Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA chapeleka shauri mahakamani

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeahirisha shughuli za mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita Marehemu Alphonce Mawazo na kupeleka mahakamani shauri la kuomba kibali cha kuuaga mwili huo.

Uamuzi huo unachukuliwa baada ya jeshi la polisi mkoani Mwanza kushikilia msimamo wa kutofanyika mikusanyiko katika viunga vya jiji la Mwanza.

Awali shughuli za kuuaga mwili huo zilitakiwa kufanyika jumamosi hii jijini Mwanza na jumapili mkoani Geita na mazishi yangefanyika...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Zijue sababu za kuhamisha shauri mahakamani — 2

Hati ya wito wa kuitwa shaurini Hati inayomwarifu mdaiwa kwamba mdai amefungua shauri dhidi yake na hivyo, anapaswa kuhudhuria mahakamani na kujitetea dhidi ya madai hayo katika siku iliyotajwa katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Usimamizi wa mirathi wakati shauri likiendelea mahakamani -2 

WIKI iliyopita nilisema lengo kuu la Sheria ya Usimamizi wa Mirathi sura ya 352 ya sheria za Tanzania ni kutoa utaratibu wa kusimamia mali za marehemu baada ya kifo chake...

 

9 years ago

Habarileo

Chadema kumpinga Bashe mahakamani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Nzega mkoani Tabora kimetangaza kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM).

 

11 years ago

Habarileo

Zitto aibwaga Chadema mahakamani

Kabwe ZittoMAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Kamati Kuu ya Chadema kutojadili suala la uanachama wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto katika mkutano utakaofanyika leo Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

ZITTO AWABWAGA CHADEMA MAHAKAMANI

Zitto Kabwe. Nimeomba mahakama kuzuia kamati kuu ya chama changu kunijadili mpaka rufaa yangu isikilizwe na Baraza Kuu la chama. Sijaomba kuzuia kamati kuu kuendelea na kikao chake. Nimeomba kamati isinijadili maana nina rufaa kwenda Baraza Kuu kwa jambo hilo hilo ambalo kamati kuu inataka kuliamulia. Wakili wa chama Tundu lissu aliweka mapingamizi akisema mahakama haina mamlaka kujadili masuala ya vyama na wanachama wao. Jaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yaibwaga CCM mahakamani

>Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara imezidi kupata pigo baada ya Mahakama kutengua matokeo ya uchaguzi wa wenyeviti wa vitongoji 16 vya mji mdogo wa Mirerani, kwa maelezo kuwa ulikiuka sheria na utaratibu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

10 years ago

GPL

CHADEMA YAMBWAGA ZITTO MAHAKAMANI

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. Chadema leo imeshinda kesi Mahakama Kuu dhidi ya Zitto Kabwe na ametakiwa alipe gharama za kesi. Habari kamili kuwajia hivi punde! JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS…

 

5 years ago

CCM Blog

WAFUASI WA CHADEMA MARUFUKU KUFIKA MAHAKAMANI


MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa amri kuwa  hakuna shabiki yetote atakayeruhusiwa kuingia mahakamani hapo kusikiliza rufaa iliyokatwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake saba kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Lameck Mlacha ametoa amri hiyo leo Aprili 28,2020 wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa.
Amri hiyo imetolewa ikiwa ni njia moja wapo ya kuepukana na mikusanyiko katika kipindi hiki ambacho...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

ACT-Tanzania kuiburuza CHADEMA mahakamani


NA SOLOMON MWANSELE,MBEYA.
 CHAMA Cha ACT-Tanzania mkoa wa Mbeya, kimesema kitaiburuza mahakamani CHADEMA kwa tuhuma za wizi wa kadi 50 na bendera za chama hicho, vilivyoibwa kwenye ofisi yake iliyoko Uyole jijini Mbeya.
Imeelezwa kuwa tayari ACT-Tanzania imeshakamilisha taratibu za kufungua kesi hiyo na mwanasheria wa chama hicho kutoka makao makuu jijini Dar es Salaam, anatarajiwa kuwasili leo (jana).
Mratibu wa ACT-Tanzania mkoa wa Mbeya, Bahati Rongopa, aliyasema hayo jana wakati akielezea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani