Zijue sababu za kuhamisha shauri mahakamani — 2
Hati ya wito wa kuitwa shaurini Hati inayomwarifu mdaiwa kwamba mdai amefungua shauri dhidi yake na hivyo, anapaswa kuhudhuria mahakamani na kujitetea dhidi ya madai hayo katika siku iliyotajwa katika...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Zijue sababu za kuhamisha shauri mahakama
KUNA uwezekano wa kuhamisha shauri ulililolifungua katika mahakama moja kwenda mahakama nyingine yenye mamlaka ya juu zaidi au yenye mamlaka sawa na ile mahakama ambako ulifungulia shauri hilo. Kimsingi mashauri...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-gbRlc80PpsA/VV0GuZ23UVI/AAAAAAAHYus/LRFVs7g-wdQ/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-gbRlc80PpsA/VV0GuZ23UVI/AAAAAAAHYus/LRFVs7g-wdQ/s320/1.1774256.jpg)
1.USHAHIDI WA KUAMBIWA NININI.
Ushahidi wa kuambiwa ni ushahidi unaotolewa na mtu ambaye hakuona tukio likitendeka, hakusikia tukio likitendeka, hakuhisi wala kuonja, wala kunusa jambo lililo mbele ya mahakama kama kosa isipokuwa aliambiwa na mtu mwingine aliyeona, kusikia, kuhisi, kunusa au kuonja. Hapa kuna watu wawili, kwanza aliyeona au kusikia , na pili yule aliyeambiwa na huyu aliyeona au kusikia .
Kwahiyo ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vTqkQRJjs4A/VV1UpbljoyI/AAAAAAAHYwU/EsfHkWVbgMw/s72-c/download.jpg)
MAKALA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-vTqkQRJjs4A/VV1UpbljoyI/AAAAAAAHYwU/EsfHkWVbgMw/s1600/download.jpg)
9 years ago
StarTV23 Nov
CHADEMA chapeleka shauri mahakamani
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeahirisha shughuli za mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita Marehemu Alphonce Mawazo na kupeleka mahakamani shauri la kuomba kibali cha kuuaga mwili huo.
Uamuzi huo unachukuliwa baada ya jeshi la polisi mkoani Mwanza kushikilia msimamo wa kutofanyika mikusanyiko katika viunga vya jiji la Mwanza.
Awali shughuli za kuuaga mwili huo zilitakiwa kufanyika jumamosi hii jijini Mwanza na jumapili mkoani Geita na mazishi yangefanyika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiLIFsOdU5KFMlZqYt9dnf-37D0p4A7T1vAEvFdjrhktDR1NWvDlzjjxAA8jgvpVGDNvUwmA4Ef88O9L2tpf5E9G/mahaba.jpg?width=650)
ZIJUE SABABU ZA WANAUME KUCHEPUKA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDCD3K00oF-QriowL1jD2ejrYhhvdjTVNq6AsJ9VbBjlQ7LGHimcIcJddTRRKIxMRQIsjvYQzCceTISo33QJkB8L/GUFUUD.jpg?width=650)
ZIJUE SABABU ZA WANAUME KUCHEPUKA!-2
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Usimamizi wa mirathi wakati shauri likiendelea mahakamani -2Â
WIKI iliyopita nilisema lengo kuu la Sheria ya Usimamizi wa Mirathi sura ya 352 ya sheria za Tanzania ni kutoa utaratibu wa kusimamia mali za marehemu baada ya kifo chake...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-dqhJ3gGbB18/Vai7LrE9BSI/AAAAAAAHqM4/9NsWiYMDMhs/s72-c/6a00e54ee10a2288340192ac6f4d4f970d.jpg)
ZIJUE SABABU KUMI KWA NINI NYWELE ZAKO ZINANYONYOKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-dqhJ3gGbB18/Vai7LrE9BSI/AAAAAAAHqM4/9NsWiYMDMhs/s640/6a00e54ee10a2288340192ac6f4d4f970d.jpg)
Kama umegundua nywele zako zinanyonyoka, usi-panic. Sababu inaweza kuwa rahisi. Inaweza kuwa ni ukosefu wa vitamin au sababu za kinasaba ( urithi ). Zifutazo ni sababu kwa nini nywele zako zinanyonyoka:1. StressKila aina ya physical and emotional pain inaweza kusababisha kunyonyoka kwa nywele. . Ajali ya gari au kufanyiwa upasuaji vinaweza kukusababishia stress ambayo itakuletea kunyonyoka kwa nywele zako. Emotional...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
CDA yatakiwa kuhamisha stendi Jamatini
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ameuagiza uongozi wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) na Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma kuhakikisha wanatenga maeneo kwa ajili ya ujenzi wa stendi...