zako. Nilizungumzia masuala kadhaa yahusuyo haki za mfanyakazi. Naligusia kuhusu aina za mkataba wa ajira, muda wa mkataba wa ajira, sehemu ya kufanyia kazi, kipindi cha mpito katika kazi (probation period) na mengine mengi kuhusu ajira. Nilisema na leo tena nasisitiza kuwa ili upate ujira unaostahili ikiwa ni pamoja na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDCD3K00oF-QriowL1jD2ejrYhhvdjTVNq6AsJ9VbBjlQ7LGHimcIcJddTRRKIxMRQIsjvYQzCceTISo33QJkB8L/GUFUUD.jpg?width=650)
ZIJUE SABABU ZA WANAUME KUCHEPUKA!-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiLIFsOdU5KFMlZqYt9dnf-37D0p4A7T1vAEvFdjrhktDR1NWvDlzjjxAA8jgvpVGDNvUwmA4Ef88O9L2tpf5E9G/mahaba.jpg?width=650)
ZIJUE SABABU ZA WANAUME KUCHEPUKA!
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Zijue sababu za kuhamisha shauri mahakamani — 2
Hati ya wito wa kuitwa shaurini Hati inayomwarifu mdaiwa kwamba mdai amefungua shauri dhidi yake na hivyo, anapaswa kuhudhuria mahakamani na kujitetea dhidi ya madai hayo katika siku iliyotajwa katika...
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Zijue sababu za kuhamisha shauri mahakama
KUNA uwezekano wa kuhamisha shauri ulililolifungua katika mahakama moja kwenda mahakama nyingine yenye mamlaka ya juu zaidi au yenye mamlaka sawa na ile mahakama ambako ulifungulia shauri hilo. Kimsingi mashauri...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-gbRlc80PpsA/VV0GuZ23UVI/AAAAAAAHYus/LRFVs7g-wdQ/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-gbRlc80PpsA/VV0GuZ23UVI/AAAAAAAHYus/LRFVs7g-wdQ/s320/1.1774256.jpg)
1.USHAHIDI WA KUAMBIWA NININI.
Ushahidi wa kuambiwa ni ushahidi unaotolewa na mtu ambaye hakuona tukio likitendeka, hakusikia tukio likitendeka, hakuhisi wala kuonja, wala kunusa jambo lililo mbele ya mahakama kama kosa isipokuwa aliambiwa na mtu mwingine aliyeona, kusikia, kuhisi, kunusa au kuonja. Hapa kuna watu wawili, kwanza aliyeona au kusikia , na pili yule aliyeambiwa na huyu aliyeona au kusikia .
Kwahiyo ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vTqkQRJjs4A/VV1UpbljoyI/AAAAAAAHYwU/EsfHkWVbgMw/s72-c/download.jpg)
MAKALA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-vTqkQRJjs4A/VV1UpbljoyI/AAAAAAAHYwU/EsfHkWVbgMw/s1600/download.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Oct
Ninazo sababu zangu binafsi ,Ni kwa nini nataka ccm kakae bench ?
The post Ninazo sababu zangu binafsi ,Ni kwa nini nataka ccm kakae bench ? appeared first on Mzalendo.net.